Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
WATU WASIO NA AKILI WANAAMINI MANENO YA MUNGU YALIO CHAKACHULIWA

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Waliochakachua bibilia haukuwa Kwa bahati mbaya ila walifanya makusu Ili wawapoteze watu wasio jielewa kama wewe na wamefanikiwa

Paulo alianzisha dini ya ukristo miaka 30 Baada ya Yesu/ lsa kupaa

Hivyo basi Yesu/Isa haijui dini ya ukristo

Ukiristo ni product ya Paulo

Matendo ya Mitume 11:25
Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli;
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Hamumjui Mungu wa kweli maana Yesu sio Mungu

Hamuna mtume maana Paulo sio mtume

Hamuna vitabu maana Wakolintho, wagalatia, Efeso sijui Tito sio vitabu vya Mungu

Hamuna dini maana ukristo sio dini

Mnyama aliyetabiliwa na nabii Daniel ndio Paulo na ukristo wake

Ukristo ulianzia kwa mitume wakina Petro,Paul aliukuta ukristo tayari ushaanza kuenea kwa kasi na ndio aliyekua mtesi na muuaji mkubwa wa wakristo kabla haya kutana na Yesu,weka sawa hii historia acha kupotosha.
 
Nafunga mada hapa

Yesu ndio huyo huyo issa bin Maryam

Kwa sababu hizi zifuatazo

Yesu hakuwa na baba alizaliwa na bi Maryam
Issa hakuwa na baba na alizaliwa na bi Maryam

Ulisema issa na yesu ni watu wawili tofauti umedanganya kwa hoja dhaifu mno

Labda utuambie mama yake issa na mama WA yesu ni TOFAUTI

Kama ni wawili tofauti mbona kitabu walipewa kimoja??????

Nyie wagalatia mnapenda sana kuvuruga wenzenu ili muwapige sadaka mkajenge mahelalu.

Nakushauri usikaze fuvu,halafu kwanini kurwani inalazimisha Yesu myahudi awe mtume wao je mmekosa mitume,
 
Kutumia kivipi!?..maana hata the river between natumia, petals of blood pia...halafu biblia siyo Mali ya kanisa,ilikuwepo kabla ya kanisa na yesu kuzaliwa

Kumbe unaiamini biblia,basi ni wakati sasa wakuachana na kitabu cha mchongo cha mudi.
 
Kwa uelewa wako kiumbe gani aliyewahi kufa na fufuka na kupaa mbinguni?
Nyie kwakweli Sasa tumewachoka mlishaandikiwa nyie Ni sikio la kufa hatuna jinsi yaan kuwafunsdisha Ni kazi ambayo Kama Yesu mwenyewe ilimshinda mkataka kumuua
Sisi hata tufanyeje hamuezi kutuelewa halafu kila mtu anakuja na habari zake tuu za vijiweni mnatafsiri maandiko kila mtu kivyake yaani fujo tu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Ni mwehu unakijua kiarabu wewe? Hio 20:14 tuliza kichwa isome kwa kiarabu inaniy ina'LLah....

Hakika Mimi ndie Allah niabuduni

N:B mpangilio wa Quran ni wakipekee Sasa Kama wewe unataka mpangilio wako iwe Kama biblia utafeli..Quran Ni Quran na biblia Ni biblia Quran uandishi wake Ni wa kimashairi Kuna vina na mizani katika kila Aya kuendelea na inyaofuata Sasa huo Ni mpangilio wake wewe mmatumbi unajifanya kuleta Mambo ya biblia.

Somo hili watu wakaa miaka darasani Aya kwa Aya na lazima uwe mjuzi mzuri viarabu vyote cha mwanzo wakati huo kilichokua kinaongewa na waqurashi wazamani kabisa na hiki cha Sasa ndio upate tafsiri nzuri ya Aya wew mgalatia mmoja mwenye mistari miwili ya isaya unataka kuleta umahiri hapa hahahahah duuh
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app[/UR
Kiarabu kimesha tafsiriwa! weka ushahidi wa mashahidi.3 Kama ilivyo Agizo Torati!
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 19:15
[15]. Shahidi mmoja asimwinukie mtu awaye yote kumshuhudia kwa uovu wo wote, wala kwa dhambi yo yote, katika makosa akosayo yo yote; jambo na lithibitishwe kwa vinywa vya mashahidi wawili, au watatu.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Wala haujakosea Yesu/ sio chochote Kwa waislam Kwa Sasa maana utawala wake ulisha pita

Ila muache kudanganyana kuhusu Yesu maana Qurani inawaumbua Kwa uongo wenu

Qurani 5:75
Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa
Huwa unajiandikia bila tafakari!
Utawala wa YESU Unaendeleaje mpaka Mwisho wa Dahari!
Ushahidi Huu hapa!
YESU Anasema![emoji123][emoji106]
[emoji116][emoji116]
Matthew 28:19-20
[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

[20]na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Revelation 1:8
[8]Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi. Maono ya Kristo

quran inakazia bila hofu!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ

[ AL -H'ADIID - 3 ]
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.

Sasa Kama una ubavu muuweni YESU ili aje muham mad na Uma mwingine ! [emoji56][emoji56]

Waga nacheka Sana mabandiko yako lakini una faida moja humu jukwaani kutuwekea Aya kwa ukamilifu hongera kwa hilo. Yaan uko smart kwenye suala la Aya kula like

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wala haujakosea Yesu/ sio chochote Kwa waislam Kwa Sasa maana utawala wake ulisha pita

Ila muache kudanganyana kuhusu Yesu maana Qurani inawaumbua Kwa uongo wenu

Qurani 5:75
Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa

Na hapa quran Inapobainisha YESU ni Mungu?!
Unasemaje???[emoji101]
[emoji116][emoji116]
يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ وَلَا تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ إِلَّا الْحَقَّ ۚ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَىٰ مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِّنْهُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ ۖ وَلَا تَقُولُوا ثَلَاثَةٌ ۚ انتَهُوا خَيْرًا لَّكُمْ ۚ إِنَّمَا اللَّهُ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ سُبْحَانَهُ أَن يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ ۘ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا
[alnasayiyi - 171]
ya 'ahl alkitabi! la tatajawaz fi dinik hadak , wala taqil lilah 'iilaa ma hu haqa. hqan 'iina almasih eisaa bn maryam hu rasul allah , wafaqat kalimatah alati 'arsalaha 'iilaa maryam , wahi ruh 'atat minhu. famanuu biallah warasulihi. wala tuqali: thaluth. taeliqun! sayakun jayidan lak fi alwaqie , 'iina allah 'iilah wahid faqat. taealaa walah walada. lah kula ma fi alsamawat wal'arda. wallah yueawil ealayh bima fih alkifayatu.

Hapa quran inabainisha kuwa Yesu ni Neno na Roho ya Mungu!
[emoji116][emoji116]
wafaqat kalimatah alati 'arsalaha 'iilaa maryam , wahi ruh 'atat minhu

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Ndivyo biblia yako ilivyoandika?
Pedophile mpaka wazazi wake wapo wanachomwa moto

A man asked : where is my father, Messenger of Allah? He replied! Your father is in Hell. When he turned his back, he said : My father and your father are in Hell.Sunan Abi Dawud 4718
 
Dini ya majini hakika.
Majini ni viumbe kama wewe binadamu hawayaoni kwa macho yao lakini yenyewe yana waona binadamu majini ni wengi kuliko watu

Unaposema dini ya majini huo ni ushamba na ujinga ulijifuzia huko shakaholo kwa mackenzie kwa sababu hakuna bina damu alie weza kuwaona majini

Makazi yao ni wapi?

Majini wanaishi sehemu wanazo ishi watu hasa walio musi mungu mfano watu wanao abdu masanamu viumbe Mapango miti mikubwa mizimu wote wanao fauata ibada za kutunga kiongozi wao ni majini mfano miziki hasa inayo pigwa kanisani

Huku wanawake na wanaume wakicheza mchanganyiko hapo majini huyaondoi kukesha usiku makanisani mkilia wake kwa waume mchanganyiko tambua hapo majini wapo wachungaji waongo watumia mafuta hawazi kufanikiwa katika hilo lazima washirikiane na majini utaki basi lakini huo ndio ukweli
 
Unaposema dini ya majini huo ni ushamba na ujinga
Majini yalishakiri wao ni waislamu na kitabu chao ni koran , sasa wewe unawabishia na wana surah nzima wamechomeka kwenye koran

Q72:1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2
 
Pedophile mpaka wazazi wake wapo wanachomwa moto

A man asked : where is my father, Messenger of Allah? He replied! Your father is in Hell. When he turned his back, he said : My father and your father are in Hell.Sunan Abi Dawud 4718
Huna jipya
Soma Marko 9:49 Mzee uliyemfanya Mungu amegeuzwa ndafu
 
Majini ni viumbe kama wewe binadamu hawayaoni kwa macho yao lakini yenyewe yana waona binadamu majini ni wengi kuliko watu

Unaposema dini ya majini huo ni ushamba na ujinga ulijifuzia huko shakaholo kwa mackenzie kwa sababu hakuna bina damu alie weza kuwaona majini

Makazi yao ni wapi?

Majini wanaishi sehemu wanazo ishi watu hasa walio musi mungu mfano watu wanao abdu masanamu viumbe Mapango miti mikubwa mizimu wote wanao fauata ibada za kutunga kiongozi wao ni majini mfano miziki hasa inayo pigwa kanisani

Huku wanawake na wanaume wakicheza mchanganyiko hapo majini huyaondoi kukesha usiku makanisani mkilia wake kwa waume mchanganyiko tambua hapo majini wapo wachungaji waongo watumia mafuta hawazi kufanikiwa katika hilo lazima washirikiane na majini utaki basi lakini huo ndio ukweli
Kwahiyo Misikitini mnaswali pamoja na Waislamu wenzenu Majini akina Jini Popobawa, Jini Mahaba, Jini Subiani, Jini Zaharani nk ?
Na mnajisikia amani tu.

Hivi kwanini Majini yalikosa nabii wao wa Kijini hadi yamchague Binadamu Mtume wenu?
Hamuoni kuwa mmeingizwa kingi bila kujua.
Hivi mnayaandalia mazingira gani Majini yanapokuja kuswali misikitini ?
 
Bado natafiti pia,lakini kwa namna uislam ulivyokaa kimasta,nachelea kusema hawa wanaodai hilo wana hoja,wasikilizwe.

Labda walikuwa na hesabu nyingine matokeo yakawa mengine.
Na bado kuna wanaoona Shetani anahusika moja kwa moja. Yani ni kutapatapa tu.

Mkuu hilo la RC wamehusika vp hakuna jibu watu wamekariri tu.
 
Narudia tena anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo ni dini nyingine , ata awe anatumia biblia asipo kiri uungu wa Yesu anakuwa ni mwislamu mwenzako au dini nyingine tu
Ushahidi gani unaosema ili uwe mfuasi wa Yesu(mkristo) lazima ukiri Yesu ni Mungu?
 
Back
Top Bottom