Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Yaani waarabu wenyewe hata habari hawana na wengi wanasilimu , wala hakuna hata mmoja anayeleta huo utumbo wako , unakuja wewe Msukuma wa Chato unajifanya ni mwarabu ngangari baada kushibishwa ugali na maharage ya sadaka kanisani.😛
ww msemaji wao??[emoji56][emoji15][emoji12]
 
Baadhi ya majina ya watu watukufu kama Yesu hutolewa na Mwenyezi Mungu mwenyewe mwenye kujua lugha zote na hikima zake.Achana na maana.Hata mtume Muhammad pia jina lake limetoka kwake. Angalia jinsi Allah aiyetukuka alivyotoa jina la Yesu kumwita Issa. (Qur’an 3.45) - Kumbukeni waliposema malaika Ewe Maryam! Mwenyezi Mungu anakupa habari njema za (kumzaa mtoto bila ya mume, bali kwa kutamkwa) neno tu litokalo kwake (la kukwambia "zaa" ukazaa pasina kuingiliwa) Jina lake ni Masih, Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na akhera, na miongoni mwa waliopelekwa mbele ya Mwenyezi Mungu.
Kwani Isa ni Lugha gani, au ni Lugha ya Mungu.
Maana kwenye Qurani ya Kiswahili kuna jina la Isa.
Kwenye Qurani ya Kiingereza kuna Jesus.
Kwa Kiarabu Jesus ni Yasua
Kwa Kiswahili Jesus ni Yesu.
Kwanini hamwandiki Yesu kwenye Qurani ya Kiswahili.
 
KUROGWA KWAKE MUHAMMAD,

Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Al'answan alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo.
(Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39)

YAANI INA MAANA MUNGU ALIKOSA MTU WA KUTUMA MPAKA ATUME MUHAMMAD ALIYECHEWA NA MASHETANI?

HUU NI MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM, MAANA SASA TUNAFAHAMU KUWA MUHAMMAD SIO TU ALIZALIWA NA MASHETANI BALI ALIONGEZEWA MASHETANI KWA KUROGWA.

Ingawa hakuna aya au hadith inayo sema kuwa Muhammad alitolewa Mashetani, hivyo sio kosa kukiri kuwa Muhammad alikufa akiwa na Mashetani ndani ya nyoyo yake na hivyo mwisho wake ni Jehannam ya moto.

Msiba ukaendelea baadae, sasa na Mwandishi wa Quran na yeye kapagawa na Mashetani.

Jamani, hivi, kwanini Waislam hawasomi vitabu vyao?

KUMBE ALIYEANDIKA QURAN ALIKUWA NA SHETANI?

SOMA:

Mtu wa Awali, aliyejifundisha kusoma na kuandika katika Mji wa Makka alikuwa Bwana Harb bin Umayya-babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yaman, na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa Makka.

Wakati Mtume alipopata utume walikuwako watu 6 tu katika Makka waliokuwa wakijiua kuandika. Wa 4 katika yao waliingia katika Uislamu, wakawa ndiyo waandikaji "Wahyi" (aya za Qur'an), watu hao walikuwa ni Sayyidna Abubakar. Sayydna Umar, Sayyidna Uthman na Sayyidna Ali. (Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)

SAYYIDNA ABUBAKAR,
Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)

SASA KAMA "QURAN" KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI, KWA NINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI?

Ndugu msomaji, nakusihi uwe makini na Uislam maana hakuna jema kule zaidi ya Mashetani kila kona. Kuanzia Muhammad, Quran mpaka Allah wao, wote wamethibitisha kuwa Shetani ndio aliye kwenye nyoyo zao.

Sasa kwanini ufuate Shetani wakati Mungu Mkuu yupo na anakupenda?

YESU NDIO NJIA PKEE YA WOKOVU. ALLAH SIO NJIA. MUHAMMAD SIO NJIA. QURAN SIO NJIA.
WATU WASIO NA AKILI WANAAMINI MANENO YA MUNGU YALIO CHAKACHULIWA

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Waliochakachua bibilia haukuwa Kwa bahati mbaya ila walifanya makusu Ili wawapoteze watu wasio jielewa kama wewe na wamefanikiwa

Paulo alianzisha dini ya ukristo miaka 30 Baada ya Yesu/ lsa kupaa

Hivyo basi Yesu/Isa haijui dini ya ukristo

Ukiristo ni product ya Paulo

Matendo ya Mitume 11:25
Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli;
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Hamumjui Mungu wa kweli maana Yesu sio Mungu

Hamuna mtume maana Paulo sio mtume

Hamuna vitabu maana Wakolintho, wagalatia, Efeso sijui Tito sio vitabu vya Mungu

Hamuna dini maana ukristo sio dini

Mnyama aliyetabiliwa na nabii Daniel ndio Paulo na ukristo wake
 
Nafunga mada hapa

Yesu ndio huyo huyo issa bin Maryam

Kwa sababu hizi zifuatazo

Yesu hakuwa na baba alizaliwa na bi Maryam
Issa hakuwa na baba na alizaliwa na bi Maryam

Ulisema issa na yesu ni watu wawili tofauti umedanganya kwa hoja dhaifu mno

Labda utuambie mama yake issa na mama WA yesu ni TOFAUTI

Kama ni wawili tofauti mbona kitabu walipewa kimoja??????

Nyie wagalatia mnapenda sana kuvuruga wenzenu ili muwapige sadaka mkajenge mahelalu.
 
Naongelea Bilblia ya Allah yenye Torati, Zaburi na Injiri. Sijui kwanini nakupenda kuijumuisha Qurani kwenye Biblia.

Tumekusikia Sasa jibu swali

Unaongelea biblia ipi kati ya biblia zaidi elfu 10 tofauti

Dini ya majini ni hii iliyomweka ibilisi nyoka kwenye msalaba
 
Na kwanini ukitumie kitabu unachodai kimechakachuliwa kama reference.
Kutumia kivipi!?..maana hata the river between natumia, petals of blood pia...halafu biblia siyo Mali ya kanisa,ilikuwepo kabla ya kanisa na yesu kuzaliwa
 
Nafunga mada hapa

Yesu ndio huyo huyo issa bin Maryam

Kwa sababu hizi zifuatazo

Yesu hakuwa na baba alizaliwa na bi Maryam
Issa hakuwa na baba na alizaliwa na bi Maryam

Ulisema issa na yesu ni watu wawili tofauti umedanganya kwa hoja dhaifu mno

Labda utuambie mama yake issa na mama WA yesu ni TOFAUTI

Kama ni wawili tofauti mbona kitabu walipewa kimoja??????

Nyie wagalatia mnapenda sana kuvuruga wenzenu ili muwapige sadaka mkajenge mahelalu.
Kwenye Qurani Isa ni mhusika asiye na majukumu yoyote kwa Waislamu na Uislamu.
Kwetu Wakristo Yesu ndio Mwalimu wetu na Mwokozi.
Tunaishi kwa kutegemea mafundisho yake tu.
Na tunamsubiri aje atuchukue siku ya mwisho na kutupeleka aliko tuandalia makao ya milele.

Isa kwa Waislamu sielewi kwanini wanamg'ang'ania, hana faida yoyote kwao.
Wanasema ni Mtume tu tena kwa Wana Yakobo.

Kwa mujibu wa Qurani Mtume wa Waislamu ni Muhammadi tu. Hao wengine hawawahusu kabisa.

Ni La illah ila Allah
Muhammadi rasulillah.

Kiapo chao
Mtume wako nani, Muhammadi
Dini yako ipi, Uislamu
Mungu wako yupi, Allah, fullstop.
Huyo Isa wanini kwenu ?

Sijui kwanini Waislamu mnamshupalia Isa. Hana shughuri yoyote kwenyu.
 
Tumekusikia Sasa jibu swali

Unaongelea biblia ipi kati ya biblia zaidi elfu 10 tofauti

Dini ya majini ni hii iliyomweka ibilisi nyoka kwenye msalaba
Wewe Leo unawakanusha ndugu zako wa Kijini na waliongea na Mtume live kabisa, na wakaswali naye pamoja na kusoma Qurani.

Biblia ninayo iongelea ni Biblia aliyoiteremsha Allah.
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Tofauti nyingine ni ISSA hakufa msalabani ila YESU KRISTO wa Nazareth alikufa na kufufuka,
ISSA atarudi na kuoa Eti aje apate uzao, wakati YESU ni BWANA MUNGU,haoi [emoji2322]
Eti ISSA alimtetea Mariam wakati Joseph anataka kumkataa, wakati tunajua malaika Gabriel ndiye aliyetumwa kwa Joseph akimwonya asimuache.
Note that: Kuna watu walifanya editing ya Biblia ili kutimiza matakwa yao kwa kutumia logical argument, ndiyo maana hata case ya Ibrahim kumtoa sadaka Isaka,wao wanasema aliyetaka kutolewa sadaka ni Ismael [emoji2322][emoji2322]
 
Labda utuambie mama yake issa na mama WA yesu ni TOFAUTI
Maria mama wa Isa hafiti kwenye biblia kabisa , tukilazimisha afiti anaenda kuwa kaka na dada na Musa

Wazazi na ndugu wa damu wa Isa , tuna Imran , Maryam , Harun na Issa hii ni Koran
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
 
Kwa hiyo ndio mnavyodanywa na hao wachungaji wenu huko kanisani kuwa katika nchi ya Israel mtu mwenye jina la Imrani ni mmoja tu ambaye ndio baba yake Musa

Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo katika miaka yote 2000 katika nchi ya Israel hakujawahi kutokea watu wengine wenye majina ya Imrani zaidi ya baba yake Musa

Nyinyi wagalatia ndio maana mmepotea vichwa vyenu havina uwezo wa kufikiria
 
Kwenye Qurani Isa ni mhusika asiye na majukumu yoyote kwa Waislamu na Uislamu.
Kwetu Wakristo Yesu ndio Mwalimu wetu na Mwokozi.
Tunaishi kwa kutegemea mafundisho yake tu.
Na tunamsubiri aje atuchukue siku ya mwisho na kutupeleka aliko tuandalia makao ya milele.

Isa kwa Waislamu sielewi kwanini wanamg'ang'ania, hana faida yoyote kwao.
Wanasema ni Mtume tu tena kwa Wana Yakobo.

Kwa mujibu wa Qurani Mtume wa Waislamu ni Muhammadi tu. Hao wengine hawawahusu kabisa.

Ni La illah ila Allah
Muhammadi rasulillah.

Kiapo chao
Mtume wako nani, Muhammadi
Dini yako ipi, Uislamu
Mungu wako yupi, Allah, fullstop.
Huyo Isa wanini kwenu ?

Sijui kwanini Waislamu mnamshupalia Isa. Hana shughuri yoyote kwenyu.
Wala haujakosea Yesu/ sio chochote Kwa waislam Kwa Sasa maana utawala wake ulisha pita

Ila muache kudanganyana kuhusu Yesu maana Qurani inawaumbua Kwa uongo wenu

Qurani 5:75
Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa
 
Kwa hiyo ndio mnavyodanywa na hao wachungaji wenu huko kanisani kuwa katika nchi ya Israel mtu mwenye jina la Imrani ni mmoja tu ambaye ndio baba yake Musa

Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo katika miaka yote 2000 katika nchi ya Israel hakujawahi kutokea watu wengine wenye majina ya Imrani zaidi ya baba yake Musa

Nyinyi wagalatia ndio maana mmepotea vichwa vyenu havina uwezo wa kufikiria
Kama alitokea ndio huyo mama wa Isa na hajaandikwa popote kwenye biblia , nimekwambia tukijaribu kumfitisha lazima tukamuweke na Musa , kinyume chake mama wa Isa hafiti kwenye biblia

Back
Top Bottom