UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,240
- 9,654
Unaweza kueleza hivyo ilivyoanza?Imani ya ukristo ilianza na kukiri Yesu ni Mungu , sasa hao wanaosema si Mungu wametokea wapi na lini?
Unaweza kueleza hivyo ilivyoanza?Imani ya ukristo ilianza na kukiri Yesu ni Mungu , sasa hao wanaosema si Mungu wametokea wapi na lini?
Na hapa quran Inapobainisha YESU ni Mungu?!
Unasemaje???[emoji101]
[emoji116][emoji116]
يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ وَلَا تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ إِلَّا الْحَقَّ ۚ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَىٰ مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِّنْهُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ ۖ وَلَا تَقُولُوا ثَلَاثَةٌ ۚ انتَهُوا خَيْرًا لَّكُمْ ۚ إِنَّمَا اللَّهُ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ سُبْحَانَهُ أَن يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ ۘ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا
[alnasayiyi - 171]
ya 'ahl alkitabi! la tatajawaz fi dinik hadak , wala taqil lilah 'iilaa ma hu haqa. hqan 'iina almasih eisaa bn maryam hu rasul allah , wafaqat kalimatah alati 'arsalaha 'iilaa maryam , wahi ruh 'atat minhu. famanuu biallah warasulihi. wala tuqali: thaluth. taeliqun! sayakun jayidan lak fi alwaqie , 'iina allah 'iilah wahid faqat. taealaa walah walada. lah kula ma fi alsamawat wal'arda. wallah yueawil ealayh bima fih alkifayatu.
Hapa quran inabainisha kuwa Yesu ni Neno na Roho ya Mungu!
[emoji116][emoji116]
wafaqat kalimatah alati 'arsalaha 'iilaa maryam , wahi ruh 'atat minhu
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Majini yalishakiri wao ni waislamu na kitabu chao ni koran , sasa wewe unawabishia na wana surah nzima wamechomeka kwenye koran
Q72:1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2

Na bado kuna wanaoona Shetani anahusika moja kwa moja. Yani ni kutapatapa tu.
Mkuu hilo la RC wamehusika vp hakuna jibu watu wamekariri tu.
Hizo hoja zao ndio mie nina hamu ya kuzisikia, mfano hadi sasa nataka kujua ni vp RC walianzisha huo uislamu au wanahusika kwa namna gani?Cha msingi ni hoja za wanaodai hayo.
Wanaosema shetani anahusika hawakatai popote kwamba si RC,na ukumbuke RC imekuwa taasisi ya kudini mika chini ya 1000 iliyopita,hapo kabla ilikuwa ni tawala ya kidunia tu,ila kwa sasa ina miamvuli 2 kidini na kiutawala.
Usiwe na shingo ngumu ondoa govj hilo! nenda Tohara Kiroho sio hiyo yako ya kumflash shetani puani kwa maji ya bomba! Na lile dol la kati nawaitul raafal hadatha mpaka ndani[emoji56][emoji15][emoji12][emoji125]Inaelekea hupati choo vizuri , pata hii dawa itakusaidia usiongope mchana kweupe
Wakristo mnadai kwamba Yesu alikuwa Mungu kama mnavyonukuu katika Yohana 1:1
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu”.
Hayo ni maneno ya Yohana na si maneno ya Yesu, vile vile, neno la kwanza la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “HOTHEOS” ambalo linamaanisha “Mungu” likiwa na M kubwa, wakati neno la pili la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “TONTHEOS” ambalo linamaanisha “mungu” likiwa na “m” ndogo.
Je, huko si kukosa uaminifu kwa wale waliotafsiri Biblia ya Kigiriki?
Je, nukuu hiyo ya Yohana 1:1 iliyotambuliwa na kila mwanazuoni wa Kikristo aliyeisoma Biblia kwamba imeandikwa na Myahudi aitwae Philo Alexandria kabla ya Yesu na Yohana?
neno “god” au “TONTHEOS” pia halikutumika kuashiria wengine kama ilivyo katika Wakorinto 2 4:4 (Na Shetani ndie) mungu wa ulimwengu huu na katika Kutoka 7:1 “Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao; ?
Deuteronomy 10:16During the 1200's when gargoyles first appeared (and at many other times), the Roman Catholic Church was actively involved in converting people of other faiths to the Catholic, often very keenly indeed (as the Christian but non-Catholic Cathars could testify).
The argument for decorated gargoyles runs as follows. Since literacy was generally not an option for most people, images were very important. Since the religious images (if any) that non-Christians were accustomed to were of animals or mixtures of animals and humans (e.g. the horned god, the Green Man), then putting similar images on churches and cathedrals would encourage non-Catholics to join the religion and go to church, or at least make them feel more comfortable about it, or at least ease the transition.
This argument has reasonable grounds if you think about some of the other accomodations the Christian (not just Catholic) church has made, such as fixing the birth of Christ at around the winter solstice to fit in with existing pagan celebrations. Even the Romans made similar adaptations, e.g. in Britain the Celtic goddess Suli worshipped at modern day Bath bore a remarkable resemblance to the Roman goddess Minerva. Rather than replace Suli and upset the locals, both were incorporated into and revered in the Roman baths there. It's amazing how flexible an established church can be if it needs to be - pagan images? no problem if it puts bums on seats.
The Gargoyle Myth and how gargoyles drive off evil:I've put comments in brackets().
They can stand guard and ward off unwanted spirits and other creatures. If they're hideous and frightening they can scare off all sorts of things. They come alive at night when everyone's asleep (and you can't see them to prove that they don't) so
they can protect you when you're vulnerable. Better still, the ones with wings can fly round the whole area and cover the village or town as well as the church. (And if someone does see something, who's to say whether it was just a bat or one of the gargoyles on the wing?) They return to their places when the sun comes up (and no-one can prove that they weren't out and about, and no-one respectable who rises and sets with the sun is going to be mistaken by them for an enemy and be dealt with). If you want to see an example of the kind of gargoyle that fits the myth, look at the ones on Woburn church
Deuteronomy 10:16
Sasa jiulize MUNGU NI wa SIRI na waDHAHIRI KIVIPI??Waga nacheka Sana mabandiko yako lakini una faida moja humu jukwaani kutuwekea Aya kwa ukamilifu hongera kwa hilo. Yaan uko smart kwenye suala la Aya kula like
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Wewe govi bado limekung'ang'ania ondoa kwanza ndio uje tujadili hapa.. mada yetu Ni Yesu je Yesu sio Isaah? Lete nyarakaSasa jiulize MUNGU NI wa SIRI na waDHAHIRI KIVIPI??
Sasa Muone Mwenyezi Mungu(Wa Siri) Alivyojidhihirisha Dhahir kwa Umbile Bora la Kibinadamu!(Wa Dhahir)
[emoji116][emoji116]
John 1:1-3,14
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Hawa nduguzo ktk Imani huwa hawaso Biblia Takatifu wala Qaraa kuthibititisha Ukweli wa wanacho kiandika!
Wanakurupuka tu kama quran karim inavyosema!
[emoji116][emoji116]
۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ
[ AZZUKHRUF - 57 ]
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
[وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ
[ AZZUKHRUF - 58 ]
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi!
Usiwe na shingo ngumu ondoa govj hilo! nenda Tohara Kiroho sio hiyo yako ya kumflash shetani puani kwa maji ya bomba! Na lile dol la kati nawaitul raafal hadatha mpaka ndani[emoji56][emoji15][emoji12][emoji125]
Deuteronomy 10:16
Basi, zitahirini govi za mioyo yenu, wala msiwe na shingo ngumu.
Sasa jiulize MUNGU NI wa SIRI na waDHAHIRI KIVIPI??
Sasa Muone Mwenyezi Mungu(Wa Siri) Alivyojidhihirisha Dhahir kwa Umbile Bora la Kibinadamu!(Wa Dhahir)
[emoji116][emoji116]
John 1:1-3,14
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Hawa nduguzo ktk Imani huwa hawaso Biblia Takatifu wala Qaraa kuthibititisha Ukweli wa wanacho kiandika!
Wanakurupuka tu kama quran karim inavyosema!
[emoji116][emoji116]
۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ
[ AZZUKHRUF - 57 ]
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
[وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ
[ AZZUKHRUF - 58 ]
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi!
Na pia usiusahau muda wa kusoma na kujibu Kama ulivyofanya weweUkitak kujua kiwango cha umaskin kwenye jamii yko angalia jins wanavyotumia mda mwingi kubishana juu ya maswal ya kiiman
So isa ni chakaramu mmoja kutoka kwenye kundi la machokoraa anayetaka ajitwalie utukufu wa BWANA YESU KRISTOIsa ni mjumbe tu wa Allah na hawezi kutamka maneno kama haya.
Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia,
[emoji117]Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
{Isa hana mamlaka Mbinguni na Duniani}
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
{Isa hajui kabisa maana ya Baba, Maana na Roho Mtakatifu. Neno [emoji117]Mwana, analifananisha na neno [emoji117]Mtoto, kumbe sio}
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
{ Isa hayupo na sisi sasa na wala hajulikani alipo hadi hivi sasa}
Yohana 14:2
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
{Isa hana Baba}
Yohana 14:3
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
{Isa ni kama Muhamadi hawajui watakavyoganywa wao wala wafuasi wao}
Yohana 14:4 Nami niendako mwaijua njia.
{Isa haijui njia ya Mbinguni kama Muhammadi}
Yohana 14:5 Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia?
{ Isa hajawahi kuwa na Wanafunzi 12 aliowateua wafuatane naye kama akina Yohana wa Yesu}
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
{ isa ni kama Muhamadi anayesema
" Surah Al-Ah-qaaf: Ayah 9.
قُلۡ مَا كُنتُ بِدۡعٗا مِّنَ ٱلرُّسُلِ وَمَآ أَدۡرِي مَا يُفۡعَلُ بِي وَلَا بِكُمۡۖ إِنۡ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰٓ إِلَيَّ وَمَآ أَنَا۠ إِلَّا نَذِيرٞ مُّبِينٞ
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi"
Hivi mtu anayeongea maneno kama a hapo juu anaaminikanaje kuwa ni Mtume....![emoji848] ndio Bosi wa Isa huyo.
Yesu ana sifa za Kimungu zaidi ya Zilioni ukimlinganisha na Isa Bin Marriam aliyezaliwa na kuzikwa Madina.
Issa alishawahi kubatizwa? Je aliwahi kujazwa na Roho Mtakatifu?Isa ni mjumbe tu wa Allah na hawezi kutamka maneno kama haya.

Isa ameletwa kwa mpango maalum wa hila ya yule mwovu ili watu wasimsikilize Masihi ili wakose uzima wa milele.Issa alishawahi kubatizwa? Je aliwahi kujazwa na Roho Mtakatifu?