Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
KWanini awaamuishe kumsujudia adam wakati wa kusujudiwa ni yeye tu???

Au nawewe umesahau kama yeye Allah??

Kwanza kwenye uislamu kuna sijda ya kushukuru , sijda ya kusahau kwenye sala, kuna sijda ya respect, kuna sijda ya kuabudu ambayo husujudiwa yeye tu Allah.

Ile sijda waliyoambiwa malaika pamoja na Iblis ni sijda ya respect si ya kuabudiwa
 
kwani wewe unalo andiko mungu anasema mimi ni baba yenu ??
Matahayo 3:17
Majina haya, basi, ya "mungu", "mwana wa mungu" na "Bwana" kwa kuwa yalikuwa yameenea na maarufu katika nchi za bahari ya Kati (Mediterranean) katika zama za Yesu haiwezi kukosa kuathiri mawazo ya watu ambao bado haijawavaa imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja kama ilivyokuwa ikifunza dini ya Kiyahudi. Majina kama hayo yalikuwa yakitumiliwa ovyo na kila mtu takriban.


Na hizo hadithi za watu kama hao, ikiwa ni watu wa hadithini tu si wa kweli kweli, au watu walioishi kweli kweli duniani, zimefanana mno na hizo ambazo khalafu yake zikaaminiwa na Wakristo kuwa zimemkhusu Yesu Kristo peke yake.

Francis Young katika insha yake inayoitwa Mizizi Miwili au Matatanisho (Two roots or a Tangled Mass) ameandika:
"Tena, hatuwezi kutupilia mbali mawazo kuwa mambo kama hayo yalitokea kwa mintarafu ya Yesu. Kwa mfano, kuna kufanana kukubwa baina ya hadithi ya Romulus, kama alivyoeleza Livy, na baadhi ya hadithi zinavyoelezwa kuwa ni za Yesu katika Injili: kuzaliwa na bikra, kutiwa mimba na mungu, maisha ya kiajabu, kutoonekana mabaki yake baada ya kufa, kutokea tena baada ya kufa na kuwatuma wafuasi wake, kumwomba kwa sala. Itakuwa ni muhali kuleta ushahidi kuwa haya yote yaliigwa tu; lakini watu walioishi wakati mmoja sana huonekana kuwa wanazua hadithi zilizoelekeana."

Tukirejea kuyanukulu yaliyomo katika Biblia tunamwona Yesu mahkamani alikataa kukiri mashtaka aliyoshtakiwa kuwa yeye alidai kuwa ni Mwana wa Mungu, kama wendawazimu na mapagani walivyokuwa wakimuenezea:
Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini? Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu. Yesu lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.

Mathayo 26.62-64
 
Kwanza kwenye uislamu kuna sijda ya kushukuru , sijda ya kusahau kwenye sala, kuna sijda ya respect, kuna sijda ya kuabudu ambayo husujudiwa yeye tu Allah.

Ile sijda waliyoambiwa malaika pamoja na Iblis ni sijda ya respect si ya kuabudiwa
Wewe unaweza kunisujudia mimi sijida ya aina gani??
 
Mathayo 3:17 inasema , Sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ni Mwanangu, nimpendaye. Ninapendezwa naye.”

Sauti hiyo ni ya nani iliyosema hivyo??
Huyo alikuwa dr zakir naik anasema hayo maneno.
 
Tatizo kwenye hili suala ni wakristo kujimilikisha Yesu, yani hapo ndio mzizi wa tatizo kwa maana wao wanataka vile wanavyomuelezea na kumtambua wao basi ndio iwe hivyo hivyo kinyume na hivyo basi huyo sio Yesu. Lakini cha ajabu wakristo na waislamu wanapozungumzia majini huwa wote pamoja wanakusudia kitu kimoja japokuwa ukitizama maelezo ya uislamu majini ni tofauti na wakristo ila hukuti wakristo wakisema majini wanaoelezwa na waislamu ni majini tofauti na majini wenye kuelezwa na wakristo.
Wakristo hawana kitu cha kuitwa majini.
Tamaduni za kikristo viumbe wasioonekana na wasihusianishwa na Mungu wote ni adui zao.
 
KUmbe unajua taatifa za mathayo zinamhusu Mungu,sasa uliuliza ni nani aliyesema kwanini??

Nimekuuliza sauti hiyo ni ya nani ?? mbona unakuwa mzito kujibu ? au sauti hiyo ni ya mathayo ??
 
Sawasawa , Kwenye uislamu ni kuwa Mungu kakuwekea njia mbili uchaguwe uifuate au umuasi , yaani Majini na Binadamu tumepewa choice na mwisho ni malipo ya ulichokifanya. ukifanya mema utalipwa mema ukifanya mabaya utalipwa mabaya. Kazi kwako
Hakuna njia mbili soma maandiko yenu

Allah anakupangia kila kitu mpaka uzinzi utakao fanya na utafanya na nani na wapi ,
Soma
...Allah fixed the very portion of adultery which a man will indulge in. There would be no escape from it.....Sahih Muslim 2658a
 
Sauti hiyo ni zakir naiki Mtume wa Allah.

kama huko serious unataka ubishi sawa lakini ni kuwa

Yohana5:37

Na Baba aliyenituma naye amenishuhudia. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuiona sura yake.


HIYO NI SAUTI YA MKORINTO ??
 
Hakuna njia mbili soma maandiko yenu

Allah anakupangia kila kitu mpaka uzinzi utakao fanya na utafanya na nani na wapi ,
Soma
...Allah fixed the very portion of adultery which a man will indulge in. There would be no escape from it.....Sahih Muslim 2658a



All Liars

‘Only lies have our fathers handed down to us, emptiness in which there is nothing of any avail!’
– Jeremiah 16.19.



A Lying Prophet

‘And Elisha said unto him, Go, say unto him, “Thou mayest certainly recover”: howbeit the LORD hath shewed me that he shall surely die.’
– 2 Kings 8.10.



Father of Lies?

“All scripture is given by inspiration of God”
– 2 Timothy 3.16.

“And for this cause God shall send them strong delusion, that they should believe a lie.”
– 2 Thessalonians 2.11
 
kama huko serious unataka ubishi sawa lakini ni kuwa

Yohana5:37

Na Baba aliyenituma naye amenishuhudia. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuiona sura yake.
Yohana 5:38
[38]Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini yule aliyetumwa na yeye.
HIYO NI SAUTI YA MKORINTO ??
Mathayo 3:16
 
Yohana 5:38
[38]Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini yule aliyetumwa na yeye.

Mathayo 3:16

Unaruka mkojo unakanyaga mavi huyo anayesema hapo kwenye Mathayo ni nani ?? Mkorinto??

Tunarudi kulekule Mkorinto ndiye anayesema

Tumieni akili, nyinyi viumbe , hizo biblia zimechakachuliwa vibaya sana
 
Yohana 5:38
[38]Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini yule aliyetumwa na yeye.

Mathayo 3:16


(CNN) – A frail man sits in chains inside a dank, cold prison cell. He has escaped death before but now realizes that his execution is drawing near.


“I am already being poured out like a drink offering, and the time of my departure has come,” the man –the Apostle Paul – says in the Bible’s 2 Timothy. “I have fought the good fight. I have finished the race. I have kept the faith.”


The passage is one of the most dramatic scenes in the New Testament. Paul, the most prolific New Testament author, is saying goodbye from a Roman prison cell before being beheaded. His goodbye veers from loneliness to defiance and, finally, to joy.


There’s one just one problem – Paul didn’t write those words. In fact, virtually half the New Testament was written by impostors taking on the names of apostles like Paul. At least according to Bart D. Ehrman, a renowned biblical scholar, who makes the charges in his new book “Forged.


“There were a lot of people in the ancient world who thought that lying could serve a greater good,” says Ehrman, an expert on ancient biblical manuscripts.In “Forged,” Ehrman claims that:


* At least 11 of the 27 New Testament books are forgeries.


* The New Testament books attributed to Jesus’ disciples could not have been written by them because they were illiterate.


* Many of the New Testament’s forgeries were manufactured by early Christian leaders trying to settle theological feuds.


Were Jesus’ disciples ‘illiterate peasants?’


Ehrman’s book, like many of his previous ones, is already generating backlash. Ben Witherington, a New Testament scholar, has written a lengthy online critique of “Forged.”


Witherington calls Ehrman’s book “Gullible Travels, for it reveals over and over again the willingness of people to believe even outrageous things.”


All of the New Testament books, with the exception of 2 Peter, can be traced back to a very small group of literate Christians, some of whom were eyewitnesses to the lives of Jesus and Paul, Witherington says.


“Forged” also underestimates the considerable role scribes played in transcribing documents during the earliest days of Christianity, Witherington says.


Even if Paul didn’t write the second book of Timothy, he would have dictated it to a scribe for posterity, he says.


“When you have a trusted colleague or co-worker who knows the mind of Paul, there was no problem in antiquity with that trusted co-worker hearing Paul’s last testimony in prison,” he says. “This is not forgery. This is the last will and testament of someone who is dying.”


Ehrman doesn’t confine his critique to Paul’s letters. He challenges the authenticity of the Gospels of Matthew, Mark and John. He says that none were written by Jesus’ disciplies, citing two reasons.


He says none of the earliest gospels revealed the names of its authors, and that their current names were later added by scribes.


Ehrman also says that two of Jesus’ original disciples, John and Peter, could not have written the books attributed to them in the New Testament because they were illiterate.


“According to Acts 4:13, both Peter and his companion John, also a fisherman, were agrammatoi, a Greek word that literally means ‘unlettered,’ that is, ‘illiterate,’ ’’ he writes.


Will the real Paul stand up?


Ehrman reserves most of his scrutiny for the writings of Paul, which make up the bulk of the New Testament. He says that only about half of the New Testament letters attributed to Paul 7 of 13 – were actually written by him.


Paul’s remaining books are forgeries, Ehrman says. His proof: inconsistencies in the language, choice of words and blatant contradiction in doctrine.


For example, Ehrman says the book of Ephesians doesn’t conform to Paul’s distinctive Greek writing style. He says Paul wrote in short, pointed sentences while Ephesians is full of long Greek sentences (the opening sentence of thanksgiving in Ephesians unfurls a sentence that winds through 12 verses, he says).


“There’s nothing wrong with extremely long sentences in Greek; it just isn’t the way Paul wrote. It’s like Mark Twain and William Faulkner; they both wrote correctly, but you would never mistake the one for the other,” Ehrman writes.


The scholar also points to a famous passage in 1 Corinthians in which Paul is recorded as saying that women should be “silent” in churches and that “if they wish to learn anything, let them ask their own husbands at home.”


Only three chapters earlier, in the same book, Paul is urging women who pray and prophesy in church to cover their heads with veils, Ehrman says: “If they were allowed to speak in chapter 11, how could they be told not to speak in chapter 14?”


Why people forged


Forgers often did their work because they were trying to settle early church disputes, Ehrman says. The early church was embroiled in conflict – people argued over the treatment of women, leadership and relations between masters and slaves, he says.


“There was competition among different groups of Christians about what to believe and each of these groups wanted to have authority to back up their views,” he says. “If you were a nobody, you wouldn’t sign your own name to your treatise. You would sign Peter or John.”


So people claiming to be Peter and John – and all sorts of people who claimed to know Jesus – went into publishing overdrive. Ehrman estimates that there were about 100 forgeries created in the name of Jesus’ inner-circle during the first four centuries of the church.


Witherington concedes that fabrications and forgeries floated around the earliest Christian communities.


But he doesn’t accept the notion that Peter, for example, could not have been literate because he was a fisherman.


“Fisherman had to do business. Guess what? That involves writing, contracts and signed documents,” he said in an interview.


Witherington says people will gravitate toward Ehrman’s work because the media loves sensationalism.


“We live in a Jesus-haunted culture that’s biblically illiterate,” he says. “Almost anything can pass for historical information… A book liked ‘Forged’ can unsettle people who have no third or fourth opinions to draw upon.”


Ehrman, of course, has another point of view.


“Forged” will help people accept something that it took him a long time to accept, says the author, a former fundamentalist who is now an agnostic.


The New Testament wasn’t written by the finger of God, he says – it has human fingerprints all over its pages.


“I’m not saying people should throw it out or it’s not theologically fruitful,” Ehrman says. “I’m saying that by realizing it contains so many forgeries, it shows that it’s a very human book, down to the fact that some authors lied about who they were.”
 
Back
Top Bottom