Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Quran inamuongelea mtu tofauti mnayemuita Issa ambaye alizaliwa chini ya mti. Biblia inamuongeleà Yesu aliyezaliwa kwenye hori la ng'ombe. Hawa ni watu wawili tofauti

But was there a crucified Jesus?

Certainly. Jesus ben Stada was a Judean agitator who gave the Romans a headache in the early years of the second century.

He met his end in the town of Lydda (twenty five miles from Jerusalem) at the hands of a Roman crucifixion crew.

And given the scale that Roman retribution could reach – at the height of the siege of Jerusalem the Romans were crucifying upwards of five hundred captives a day before the city walls – dead heroes called Jesus would (quite literally) have been thick on the ground.

Not one merits a full-stop in the great universal history.
 
Tatizo huyo Allah wa huko ni baba wa Yesu.

Hata wewe kwa lugha ya kiyahudi atakuwa ni baba yako

Common people (you and me) are the sons of God: "

Ye are the children ofthe LORD your God" Deuteronomy 14:1.

"For as many as are led by the Spiritof God, they are the sons of God" Romans 8:14
 
Kabisa ila Allah wa Quran sio baba wa yeyote,umeelewa sasa??
 
But was there a crucified Jesus?

Certainly. Jesus ben Stada was a Judean agitator who gave the Romans a headache in the early years of the second century.

He met his end in the town of Lydda (twenty five miles from Jerusalem) at the hands of a Roman crucifixion crew.

And given the scale that Roman retribution could reach – at the height of the siege of Jerusalem the Romans were crucifying upwards of five hundred captives a day before the city walls – dead heroes called Jesus would (quite literally) have been thick on the ground.

Not one merits a full-stop in the great universal history.
Huyo JESUS Ben STADA naye ni wa kwenu. Kwenye Biblia hatuna Issa wala Ben Stafa
 
POst namba 106 inaeleza Adam peke kusujudiwa,au kuna sehem Allah anasujudiwa pale??
uliandika

Hapa ametoa maagizo kwa malaika wamsujudie adam.

Jibu

Kwani ulitaka iwe vipi , na hiyo ni amri
 
Kabisa ila Allah wa Quran sio baba wa yeyote,umeelewa sasa??
hata wa biblia si baba wa yeyote , ile ni lugha ya wakati ule tu ambayo haimaanishi kuwa mungu ana watoto. Kwani hakuna myahudi anayemuona mungu kuwa ni baba yake
 
Huyo JESUS Ben STADA naye ni wa kwenu. Kwenye Biblia hatuna Issa wala Ben Stafa

Kwenye biblia hakuna pia yesu

Majina haya, basi, ya "mungu", "mwana wa mungu" na "Bwana" kwa kuwa yalikuwa yameenea na maarufu katika nchi za bahari ya Kati (Mediterranean) katika zama za Yesu haiwezi kukosa kuathiri mawazo ya watu ambao bado haijawavaa imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja kama ilivyokuwa ikifunza dini ya Kiyahudi.

Majina kama hayo yalikuwa yakitumiliwa ovyo na kila mtu takriban.

Na hizo hadithi za watu kama hao, ikiwa ni watu wa hadithini tu si wa kweli kweli, au watu walioishi kweli kweli duniani, zimefanana mno na hizo ambazo khalafu yake zikaaminiwa na Wakristo kuwa zimemkhusu Yesu Kristo peke yake.

Francis Young katika insha yake inayoitwa Mizizi Miwili au Matatanisho (Two roots or a Tangled Mass) ameandika:

"Tena, hatuwezi kutupilia mbali mawazo kuwa mambo kama hayo yalitokea kwa mintarafu ya Yesu. Kwa mfano, kuna kufanana kukubwa baina ya hadithi ya Romulus, kama alivyoeleza Livy, na baadhi ya hadithi zinavyoelezwa kuwa ni za Yesu katika Injili:

kuzaliwa na bikra, kutiwa mimba na mungu, maisha ya kiajabu, kutoonekana mabaki yake baada ya kufa, kutokea tena baada ya kufa na kuwatuma wafuasi wake, kumwomba kwa sala.

Itakuwa ni muhali kuleta ushahidi kuwa haya yote yaliigwa tu; lakini watu walioishi wakati mmoja sana huonekana kuwa wanazua hadithi zilizoelekeana."

Tukirejea kuyanukulu yaliyomo katika Biblia tunamwona Yesu mahkamani alikataa kukiri mashtaka aliyoshtakiwa kuwa yeye alidai kuwa ni Mwana wa Mungu, kama wendawazimu na mapagani walivyokuwa wakimuenezea:

Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini? Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu. Yesu lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.

Mathayo 26.62-64
 
hata wa biblia si baba wa yeyote , ile ni lugha ya wakati ule tu ambayo haimaanishi kuwa mungu ana watoto. Kwani hakuna myahudi anayemuona mungu kuwa ni baba yake
leta andiko Mungu si baba wa yeyote ktk biblia.

Na kwakuwa ni lugha ya wakati ule isiyomaanisha kwamba Mungu hakulala na mama zetu kwanini Muhammad hakujua hilo???
 
kwani wewe unalo andiko mungu anasema mimi ni baba yenu ??

Majina haya, basi, ya "mungu", "mwana wa mungu" na "Bwana" kwa kuwa yalikuwa yameenea na maarufu katika nchi za bahari ya Kati (Mediterranean) katika zama za Yesu haiwezi kukosa kuathiri mawazo ya watu ambao bado haijawavaa imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja kama ilivyokuwa ikifunza dini ya Kiyahudi. Majina kama hayo yalikuwa yakitumiliwa ovyo na kila mtu takriban.

Na hizo hadithi za watu kama hao, ikiwa ni watu wa hadithini tu si wa kweli kweli, au watu walioishi kweli kweli duniani, zimefanana mno na hizo ambazo khalafu yake zikaaminiwa na Wakristo kuwa zimemkhusu Yesu Kristo peke yake.

Francis Young katika insha yake inayoitwa Mizizi Miwili au Matatanisho (Two roots or a Tangled Mass) ameandika:
"Tena, hatuwezi kutupilia mbali mawazo kuwa mambo kama hayo yalitokea kwa mintarafu ya Yesu. Kwa mfano, kuna kufanana kukubwa baina ya hadithi ya Romulus, kama alivyoeleza Livy, na baadhi ya hadithi zinavyoelezwa kuwa ni za Yesu katika Injili: kuzaliwa na bikra, kutiwa mimba na mungu, maisha ya kiajabu, kutoonekana mabaki yake baada ya kufa, kutokea tena baada ya kufa na kuwatuma wafuasi wake, kumwomba kwa sala. Itakuwa ni muhali kuleta ushahidi kuwa haya yote yaliigwa tu; lakini watu walioishi wakati mmoja sana huonekana kuwa wanazua hadithi zilizoelekeana."

Tukirejea kuyanukulu yaliyomo katika Biblia tunamwona Yesu mahkamani alikataa kukiri mashtaka aliyoshtakiwa kuwa yeye alidai kuwa ni Mwana wa Mungu, kama wendawazimu na mapagani walivyokuwa wakimuenezea:
Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini? Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu. Yesu lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.

Mathayo 26.62-64
 
Ni kweli kwa sababu,Issa alimuomba Mungu,kikombe cha umauti kimuepuke na akakubaliwa ombi lake na Mungu, hawakumsulubu,kumvalisha nepi,kumtesa na kumdhihaki.lakini Yesu,alipoomba kwa Mungu,kikombe cha mauti kimuepuke,hakukubaliwa ombi.lake na Mungu alivalishwa nepi,akadhihakiwa,akachomwa mkuki akasulubiwa na kufa msalabani.Issa hakufa msalabani,na yuko hai mbinguni ila Yesu alisulubiwa na kufa msalabani.
Usicho

Usichojua ni kwqmba pale msalabani hakuwa na vazi lolote lie, si nepi, wala diaper, wala pampers. Na kweli alidhihakiwa, alidhalilishwa, alichomwa mkuki...aliteswa, akamwagq damu mpaka akakata roho. Kwa ajili yako alifufuka siku ya tatu, akaishinda mauti kwa ajili ya ukombozi wako na wangu. Jesus loves you...despite matusi yote hayo ambayo umemtukana hapo juu. Pale Kalvari alitukanwa zaidi but akasema Baba wasemehe...
 
Back
Top Bottom