Ni utumbo ndio,kama yangekuwa sawa na yanalingana isingeshuswa Quran tena na ufunuo tofauti kabisa mpaka Mungu anaonekana mpuuzi kupitia Quran kumbe ni uhuni tu wa jamaa mmoja.
Ukristo umejadiliwa sana nikwambie,yaani ukikuta mijadala mtandaoni 99% ni bible inachakatwa,sio akina mazinge,naik,deedat,hijab,dawar nk,lakini uislam na Quran havijawahi kuwekwa angle ngumu kama alipoviweka huyu mgalatia.
Watu wamebaki kubweka tu,muongo muongo lakini hakuna mwenye uwezo wa kuvunja joja zake,wanaojaribu kumsahihisha wanaishia kukubaliana na hoja zake.
Uzuri hazuii mtu kujadiliana naye,hata wewe unaweza ukampigia mkajadili hoja kwa hoja.
Yuko humbel sana,hata ukijaribu kukimbia atakupigia[emoji23][emoji23][emoji23].
Yeye hoja yake ni kwamba Muhamad hawezi kuwa mtume wa Mungu,si kwa jambo jingine ila kwa yaliyoandikwa kwenye Quran.laah aliyempa ufunuo mtume wa kiislam ni shetani.
Na hii ndio ilikuwa comeback hatari sana ya mtume,akitoa boko mkachachamaa kesho anakuja na uvufunuo mwingine unaohusu mtafaruku wenu[emoji2][emoji2],hakuna shahidi wala dalili ni yeye atakuja na kuwaambia lei nimepewa hii.