Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 625
- 1,334
Lakini wote wanatoa majini?Mimi nimeonyesha tu kwamba kuna Yesu tofauti pia.
Lakini wote wanatoa majini?Mimi nimeonyesha tu kwamba kuna Yesu tofauti pia.
Islamu una ujanja janja mwngi sana. Mengine tumawavumilia tuNimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
Wakristo wanaamini kuwa majini ni mawakala wa shetani,na hawana msaada kabisa kwao zaidi yakuwapeleka kwa shetani aliye mkuu wa jehanam.Nilimsikia jirani yangu mwislam akinihadithia habari za majini wazuri na wabaya.Nami nilimkatalia kuwa hakuna jini mzuri.Tatizo kwenye hili suala ni wakristo kujimilikisha Yesu, yani hapo ndio mzizi wa tatizo kwa maana wao wanataka vile wanavyomuelezea na kumtambua wao basi ndio iwe hivyo hivyo kinyume na hivyo basi huyo sio Yesu. Lakini cha ajabu wakristo na waislamu wanapozungumzia majini huwa wote pamoja wanakusudia kitu kimoja japokuwa ukitizama maelezo ya uislamu majini ni tofauti na wakristo ila hukuti wakristo wakisema majini wanaoelezwa na waislamu ni majini tofauti na majini wenye kuelezwa na wakristo.
"....... it was made to appear that way to them......" by whom?Isa wa kwenye Quran
Jibu ni Isa hakusulubiwa
Quran 4:157 "the Jews did not kill or crucify Jesus, but rather, it was made to appear that way to them"
Na mtu aliyesema Isa hakusulubiwa amezaliwa miaka 500 baada ya kifo chake.
Kuna sababu zingine za maeneo waliozaliwa nitofauti , jinsi walivyozaliwa ni tofauti, ukuaji wao ni tofauti, mpaka kazi waliyoitiwa Duniani n.k
Kwenye majini ni wakristo wenyewe ndio wamekuja kuwahusisha wale malaika waliyoasi na majini ila ukiangalia majini ni viumbe wenye sifa tofauti na malaika, ingebaki tu kwamba kuna malaika waliyoasi na kuna viumbe vyengine ambavyo si malaika wala si binaadamu na ndio hao majini hivyo basi suala la majini kuwa wazuri au wabaya isingekuwa issue.Hata kwenye majini Kuna tofauti kubwa wakristo hakuna sehemu wanakwambia Kuna majini wazuri na kwenye uislam **** majini wazuri pia. Sasa kwa Yesu na Isa ipo tofauti uislam unasema hakufa ukristo amekufa na kufufuka. Hapo wanazungumziwa watu wawili tofauti.
Utaruka ruka sana majini ni majini tu hakuna jini mwema?. Sasa Kama kaasi Mungu huyo wema unaoukazimisha wanatoa wapi au majini?.Kwenye majini ni wakristo wenyewe ndio wamekuja kuwahusisha wale malaika waliyoasi na majini ila ukiangalia majini ni viumbe wenye sifa tofauti na malaika, ingebaki tu kwamba kuna malaika waliyoasi na kuna viumbe vyengine ambavyo si malaika wala si binaadamu na ndio hao majini hivyo basi suala la majini kuwa wazuri au wabaya isingekuwa issue.
Nasema hivi hata Yesu wapo tofauti kuna Yesu ambaye hutambulika kama Mungu na Yesu ambaye si Mungu.
Kuna ushahidi kwamba Issa alipata kuwepo na kwamba Yesu pia alipata kuwepo hivyo ni watu wawili tofauti?Isa wa kwenye Quran
Jibu ni Isa hakusulubiwa
Quran 4:157 "the Jews did not kill or crucify Jesus, but rather, it was made to appear that way to them"
Na mtu aliyesema Isa hakusulubiwa amezaliwa miaka 500 baada ya kifo chake.
Kuna sababu zingine za maeneo waliozaliwa nitofauti , jinsi walivyozaliwa ni tofauti, ukuaji wao ni tofauti, mpaka kazi waliyoitiwa Duniani n.k
majuzi nilikua nasoma mtandaoni, what does the Quran say about Jesus, it seems kuna school of thought kadhaa zinaamini alisulubiwa
Ina maana hii: Hakuna mwana damu anaweza kuniua ila naruhusu nife kwa ajili damu yangu iwe sadaka na pia anauwezo wa kujirudishia uhai wake mwenyewe ( kufufuka)Yesu anaposema "hakuna mtu anaenipokonya uhai wangu,...... nautoa mwenyewe"
Quran imechanganya uongo na ukweli kwa hiyo ni ngumu kwa mtu kujua kutofautisha kama hukuanza na ukweli(Bible)binafsi nilihitimisha kwa kusema Quran ipo sahihi pia kwa namna inavyomwongelea Yesu, ila tu namna ya kuyatafsiri yale maandiko inakua ngumu
Wewe ukiwepo na Mimi nikiwepo , je hiyo inafanya wewe uwe mimi?Kuna ushahidi kwamba Issa alipata kuwepo na kwamba Yesu pia alipata kuwepo hivyo ni watu wawili tofauti?
Ukienda Uturuki kwa lugha yao wao hutumia jina la Isa kumuita Yesu(Jesus) hivyo wakristo wa huko hutumia Isa kutolea hayo majini.Lakini wote wanatoa majini?
hapana sio yule, hiyo ni njama tu ya shetani kupotosha, mood aliyezaliwa miaka 600 baada ya Yesu hakumfahamu Yesu kuliko Petro, Yohana na mitume walioishi naye.Nimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
Mboro kwa wachaga sio tusi , ni ukoo.Ukienda Uturuki kwa lugha yao wao hutumia jina la Isa kumuita Yesu(Jesus) hivyo wakristo wa huko hutumia Isa kutolea hayo majini.
Mimi siruki ila wewe ndio unajichanganya, hata kama majini wote sio wema ila bado majini hawana asili ya malaika kwa maana majini ni viumbe tofauti hawana uhusiano na wale malaika waliyoasi.Utaruka ruka sana majini ni majini tu hakuna jini mwema?. Sasa Kama kaasi Mungu huyo wema unaoukazimisha wanatoa wapi au majini?.
Wewe unasema Isa ni mtu tofauti na Yesu ndio nauliza kuna ushahidi kwamba Isa aliwahi kuwepo ambaye wewe unasema ni mtu tofauti na Yesu?Wewe ukiwepo na Mimi nikiwepo , je hiyo inafanya wewe uwe mimi?
Ndio ujue kwamba issue sio hilo jina ambalo mnasema lina miujiza sijui linatoa mapepo, hata manabii wa uongo nao hutumia hilo jina kutoa mpepo.Mboro kwa wachaga sio tusi , ni ukoo.
Na mtu akilitamka akili yake haipo kwenye maana hiyo yako
Kuran 4 : 157 " Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu (Wayahudi), bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. _ _ _"....... it was made to appear that way to them......" by whom?
maana ni kweli they did not kill him or crucify him, ni yeye mwenyewe ndiye aliutoa uhai wake, na akautwaa tena (katika ufufuo), so kwa msingi huo its true they didnt kill him........
Hapana. Waislamu kitabu chao ni cha kuokoteza hakina Facts. Kwa hiyo huyo Isa ni mtu mwingine kabisa. Ingekuwa ndiye mwenyewe majina yangefanana. Ona tu Kiswahili na kiarabu zinashabihiana Waarabu nao wangeita Yesu au Yeshu. Maana kwa Kiebrania ni Yeshua. Sasa hiyo herufi ya Y au J imepotelea wapi? Huyo Isa ni wa kutungwa tu.Nimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
USA kuna sehemu inaitwa CaliforniaNdio ujue kwamba issue sio hilo jina ambalo mnasema lina miujiza sijui linatoa mapepo, hata manabii wa uongo nao hutumia hilo jina kutoa mpepo.
Point yako ni ipi?USA kuna sehemu inaitwa California
Tanzania kuna sehemu inaitwa California
Pointi yangu ni hii kunautofauti kati ya usingizi na kifoPoint yako ni ipi?