jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,377
- 43,259
Kwani biblia ni kitabu Cha nani!?
Na kwanini ukitumie kitabu unachodai kimechakachuliwa kama reference.
Kwani biblia ni kitabu Cha nani!?
Qur'an Imekuja Kusadikisha Yaliyo Kabla Ya Qur'an(Injili,Zaburi Na Torati)Pia imekuja Kusahihisha (Injili,torati na Zaburi) Baada Ya Kuwa Zimeharibiwa Na Warumi Na Baadhi Ya mataifa yalokuwa Na Nguvu.Biblia ilitangulia kabla ya Quran.Quran imecopy na kukengeusha Biblia
Hiyo tafsiri kwa lugha gani. iSSA ni jina lililotolewa na Mwenyezi Mungu mwenyewe lina maana pana kuliko muokozi. muokozi inaingia kweny moja ya maana zake.
.biblia Huwa inafanyiwa renovation Kila baada ya muda Fulani ili kuendana na wakati .je unadhani kwa kinacho badilishwa mtakuta Kuna mistari inayofanana kuhusu yesu na isa ???
Wazungu wajanja wajanja mara wamekuja na agano la kale mara agano jipya ili kuzidi kuweka TOFAUTI na kuwachanganya wafuasi WA mchungaji mashimo.
Sikilizeni ndugu zangu ,acheni kuuma uma maneno bwana
Yesu ndio huyo huyo NABII isaa mwana WA mariamu msilete kuchezea watu akili kama NABII Mackenzie WA Kenya.
Tumieni hata akili basi sio Kila kitu mnataka kuleta ubabaishaji.
Hiki ni kichekesho.Qur'an Imekuja Kusadikisha Yaliyo Kabla Ya Qur'an(Injili,Zaburi Na Torati)Pia imekuja Kusahihisha (Injili,torati na Zaburi) Baada Ya Kuwa Zimeharibiwa Na Warumi Na Baadhi Ya mataifa yalokuwa Na Nguvu.
3:3 Qur'an
"Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili"
Injili Iliharbiwa Yesu Akaitwa Mwana Wa Mungu
Torati Iliharibiwa Mpaka leo Kwenye Biblia Kuna Kumbukumbu la torati Tu torati Yenyewe Haipo.
Kama biblia inavosema kwenye Daniel 7:25
Danieli 7:25
"Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati"
Ukisoma kwenye daniel 7:24
Inatajwa kuhusu Pembe Kumi Hayo Ni mataifa 10 yenye nguvu Kipindi kile Yaliogeuza Maneno kinyume,Wakabidili wakati ukawa Kigegoria.(January,February mpk December)
Quran imekuja kurekebisha Injili ya Nabii Issa,Torati ya nabii Musa na Zaburi ya Nabii Daudi Zilizoharibiwa Na Mataifa Yenye Nguvu Ikiwemo roma.
Mambo ya imani yatakuua tuu sio mda mtakuja kusema allah sio mungu huyu wa wa wakristowewe usidanganye bana, hawa watu ni tofauti kabisa labda hujafuatilia. Hata mimi nlikua nawaza hivyo, yesu si issa.
Kichwani Kuna maharage humo!
Hii ni Biblia ya Kiarabu Kuna Jina issa hapo??
[emoji116][emoji116]
تيطس 2:13
نتطلع إلى الأمل المبارك وإعلانات مجد المسيح يسوع ، الإله العظيم ومخلصنا
natatalae 'iilaa al'amal almubarak wa'iielanat majd almasih yasue , al'iilah aleazim wamukhalisuna
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu
Unaambiwa muham mad Kafa bila kutamka Jina Tissue!
Angetamka tu Yassue Angepona na mapepo yangemtoka!
Kabakia anauma ulimi issa issa I have... [emoji56][emoji15][emoji12]
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Hiki ni kichekesho.
Yaani Qurani ije irekebishe Biblia.
Dini ya Majini ije irekebishe Dini ya Manabii wa Mungu.
Hebu mjibuni kwanza Rushdie aliye thibitisha kuwa Qurani imejaa Aya za Shetani kwanza.
Yaani Allah Mungu anayesikia Lugha ya Kiarabu tu.
Mungu anayesikia sala kwa wanaosali kuelekea Maka tu.
Mungu anayewaruhusu mulisujudie Jiwe Jeusi na kumpiga mawe Shetani.
Ndio afanane na Mungu wa kwenye Biblia.
Na huyo Mtume wenu ambaye hamtaki matendo yake yasemwe hadharani huku mmeyaandika wenyewe ndio arekebishe Biblia.
Biblia hii ambayo ili Qurani ieleweke lazima muirejee.
Hiyo ni mizaha ya kiwango cha lami.
Hicho kinyago umekitoa wapi?Unaongelea biblia ipi kati ya biblia zaidi elfu 10 tofauti
Dini ya majini ni hii iliyomweka ibilisi nyoka kwenye msalaba
![]()
Tumekusikia Sasa jibu swaliHicho kinyago umekitoa wapi?
Nani alikuambia nyoka ni Majini ?
Majini si ni Waislamu wenzenu au unataka kuikanusha Qurani?
Na Muhammadi si ni Mtume wa Majini pia na aliyasilimisha mengi tu yakawa Maislamu au unamkanusha mtume ?
Na nyinyi mnasema mna undugu wa kupika na kupakua na ndugu zenu wa Kijini ?
Na wana sura nzima ndani ya Qurani yanaongea yenyewe tu.
Sura ya Majini.
Leo unayakataa tena, utakuwa Muislamu bandia wewe.
Yaani Majini yaisahihishe Biblia ?
Ni wendawazimu.
Lete aya inayomtaja Yesu katika Quran acha ngonjeraKatika Quran mtu huyo Yesu hayumo kwani katika biblia ameandikwa kuwa amezaliwa kutokana na ukoo wa zinaa , na kwa mujibu wa Biblia hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu
kwa kukuongezea
Jesus' Original Name:
Prophet Jesus' original name was Eesa, as this is also his Islamic name.
Even in Latin, it is Iesu, and in Greek it is Iesus. There is also a great deal of evidence that Jesus spoke and preached in Arabic.
Not only that, but Greek wasn't even that popular in Palestine.
Islam's claims are very strongly supported.
See proofs below.
In Hebrew, Asa (pronounced as EESA) means doctor or healer: "Asa is a given name in several parts of the world.
In English, the usual pronunciation is /ˈeɪsə/ or /ˈeɪzə/......Asa: a Hebrew name meaning healer and/or physician (Ase)." (Source Asa (name) - Wikipedia )
Jesus' miracles were almost entirely medical ones, i.e., healing the sick. So it makes perfect sense that people used to call the Messiah, Eesa (ˈeɪsə), because of his miraculous healing powers. The Jews pronounce the name as Eesa (ˈeɪsə):
Lete aya inayomtaja Yesu katika Quran acha ngonjera
Ndio maana mkifa mnakamuliwa mavi muingie peponi wasafi.
Faking disgusting
Pathetic human beings
🤣🤣🤣Katika Quran mtu huyo Yesu hayumo
Yesu yupo unayeongelea ? Huyu aliyezaliwa kutokana na ukoo wa zinaa Kama biblia ilivyoandika? Ambaye biblia inasema hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu ?🤣🤣🤣
Sasa jikite kumhubiri Isa achana na Yesu
Kwani agano maana yake nini?.biblia Huwa inafanyiwa renovation Kila baada ya muda Fulani ili kuendana na wakati .je unadhani kwa kinacho badilishwa mtakuta Kuna mistari inayofanana kuhusu yesu na isa ???
Wazungu wajanja wajanja mara wamekuja na agano la kale mara agano jipya ili kuzidi kuweka TOFAUTI na kuwachanganya wafuasi WA mchungaji mashimo.
Sikilizeni ndugu zangu ,acheni kuuma uma maneno bwana
Yesu ndio huyo huyo NABII isaa mwana WA mariamu msilete kuchezea watu akili kama NABII Mackenzie WA Kenya.
Tumieni hata akili basi sio Kila kitu mnataka kuleta ubabaishaji.
Biblia ni Maktaba!;Tumekusikia Sasa jibu swali
Unaongelea biblia ipi kati ya biblia zaidi elfu 10 tofauti
Dini ya majini ni hii iliyomweka ibilisi nyoka kwenye msalaba
Baadhi ya majina ya watu watukufu kama Yesu hutolewa na Mwenyezi Mungu mwenyewe mwenye kujua lugha zote na hikima zake.Achana na maana.Hata mtume Muhammad pia jina lake limetoka kwake. Angalia jinsi Allah aiyetukuka alivyotoa jina la Yesu kumwita Issa. (Qur’an 3.45) - Kumbukeni waliposema malaika Ewe Maryam! Mwenyezi Mungu anakupa habari njema za (kumzaa mtoto bila ya mume, bali kwa kutamkwa) neno tu litokalo kwake (la kukwambia "zaa" ukazaa pasina kuingiliwa) Jina lake ni Masih, Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na akhera, na miongoni mwa waliopelekwa mbele ya Mwenyezi Mungu.Taja maana ya Jina Isa
Naongelea Bilblia ya Allah yenye Torati, Zaburi na Injiri. Sijui kwanini nakupenda kuijumuisha Qurani kwenye Biblia.Tumekusikia Sasa jibu swali
Unaongelea biblia ipi kati ya biblia zaidi elfu 10 tofauti
Dini ya majini ni hii iliyomweka ibilisi nyoka kwenye msalaba