Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,812
- 4,415
Hii stori imekaa kidini zaidi na ukichukua upagani na ku argue katika dhana ya kuona Kwa macho Ili uamini basi stori Zote ni wrong! Maana hakuna kati yetu aliemuona Yesu Wala Nabii Issa!
Vitabu vya ancient history vinamtaja Yesu kama kijana wa kipalestina!!
Tofauti ni Katika dini
Uislam
Nabii Issa AS alizaliwa na Mariam bila baba Katika familia bora na alikuwa binadamu kama sisi na hakusulubiwa Wala hakufa msalabani kwakuwa alikuwa Mtume hawezi kulaaniwa kwa kuangikwa msalabani kama biblia inavyosema na logically Mtu hufa mara moja na akienda kuzimu huwa harudi. Kwahiyo kama Nabii Issa AS alipaa basi alipaa akiwa hai na atarudi kuwakana waliomzushia na atakufa na kuzikwa kama binadamu wengine. Atakufa one time.
Ukristo
Yesu alizaliwa na Mariam bila baba na ni Mungu na alikufa msalabani na akawekwa kwenye pango na akafufuka siku ya tatu na akawa anawatokea wanafunzi wake baadae akapaa na atarudi duniani kuwakana waliomzushia uongo na atakufa Tena mara ya pili na kuzikwa. Hii dhana Ina walakini maana Mtu hufa mara moja tu na pia kama Yesu ni Mungu Ina maana alipokufa msalabani Mungu wengine wawili Mungu Baba na Mungu roho mtakatifu nao walikufa au waliumwa sana maana mwenzao alikufa mfano wa mapacha walioungana mmoja akifa na mwingine anafuata this means dunia haikuwa na Mungu by that time Yesu anakufa!
It is just a personal decision kuamini unachotaka!
But jamani tutumie our brains maandiko yamechakachuliwa sana na kwanza hatuna uhakika nani aliandika biblia na Kwa maslahi Gani! Wazungu wameshasahau dini wanakula Bata tu wakiamini ukifa imeisha hiyo!!