Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Alaf wewe akili zako sijui zikoje.
Mwulize Nabii Isaya aliyeandika hapo.

Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
[emoji117]Mshauri wa ajabu,
[emoji117]Mungu mwenye nguvu,
[emoji117]Baba wa milele,
[emoji117]Mfalme wa amani.
Isaya 9:7
Maongeo ya enzi yake na amani Hayatakuwa na mwisho kamwe, Katika kiti cha enzi cha Daudi na ufalme wake; Kuuthibitisha na kuutegemeza Kwa hukumu na kwa haki,
Tangu sasa na hata milele. Wivu wa Bwana wa majeshi ndio utakaotenda hayo.

{Nabii Isaya hakuwa Mristo}

Kwa akili zao kesho watauliza
Mtoto anaweza kuwa Mungu.?
Alivyokuwa tumboni inamaana Mungu hakuwepo ?

Waislamu wanashindwa kuelewa habari za Ufalme wa Mungu sababu ya Kuyakumbatia Majini.
Na Majini yanataka kuwapotosha tu basi.
Majini yanaifahamu kweli yote. Ila yanawazuga kama yalivyomzuga Muhammadi.

[emoji117]Yohana 4:24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

[emoji117]Hesabu 23:19 Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza?

Amkeni Waislamu. Majini sio viumbe wazuri. Hakuna Jini Jema.
Hiyo Dini ni ya Majini.
Unajua hili swali ni dogo sana sijui Kwa Nini unazunguka vipi hili andiko hauliamini au limekosewa

Wewe umesema Yesu ni Mungu na hapa inaonekana Yesu anaomba Ili asisurubiwe msalabani

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Swali langu kwako kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba nani?

Mtaje anayemuamba nataka nimjue

Au kama andiko limekosewa sema

Au kama andiko hauliamini pia sema

Na kwamujibu wa Yesu/ Isa wewe Jahannam inakusubiri maana Yesu/Isa anasema Ili upate uzima wa milele lazima ukubali Mungu ni mmoja na yeye ametumwa na huyo Mungu mmoja

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Na hapa maswali kwako yaneongezeka

Hapo katika Mathayo anamuomba Mungu gani?

Na huyo Mungu wa pekee aliyemtuma Yesu ni Mungu gani?
 
1)YESU AMBAYE NDIO ISA

UTABIRI WA MANABII KUHUSU UJIO WA YESU/ ISA

Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

YESU / ISA ANATHIBITISHA UTABIRI UMETIMIA

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

NABII MUHAMMAD KUPITIA QURAN ANAPIGILIA MSUMARI KUWA YESU / ISA ALITUMWA NA MUNGU KAMA MTUME KWA WANA WA ISRAEL

Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!

2) YESU AMBAYE SIO ISA ILA NI GALASA LILILOTENGENEZWA NA PAULO NA NDIO YESU WA WAKRISTO

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu

Hayo maelezo yako yote yanamuhusu huyo Yesu wa Paulo na ndio Yesu wa wakristo na hilo ni GALASA ambalo halijawahi kuwepo hapa duniani

Na ndio maana Imani yenu inapingana na maneno na mafundusho Yesu/Isa
 
Hao Akili wanazo basi? Wao hawayajuo Wala hawafuati maandiko bali maneno na hekaya za makuhani wao na mamonaki ndio ukakuta mhuni Kama Mackenzie wa Kenya au yule kibwetere wa Uganda akawaangamiza kwa uzuzu wao wa kutaka kukutana na 'yesu' huyo wa mchongo wanaopotezwa kukutana naye
Ndipo akanena
'Enyi Wagalatia mliokoswa Akili ni Nani aliyewaroga?"
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Ukitaka kujua tofauti ya Nabii Isa na "Yesu " waulize Pastor Mackenzie au kibwetere waliowaangamiza wafuasi wao ili wakakutane naye
 
Unajua hili swali ni dogo sana sijui Kwa Nini unazunguka vipi hili andiko hauliamini au limekosewa

Wewe umesema Yesu ni Mungu na hapa inaonekana Yesu anaomba Ili asisurubiwe msalabani

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Swali langu kwako kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba nani?

Mtaje anayemuamba nataka nimjue

Au kama andiko limekosewa sema

Au kama andiko hauliamini pia sema

Na kwamujibu wa Yesu/ Isa wewe Jahannam inakusubiri maana Yesu/Isa anasema Ili upate uzima wa milele lazima ukubali Mungu ni mmoja na yeye ametumwa na huyo Mungu mmoja

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Na hapa maswali kwako yaneongezeka

Hapo katika Mathayo anamuomba Mungu gani?

Na huyo Mungu wa pekee aliyemtuma Yesu ni Mungu gani?
Sio mimi ninayesema Yesu ni Mungu.
Nimekuwekea maandishi ya Isaya hapo.
Kwanini usimwulize Isaya ?
Isaya anasema Yesu ni,
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
a).Tumepewa mtoto mwanamume;
b).Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
[emoji117]Naye ataitwa jina lake,
1. Mshauri wa ajabu,
2. Mungu mwenye nguvu,
3. Baba wa milele,
4. Mfalme wa amani.

NB: Nabii Isaya hakuwa Mkristo.

Mwulize pia Mathayo ambaye ameeleza kutimia kwa Unabii wa Isaya
Juu ya Yesu.

Mathayo 1:21
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Isaya) akisema,
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani,[emoji117]Mungu pamoja nasi.

Yesu angewaambia moja kwa moja kama yeye ni Mungu wasingemsikiliza Ujumbe wake wangempiga mawe na dhumuni lake lisingetimia. Kwahiyo aliamua kutumia Nafsi ya Mwana wa Mungu katika maongezi yake.
Eg. [emoji117]Naenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu.

Hivyo kuna wakati alikuwa anaongea kama Mwana, na pia kuna wakati alikuwa anaongea kama Mungu Baba, kama hapa.

Marko 2:3 Wakaja watu wakimletea mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne.
4 Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza.
5 Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, [emoji117]Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
6 Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,
7 Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?
 
Cha ajabu Yesu- yaana Kwa mujibu wako ni Mungu huwa anajisikia anamahitaji kama binaadamu mwingine anaenda chooni haja kubwa na ndogo, ana kula kama wengine, kujamba, kuchoka, kulala na kuamka nafikiri hata kujisikia hamu ya kufanya mapenzi atakua anahisi

Sitaki kuwafananisha issa na yesu kama nyie msivyotaka ila naona wakristo wengi wanamtukana YESU wao Kwa kupitia Issa bin mariam- kuna kitu hakipo Sawa

Na nipo mkono mmoja na wakristo wote wanaosema kuwa YESU sio Mungu bali ni mjumbe wa MUNGU
Hakuna Mkristu asiyemtambua Yesu Kristu kuwa ni Mungu,kama yupo aseme nimuonyeshe kanuni ya imani ya kanisa lake.

Ukristu umejengwa kwenye msingi wa kumtambua kuwa Yesu ni Mungu kinyume na hapo hizo ni cults tu siyo dhehebu la kikristu.

Hoja zako ni dhajfu sana, unataka kusema Mungu angetaka kuja duniani na kuishi kama binadamu angeshindwa? Kama angeweza ugumu wa kuamini kuwa alikuja upo wapi?
 
Mtume ukimtazama kwa umakini ni kuwa moja ya lengo lake ni kupotosha ukweli ulioandikwa ktk Biblia.

Eti mama wa Yesu ni dada wa damu wa Nabii musa.
Kumbuka Musa alikuwa na dada aliyeitwa Miriam.
Kuna gap la zaidi ya Miaka 1300 kati ya Yesu Kristu na Mussa and yet wanadai dada yake Musa ndo mama yake Yesu hapa mtu yeyote mwenye akili atajua kuna makosa makubwa kwenye hiki kitabu.
 
Nakupinga, Yesu hakuagiza mauwaji ya wasiomwamini katika kueneza kwake.

Mambo hayo ya mauwaji yameratibiwa na Mpinga kristo chini ya yule aliyejivika mamlaka Eti amekabidhiwa Kanisa na Petroo, mtu huyo ni Raisss na ni kiongozi wa dini Fulani. Yeye ndo amejiambatisha na mifumo ya kisirukali duniani.

Kristo ni Pendo na Amani.
Jibu zuri sana, you will never find anywhere in the New Testament Yesu Kristu akitoa maagizo ya mtu kuadhibiwa iwe kwa jela au kuuwawa. But in Quran kuna direct and clear instructions za murder.

Some people thinks they know Christianity but in reality they know nothing.
 
Wayahudi wametoka hadi filamu ya Matendo ya ndugu yao Yesu.

Katika filamu hiyo inaonyesha
1.Yesu akizaliwa,
2.Yesu akihubiri injiri
3.Yesu akiteswa
4.Yesu akisuribiwa msalabani
5.Yesu Akifa
6. Yesu akifufuka
7. Yesu akipaa Mbinguni.

Je Waislamu mnakubali hayo matendo pia yalimhusu Isa ?

Kama hamyakubali basi huyo Isa sio yule Yesu Myahudi.

As simpo as zati.
Wayahudi walimsulubisha Yesu sababu kuu hawakumkubali kuwa Yeye ndo Messiah, Mungu mwenye nguvu, mfalme wa Amani, mwenye ufalme usio na mwisho.

Waislamu wanakiri ktk kitabu Chao kuwa YESU ni Messiah.

So waliookoka na Islam's ni ndugu moja.
 
Quran haikuteremshwa kama kitabu kinavyoonekana vile, Kwa maelezo ya Sahih Bukhari ameweka clear kabisa chapter inayozungumzia collection ya Quran.

According to Sahih Bukhari Mtume hakuandika aya zozote za Quran mpaka anakufa. Baada ya mtume kufa miaka kadhaa baadaye baada ya vita za wenyewe kwa wenyewe ndipo bwana mmoja akatoa maelekezo kuwa aya zikusanywe na ziandikwe kwa hofu ya kupotea kabisa. Hii ni kwasababu wale waliozisikia aya kutoka kwa mtume walikuwa wanakufa vitani.

Pamoja na hayo paliandikwa aya nyingi zilikuwa na contradictions nyingi na hivyo palikuwa na copy nyingi za Quran ikaamuliwa copy zote zichomwe moto ibaki copy moja. Hapa tu sijui mtu anapataje ujasiri wa kusema Quran haina makosa na ipo pure kama ilivyoshushwa.

Hoja zilizopo ni kama ifuatavyo

-Kama hakikushuka kitabu cha kulinganisha nacho watu wanajuaje kama hayo waliyoandika baada ya mtume kufa ndiyo yale aliyoshushiwa Mtume, na kama wanakumbukumbu nzuri kwanini palikuwa na contradictions na copy zaidi ya moja ya Quran?
-Aliyeamua kuwa copy hizi hazipo sahihi na hizi zipo sahihi ni nani na ana mamlaka gani mpaka aamua kuwa hii ni sahihi na hii ni ya kuchoma moto?
- Pia kama Quran imeshushwa na iko sahihi kwanini kuna makosa makubwa sana ya kihistoria mfano ni huo wa kusema dada yake Musa ndo alikuwa mama yake Yesu na mingine mingi?

Quran imeandikwa kwa mkono wa mwanadamu tena miaka mingi baada ya mtume kufa na palikuwa copy zaidi ya moja ambazo mwanadamu mmoja mwarabu akaamua copy zote zitiwe moto ibaki moja.( Sahih Bukhari)

Kama nimedanganya sema ni sehemu gani nikuletee ushahidi.
 
Sio mimi ninayesema Yesu ni Mungu.
Nimekuwekea maandishi ya Isaya hapo.
Kwanini usimwulize Isaya ?
Isaya anasema Yesu ni,
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
a).Tumepewa mtoto mwanamume;
b).Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
[emoji117]Naye ataitwa jina lake,
1. Mshauri wa ajabu,
2. Mungu mwenye nguvu,
3. Baba wa milele,
4. Mfalme wa amani.

NB: Nabii Isaya hakuwa Mkristo.

Mwulize pia Mathayo ambaye ameeleza kutimia kwa Unabii wa Isaya
Juu ya Yesu.

Mathayo 1:21
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Isaya) akisema,
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani,[emoji117]Mungu pamoja nasi.

Yesu angewaambia moja kwa moja kama yeye ni Mungu wasingemsikiliza Ujumbe wake wangempiga mawe na dhumuni lake lisingetimia. Kwahiyo aliamua kutumia Nafsi ya Mwana wa Mungu katika maongezi yake.
Eg. [emoji117]Naenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu.

Hivyo kuna wakati alikuwa anaongea kama Mwana, na pia kuna wakati alikuwa anaongea kama Mungu Baba, kama hapa.

Marko 2:3 Wakaja watu wakimletea mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne.
4 Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza.
5 Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, [emoji117]Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
6 Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,
7 Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?
Wewe unaamini alichokisema Yesu ?

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Yesu mwenyewe Kwa mdomo wake anasema wale wasio amini Mungu ni mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja hatopata uzima wa milele
 
Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu [emoji117]kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Hebu tulia usome tena kwa umakini maelezo ya hapo juu ulipo ni nukuu.
Utapata mwanga flani.
 
Kwa mujibu wa Wayahudi, nadhani unaijua filamu ya Matendo ya Yesu imetengenezwa na Ndugu zake Wayahudi.

Inaeleza wazi wazi alicho fanya huyo ndugu yao.

1. Alizaliwa
2. Alihubiri Injiri
3. Walimkamata
4. Wakamshitaki na kumtesa
5. Walimsurubisha Msalabani
6. Akafa
7.Akazikwa
8. Siku ya Tatu akafuka
9. Akatoa maagizo kwa Wanafunzi wake.
10. Akapaa Mbingu mbele ya Wanafunzi wake.

{Je huyo Isa alihusika katika Matendo yote haya ya Yesu kwa mujibu wa ndugu zake Wayahudi}

Kumbuka ili itengeneze filamu ya Matendo ya Yesu Masihi, lazima upate ruhusa ya Haki miliki toka kwa ndugu zake ili wakuelekeze Maisha halisi ya Yesu.

Kuna mwongozaji wa filamu mmoja alipata ruhusa ya kutengeneza filamu ya Yesu walivyo iangalia Wayahudi wakaizuia kwakuwa aliongeza matukio ambayo Yesu hakuyafanya.
Unajua hapa mnashindwa kuelewana ndio maana nasema haya mabishano yenu yanakuwa ya kipumbavu, mnadai kuwa Isa sio Yesu kwa maana Qur'an inapozungumzia kuhusu Isa haimkusudii Yesu.

Sasa hayo madai yenu hayathibitishwi kwa kuonyesha kuwa maelezo ya Qur'an hayafanani sawa sawa na ya Biblia, hamsemi kwamba Yesu(Issa) aliyeelezwa kwenye Qur'an si sahihi matokeo yake mnaleta madai ya kwamba Qur'an haikuwa ikimkusudia Yesu ilipoeleza kuhusu Issa.
 
Unataka utofauti gani?

Isa atakuja kuoa

Yesu atakuja na jeshi la malaika na hatagusa hii ardhi

Watu wawili tofauti kabisa
 
Unataka utofauti gani?

Isa atakuja kuoa

Yesu atakuja na jeshi la malaika na hatagusa hii ardhi

Watu wawili tofauti kabisa
Sio kuoa tu, na kuuwa Nguruwe wote.
Yaani kuua Nguruwe tu na sio wanyama wengine.

Yesu atakuja hivi
Mathayo 16:27
Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake; ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.

Mathayo 24:30
ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.

Mathayo 25:31
Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake;

{Isa akija na kuuwa Nguruwe na Kuoa mke, ataendelea kuishi na kujenga familia yake huku akisubiri kumwua Dajari }

Ha..ha...ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unasemaje hawa watu ni mtu mmoja.?
Huyo alikuwa mpotoshaji kwa lengo la kuwapotosha tu.
 
Huyo alikuwa mpotoshaji kwa lengo la kuwapoteza wajinga.
Point ipo kwenye kukusudiwa, sasa hamueleweki mnapinga maelezo ya Qur'an kuhusu Yesu au mnadai kuwa Qur'an haikuwa ikimkusudia kabisa Yesu.
 
Nguvu na jitihata ulizotumia kutengeneza hii mada ungezitumia kutengeneza wazo la biashara la kukusaidia au la kuwasaidia Vijana, ingekuwa na faida zaidi
Unakuta huku Africa baadhi ya wasomi wako Bize kulumbana kwa mambo yasiyo ya msingi/yasiyoweza kutusaidia Chochote wakati wenzetu Ulaya wapo bize kusaka Fursa!
Halafu tunaenda kuwalilia kuomba misaada wakati tunachezea muda kwa vitu vya ajabu ajabu.....
Mada kama hizi ni wastage of time kwani wala huwezi kupata mshindi!!!
Hao hao ulaya wamesema tuhalishe ushoga je unalifuata pia hilo? Ulaya wanashinda club wanashinda kweny viwanja vya mpira kwenye maparade ya ushoga wana masikukuu ya kipagani kibao mfano Halloween. Yani nyinyi waafrica mna matatizo sana mnaabudu sana hao watu kuliko Mungu yani mnahisi wao ndo muda wote wako busy na maisha sijui kazi sijui mambo gani. Lakini ukienda huko huko ulaya comedy show zinajaa na ni kila weekend kuna zile live shows kibao zina jaa watu na ni karibu kila miji. Wazungu kutwa kubishana nani king wa hip hop sijui rnb sijui vitu gani. Ulaya ndo wana passion zile za kishabiki za kimpira karibu hadi vita na huwa hubishana sana kweny maoni mbali mbali ya kijinga ila nyinyi mkiona watu wnajenga hoja za kidini nd mnajitokeza kuwa mbona ulaya hawafanyi hiki mara kila na hata hamuwajui hata hao wazungu wenyewe acheni story za vijiweni hata sisi hao wazungu tunawajua ni watu wa aina gani msimezeshwe na uatheist wenu wa mchongo.
 
Hakuna Mkristu asiyemtambua Yesu Kristu kuwa ni Mungu,kama yupo aseme nimuonyeshe kanuni ya imani ya kanisa lake.

Ukristu umejengwa kwenye msingi wa kumtambua kuwa Yesu ni Mungu kinyume na hapo hizo ni cults tu siyo dhehebu la kikristu.

Hoja zako ni dhajfu sana, unataka kusema Mungu angetaka kuja duniani na kuishi kama binadamu angeshindwa? Kama angeweza ugumu wa kuamini kuwa alikuja upo wapi?
Hakuna ukristo husio tambua Yesu ni Mungu, yeyeto anae sema Yesu si Mungu sio mkristo

Imani ya wakristo wote ni kukiri Mungu baba mwana na Roho mtakatifu
 
Back
Top Bottom