Cohenlukinga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 290
- 379
Kabisa anayepinga uungu wa Yesu ni shetani na waislamu pekeeHukuna mristo anaepinga uungu wa Yesu , ukiona mtu yeyeto anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo
Kabisa anayepinga uungu wa Yesu ni shetani na waislamu pekeeHukuna mristo anaepinga uungu wa Yesu , ukiona mtu yeyeto anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo
Kwanini isiwe nyie wengine mnazusha uungu wa Yesu? Maana hao wakristo nao wanatumia biblia sio Qur'an.Hukuna mristo anaepinga uungu wa Yesu , ukiona mtu yeyeto anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo
Sasa hapo Wakatoliki nao wamehusika vp?Si ni yeye aliyekuja na kusema kapewa quran pangoni??
kwa mujibu wa quran suran Amramu....Isa bin mariam alizaliwa na Miriam dada yake Musa na Harun. Musa na Haruni waliishi jangwani during the exodus na walifia huko isipokuwa musa aliyefia Moabu. Na hawa waliishi zaidi ya miaka 3000 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu.
Kituko kingine cha quran hapo hapo katika sura hiyo hiyo kinadai kuwa baba yake isa (yaani mumewe huyo miriamu dadake Musa na Harun) ni Zakaria. Lakini katika Bible Zacharia ni Baba yake Yohana Mbatizaji.
Kwa kuangalia text zote mbili Bible na quran utaona kuna tofauti kubwa sana. Ijulikane kuwa kitabu cha mwisho cha Old Testament (malaki)-Torati kiliandikwa miaka 453 BC na muhamad alizaliwa 600 AD that is quran came into existence zaidi ya miaka 1000 baada ya OT kuwa imeandikwa na miaka 530 baada ya Agano jipya lote kuandikwa. Maana kitabu cha mwisho katika Agano Jipya (Ufunuo) kiliandikwa 100AD. Which can be true, Bible au Quran iliyoandikwa zaidi ya miaka 530 baada ya Agano Jipya na zaidi ya miaka 1000 baada ya kuandikwa Agano la Kale?
Alichofanya Muhamad ni kujaribu kuichafua Biblia baada ya kuwa ameandamana na mkewe Bi Hadija katika biashara zao, walipofika Samaria akasimuliwa historia ya eneo hilo na namna ambavyo wakazi wa asili walikuwa wamechukuliwa mateka kwa sababu ya kumuasi YHWH. Naye akaamua kuibuka na version ya maelezo yake kuunda dini yake.
Na anayezusha uungu wa Yesu ni nani?Kabisa anayepinga uungu wa Yesu ni shetani na waislamu pekee
Sasa hapo Wakatoliki nao wamehusika vp?
Hata chanzo cha mim na wew si baba na mama zetu wao ni njia tu unakubali au unakataa?Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.
Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.
Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu
Wamepewa upofu na ukiziwi na shetani hao waislamu hawawezi kuelewa kamwe kuwa Yesu na issa ni watu wawili tofautiBado naendelea kuwashangaa wanaowafananisha.
1. Neno Yesu kwa Kiarabu ni Yasu sio Issa.
2. Jina Issa linatokana na jina Ayasi.
3. Mama yake Yeu ni Mariamu wa ukoo wa Yuda, Wakati mama yake Issa ni Maryam wa ukoo wa Imran.
4. Nabii Issa bin Maryam ni Mu-irak wa kabila la Kurd wakati Yesu ni Mu-israeli wa kabila la kiebrania.
5. Koran inasema kuwa Nabii Issa bin Mariam alizaliwa chini ya mti wa Mtende. Biblia inasema Yesu alizaliwa katika Pango la Malisho ya Ng'ombe.
6. Issa sio mwana wa Mungu (Qur’ani Suratul Al An-Am,6:101) wakati Yesu ni Mwana wa Mungu (Luka 1:30-31,35)
7. Issa hajawahi kusulubiwa, Yesu alisulubiwa.
8. Issa atakaporudi atakuja kuvunja misalaba na kuua nguruwe, Yesu atakaporudi atawakusanya wateule.
KUNA TOFAUTI ZAIDI YA 100. Kwa leo niishie hapa
Taja kimoja wapo alichoumba YesuHuyu ni Baba Wa kumlea, angalau mmgemuita isa bin Yusufu. Kama Leo tumekubaliana Yesu hana Biological father, Basi tukubaline baba ni Yule aliyekuwa akimuomba na anasema yuko naye siku zote yeye na Baba huyo ni ummoja, uungu una yeye 100% na Yesu sio Kiumbe ni Muumba pamoja Baba yake. Sasa rudi kusoma Yohana Moja uje ubatizwe
Hata chanzo cha mim na wew si baba na mama zetu wao ni njia tu unakubali au unakataa?
Taja kimoja wapo alichoumba Yesu
Narudia tena anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo ni dini nyingine , ata awe anatumia biblia asipo kiri uungu wa Yesu anakuwa ni mwislamu mwenzako au dini nyingine tuKwanini isiwe nyie wengine mnazusha uungu wa Yesu? Maana hao wakristo nao wanatumia biblia sio Qur'an.
Wote ni wafuasi wa Yesu.
Anaezusha hajulikani ni dini ganiNa anayezusha uungu wa Yesu ni nani?
Imani ya ukristo ilianza na kukiri Yesu ni Mungu , sasa hao wanaosema si Mungu wametokea wapi na lini?Wapo wakristo usiwatoe watu kwenye dini yao kwa sababu tu hawaamini kama unavyoamini wewe, wao ni wafuasi wa Yesu kama wewe.
Shekh sio sisi Ni nyaraka zimegoma zingekubali mbona hatuna shidaWamepewa upofu na ukiziwi na shetani hao waislamu hawawezi kuelewa kamwe kuwa Yesu na issa ni watu wawili tofauti
Hiki ni kichekesho.
Yaani Qurani ije irekebishe Biblia.
Dini ya Majini ije irekebishe Dini ya Manabii wa Mungu.
Hebu mjibuni kwanza Rushdie aliye thibitisha kuwa Qurani imejaa Aya za Shetani kwanza.
Yaani Allah Mungu anayesikia Lugha ya Kiarabu tu.
Mungu anayesikia sala kwa wanaosali kuelekea Maka tu.
Mungu anayewaruhusu mulisujudie Jiwe Jeusi na kumpiga mawe Shetani.
Ndio afanane na Mungu wa kwenye Biblia.
Na huyo Mtume wenu ambaye hamtaki matendo yake yasemwe hadharani huku mmeyaandika wenyewe ndio arekebishe Biblia.
Biblia hii ambayo ili Qurani ieleweke lazima muirejee.
Hiyo ni mizaha ya kiwango cha lami.
Umeanza kuwa kufurisha wenzako unajiona uko sahihi wewe na taasisi kama Roman na Adventist Nani anaeleweka? Na Anglican tangu tuko watoto tumekua hayo maknisa yapo na ninwakristo Safi kabisa wew unajiona unajua?Hukuna mristo anaepinga uungu wa Yesu , ukiona mtu yeyeto anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo
Wanaopinga uungu wa Yesu walianza lini hiyo imani yao? na ilianzia wapi?Umeanza kuwa kufurisha wenzako unajiona uko sahihi wewe na taasisi kama Roman na Adventist Nani anaeleweka? Na Anglican tangu tuko watoto tumekua hayo maknisa yapo na ninwakristo Safi kabisa wew unajiona unajua?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Yesu yupo unayeongelea ? Huyu aliyezaliwa kutokana na ukoo wa zinaa Kama biblia ilivyoandika? Ambaye biblia inasema hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu ?
Wakristo bana Yesu alivofufua tu wakamuita Mungu..
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app