mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,254
- 9,174
Kwanini kulani inamng'ang'nia Yesu mfalme wa wafalme?
Mkuu;
Ukiona watoto wanapopoa muembe kwa mawe ujue kuna embe tamu.
Kwanini kulani inamng'ang'nia Yesu mfalme wa wafalme?
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
BWANA YESU APEWE SIFA.
AMANI YA ALLAH IWE NANYI NYOTE NDUGU WAISLAMU.
MADA YETU ITAHUSU EISA BIN MARYAMU NA YESU KRISTO AL MASIH JE NI MMOJA?
JE YESU/YESHUA NDIYE NABII ISSA ?
Mada hii ni ndefu sana lakini mm nitaifanya fupi sana kwa kutoa tofauti za hawa watu ISSA KTK UISLAMU NA YESU KTK UKRISTO.
kimsingi imani ya kikristo imejengwa juu ya Yesu mwenyewe ndiye mwenye kuianzisha na ndiye atakayeitimiza soma
WAEBRANIA 12[emoji116]
2 tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.
BAADA YA KUBAINISHA HOJA YA KUWA IMANI YA KIKRISTO IMEANZISHWA NA YESU BASI TUANGALIE TOFAUTI ZA MSINGI SANA KATI YA HUYU MWENYE KUITWA ISSA NA HUYU MWENYE KUITWA YESU.
1.kuhusu mahali walipozaliwa
YESU ALIZALIWA kwenye hori la kulishia ng`ombe mjini Bethlehem ya Uyahudi
" Akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto ,AKAMLAZA KTK HORI YA KULIA NG`OMBE ."( Mathayo 2:7).
Isa bin Maryamu alizaliwa chini ya mtende ,soma ktk surat Maryam aya ya 23[emoji116]
(23) Maryam
Kisha uchungu ukampeleka kwenye [HASHTAG]#shina[/HASHTAG] la [HASHTAG]#mtende[/HASHTAG]; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa
Kwa tofauti za mahali pa kuzaliwa tu hawa si mmoja bali wawili tofauti, maana haiwezekani mtu mmoja akazaliwa sehemu mbili tofauti HAIWEZEKANI, hata hivyo kuran tukufu haisemi huo mtende ulikuwa nchi Gani ,haisemi na kijiografia miti ya mitende humea jangwani ,na nchi ya Arabia yote ni jangwa bila shaka ni maeneo ya Arabia alikozaliwa Isa bin Maryam .
LAKINI HALI NI TOFAUTI SANA KWA YESU KRISTO huyu alizaliwa sehemu inayojulikana wazi BETHLEHEM YA UYAHUDI IPO HADI LEO .
ningeweza kuishia hapa ,maana hoja imeisha maana Hakuna anayanayezaliwa sehemu mbili tofauti ,Hivyo kwa tofauti hizi Isa si Yesu.
Lakini kwasababu ya ugumu wa mioyo wa wengi wetu ngoja nichambue hoja nyingine kuhusu Yesu na Isa
2.ISA SI MWANA WA MUNGU LAKINI YESU NI MWANA WA MUNGU.
Soma
(111) Al-Israa
Na sema: Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye [HASHTAG]#hana[/HASHTAG] [HASHTAG]#mwana[/HASHTAG], wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa.
LAKINI Yesu ni Mwana wa Mungu [emoji116]
16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
17 na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
MATHAYO 3
&
Yohane 17[emoji116][emoji116]
1 Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe;
3.KUHUSU UTUME WAO.
ISA ni mtume kwa wana wa Israeli peke yao ,hakuwa na zaidi ha hapo ,soma[emoji116][emoji116]
(59) Az-Zukhruf
Hakuwa yeye (Isa) ila ni Mtumwa tuliye mneemesha na tukamfanya ni mfano kwa Wana wa Israili.
Lakini utume wa Yesu ulikuwa mpana zaidi ya mipaka ya Israeli , naam ilimpasa aanzie kwa wana wa Israeli kwanza kisha na mataifa yote hata miisho ya dunia
NDIO MAANA Yesu alitamka haya, maana muda wa kwenda nje ya mipaka ya israeli ulikuwa bado haujawadia
[emoji116][emoji116]
24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
(MATHAYO 15)
Waislamu hujenga yao kuwa Yesu alitumwa Israel tu kwa aya hii! Upofu mkubwa
NA MUDA ULIPOWADIA YESU ALIAGIZA INJILI IHUBIRIWE KILA TAIFA CHINI YA MBINGU
[emoji116][emoji116][emoji116]
18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, [HASHTAG]#mkawafanye[/HASHTAG] [HASHTAG]#mataifa[/HASHTAG] [HASHTAG]#yote[/HASHTAG] kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari(MATHAYO 28)
Na Yesu alifundisha Wanaomwamini Wabatizwe Jambo ambalo Isa hakuwahi kufundisha ndio maana wafuasi wa Isa(Muslms) hawabatizwi huku wafuasi wa Yesu wanabatizwa.
Swali linabaki kwanini Issa analazimishwa kuwa Yesu? Na kwanini Yesu analazimishwa kua muislamu wakati yeye si Issa?
BWANA AWE NAWE KTK KUTAFAKARI HAYA !

Na wala YESU si JESUS
"Prove all things, hold fast to that which is good."
1 Thessalonians 5.21
Naona shipa linakutoka utetezi huna......
Father of Lies?
"All scripture is given by inspiration of God" – 2 Timothy 3.16.
"And for this cause God shall send them strong delusion, that they should believe a lie." – 2 Thessalonians 2.11

Yesu sio Issa aisee
Hebu tuondolee utata wa kuzaliwa kwa Yesu na Issa ili tuamini ulichoandika. Inawezekana mtu mmoja akazaliwa chini ya mtende na kwenye hori la wanyama ng'ombe?Nabii Isa Mwana wa Maryamu ni Yesu huyo huyo!!
Kwa sababu Wakristo wengi kuanzia Papa, Makadinali, Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na waumini wote wa Kikristo wanakiri kwamba Issa (a.s.) ndiye Yesu. Kwa sababu Waislamu tunasema Issa (a.s.) si Mungu, na hakusulubiwa kwa maneno hayo Wakristo hutuambia kwamba tunakashifu kwa usemi huo ni dhahiri kwamba Issa (a.s.) ndiye Yesu.
Huu ni utangulizi tu wa kuwafahamisha Wakristo wote wanaokataa kwamba Issa (a.s), Wakristo katika kuonyesha kwamba Issa (.a.s.) na Yesu ni tofauti huainisha mambo sita, hayo ni (1) jina (2) ukoo (3) kuumwa (4) kuzaliwa (5) utume (6) matendo yao kwa mambo haya 6. Mada hii imerefushwa sana na mimi nitamfundisha moja baada ya moja kama alivyopanga ili aelewe vilivyo kwamba Issa na Yesu ni Mtu yule yule na pia ajue kwamba Waislamu wanayo elimu ambayo si ya kubabaisha.
Hoja ya kwanza inayotolewa ambayo wao huona kwamba Issa (a.s.) si Yesu ni hii ya jina na hapa hapa nanukuu kama wanavyoandika, nanukuu hapa chini,
Kimatamshi jina la Yesu kwa Kiarabu ni YASU. Hivyo ndivyo aitwavyo na Waarabu. Wakristo tangu zama za kabla ya Muhammad na ndivyo aitwavyo ndani ya Injili ya Kiarabu iliyotafsiriwaWaraa bin Naufal bin Asad kabla ya utume wa Muhammad (sahihi Muslim hadith 30). Haya ndio mafundisho ya baadhi ya wakristo na kwamba Wakristo wote wa Kiarabu walimwita Bw. Yesu, YASU kwa maelezo haya ni kwamba wanatufahamisha kwamba Yesu ndiye YASU kwa hilo (tunawaunga mkono) tunakubaliana nao, hakuna tofauti kama wanavyodai. Waarabu Wakristo walimwita YASU badala ya Yesu na Waislamu ni Isa.
Nanukuu tena usemi wao wa pili huandika hivi!
Jina la Issa linatokana na jina AYASI lenye maana ya wekundu uliozidiana na weupe (Badawi, Vol 1 ukibo) kwa maana hiyo jina la Yesu ni mwokozi wa Issa ni wekundu na weupe. Hii huoni kuwa ni tofauti?
Wakristo huuliza swali na mimi nawajibu kwamba hakuna tofauti kwa sababu wametufahamisha kwamba AYASI ndio inayozaa Issa au kwa maana nyingine ni kwamba tafsiri ya AYASI ni Issa kama vile Father maana yake baba bado hawajafundisha kitu ila wanajichanganya wenyewe!
Lakini hujaribu kujenga hoja kwamba Issa maana yake ni Wekundu na Weupe hapa napenda kuwafundisha kwamba Bwana Yesu ni wa ukoo wa Daudi na Daudi alikuwa nabii Mathayo 1.1 - Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. Aya hii inatufundisha kwamba bwana Yesu ni wa ukoo wa Daudi yaani ametoka katika tumbo la Daudi.
I Samweli 16! 11-13 kisha Samweli akamwambia Yesu, watoto wako wote wapo hapa? Naye akasema, amesalia mdogo wao, na tazama, anachunga kondoo. Basi Samweli akamwambia Yesu. Tuma watu, wamlete, kwa sababu hatutaketi hata atakapokuja huku. Basi akatuma mtu, naye akamleta kwao, naye alikuwa mwekundu, mwenye macho mazuri, na umbo lake lilikuwa la kupendeza. Bwana akasema, ondoka, umtie mafuta, maana huyu ndiye. Ndipo Samweli akaitwaa pembe yenye mafuta, akautia kati ya ndugu zake na roho ya Bwana ikamjilia Daudi kwa nguvu tangu siku ile. Basi Samweli akaondoka, akaenda zake Rama.
Wimbo ulio bora 5! 10- Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu mashuhuri miongoni mwa elfu kumi.
Aya hizi mbili zinatufundisha sifa za Nabii Daudi ambaye ndiye wa ukoo mmoja na Yesu kwa hiyo Bwana Yesu amechukuwa jina la Wekundu wa weupe kutoka kwa Nabii Daudi.
Kwa maana hiyo hakuna tofauti yoyote kati ya Issa (a.s.) na Yesu. Nabii Daudi amefanywa kuwa masihi na Samweli kwa idhini ya Mungu, hali kadhalika na Issa (Yesu) amefanywa masihi na kuitwa hivyo sasa tuisome Qur’an 3.45 - Kumbukeni waliposema malaika Ewe Maryam! Mwenyezi Mungu anakupa habari njema za (kumzaa mtoto bila ya mume, bali kwa kutamkwa) neno tu litokalo kwake (la kukwambia "zaa" ukazaa pasina kuingiliwa) Jina lake ni Masih, Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na akhera, na miongoni mwa waliopelekwa mbele ya Mwenyezi Mungu.
Wakristo wote wanakubali na kuamini kwamba Bwana Yesu ni Masih, na Qur’ani imetufahamisha kwamba Masih ndiye Issa mwana wa Mariyamu kwa maana hii mtu ni yeye yule, sasa nakuuliza Waingereza wanamwita Jesus jee huyu ni nani? Kati ya Isa, Yesu, Yasu?
Fahamu kwamba lugha ya Kiarabu inafanana na lugha ya Kiarau lugha hii ni lugha dada ya Kiarabu hivyo, zinafanana Issa hutamkwa na Waarabu na Isai hutamkwa na Bani Israil (wana wa Israil) ambao hutumia lugha ya Aramic.
Bwana Yesu alikuwa anaitwa Yehoshua lakini Wayunani walishindwa kuita Yehoshua wakaita Yesu. Kwa hiyo waliacha Ho na shua wakakata Yesu sasa ninakushangaa wewe kutoa tafsiri ya Yesu kwamba ni mwokozi wakati neno lenyewe limekosewa kutamkwa.
Hivi sasa atakaporudi bwana huyo tunayemwita Yesu halafu tumuite Yesuu, Yesuu, Yesuu sidhani kwamba ataitikia kwa sababu jina hilo halitambui. Hakuna jina Yesu katika Israel bali utakuta jina Yoshua, Ishaya, Yona, Isaya, Isai, Yakobo, lakini Yesu si jina la Kiisrael.
Lakini sisi Waislamu hayo hayatupi tabu kuyatumia, sisi tunaita Yesu au Jesus kwa kuwaridhisheni nyingi ili tuweze kuwasiliana kwa hilo tunalokusudia kulizungumzia kama vile Mtume Musa mnavyomwita Moses jee unadhani kwamba kama akija leo atakubali kuitwa Moses?
Hali kadhalika huyu mwanafunzi wa Yesu mnaemwita Petro hili si jina lake bali ni jina la kupanga tu alilopewa na Warumi lakini sisi hatuwezi kusema kwamba Warumi wana-Petro wao na sisi tuna Simon Bar Yona wetu, na huyu Simon bar Yona ni ukoo wa Yesu.
Mathayo 16:16 - Simon Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliyehai. Yesu akajibu akamwambia, Heri wewe Simon Bar Yona kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali baba yangu aliye mbinguni.
Elewa hapa bwana Yesu kama mwalimu mwema anatufundisha kwamba Petro jina lake halisi Simon bar-Yona, sasa nyie muiteni mpendavyo lakini mtuambie hapa tuna maana ya Simon bar-Yona basi tutawasikiliza kwa hilo hilo mpendalo.
Ndio maana sisi Waislamu tunasema huyo mnayemwita Yesu ni Issa (a.s.) tusigombanie jina tugombanie mtu mtarajiwa.
Tunakubali Yesu ni mwokozi lakini si maana ya jina Yesu bali hiyo ndio kazi yake aliyojia duniani kuokoa, Mathayo 1:21.
Kwa Jina Issa kua na maana ya wekundu na weupe ina Ashiria nini kiunabii ama kazi yake kwa ujumla? Unaweza kufafanua hapo?.Nabii Isa Mwana wa Maryamu ni Yesu huyo huyo!!