Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Alipokua anasulubiwa alisema 'Baba wasamehe,hawajui walitendalo'... unamaanisha alikua anajiambia mwenyewe!?..'huwezi kufika kwa Baba bila kupitia Mimi' napo alikua kavurugwa Kama wewe!?...huwa unafikiri kweli!?
Ndio Yesu anauwezo wa Kusamehe dhambi kwakuwa ndiye Mungu. Tatizo lako unamwangalia Kimwili kama baadhi ya Wayahudi.

Marko 2:5 Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

6 Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,

7 Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?

8 Mara Yesu akafahamu rohoni mwake kwamba wanafikiri hivyo nafsini mwao, akawaambia, Mbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu?

9 Vyepesi ni vipi, kumwambia mwenye kupooza, Umesamehewa dhambi zako, au kusema, Ondoka, ujitwike godoro lako, uende?

10 Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi.

Una swali lingine ujibiwe ?
 
Soma Qura 19:28

Inasema Mama wa Isa ni Mariam dada wa Haruni na Musa.

Na ni kweli Imrani alikuwa na watoto watatu. Musa, Haruni na Miriam.

Hebu tuangalie Quran Aya 19:27-28 “Baadaye akamleta yule (mtoto) kwa watu wake akiwa amembeba (mikononi mwake). Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta jambo la ajabu! Ewe dada yake. Hakika baba yako hakuwa mtu mwovu, wala mama yako hakuwa mwanamke kahaba.

Hakuna makosa katika Aya za Tukufu hapo juu!.

Hebu tuangalie Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema nini kuhusiana na Aya hii tukufu:

Mughira b. Shu’ba amesimulia:

“Nilipokuja Najran, waliniuliza (Wakristo wa Najran): Umesoma “Ewe dada yake Harun (Harun)” (yaani Mariamu) katika Qur’ani, ambapo Musa alizaliwa muda mrefu kabla ya Yesu. Niliporudi kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani ziwe juu yake) nilimuuliza kuhusu hilo, akasema: (Watu wa uzee) walikuwa wakiwapa majina kwa majina ya Mitume na wachamungu. waliowatangulia.” (Tafsiri ya Sahih Muslim, Kitabu cha Tabia ya Jumla (Kitab Al-Adab), Kitabu 025, Namba 5326)”

Kama tunavyoona kwa uwazi kutoka katika Kauli (Hadith) ya Mtume wetu kipenzi, suala hili lililetwa kwake hapo awali na akalijibu kwa uwazi. Dai la uwongo lililotolewa dhidi ya Mtume wetu kuhusu yeye kumaanisha kwamba Mariamu alikuwa dada wa kibiolojia wa Harun linakanushwa waziwazi.

Watu wa Isreal walikuwa wakiwaita watu kwa majina yao ya mwisho, au kwa kuongeza maneno kama wewe "Mwana wa..." au "Ndugu wa...." au "Dada wa...." Walipoita watu. "Ee Mwana wa...." hawakumaanisha mtu huyo awe mtoto halisi wa mtu ambaye walimtumia jina lake. Mtu mwingine anaweza kuwa tu katika mti wa familia au jina la mwisho.

Yesu alipoitwa "Yesu mwana wa Daudi" kwa mfano, Wayahudi hawakuwa na maana ya kumwita Yesu mwana halisi wa Daudi. Vile vile walipomwita Maryamu “Ewe dada yake Harun” walimaanisha kumwita dada yake Harun kwa imani! Sio dada halisi wa kibaolojia wa Haruni.

Quran Tukufu ilizungumza kuhusu Harun kuwa ndugu wa kibiolojia wa Musa na mjumbe kwa Firauni katika Aya za Mtukufu 2:248, 4:163, 6:84, 7:122, 7:142, 7:150-151, 10:75, 10:87 , 10:89, 19:28, 19:53, 20:30-35, 20:42, 20:70, 20:92-94, 21:48, 21:23, 21:45, 25:35-36 , 26:13, 26:48, 28:34-35, 37:114-122 na zaidi.....

Quran Tukufu pia inazungumza kuhusu Musa kuwa watu wa Isreal Mtume wa kwanza wa Mwenyezi Mungu katika Aya za Mtukufu 2:108, 2:248, 4:153, 5:20-26, 6:84, 14:8, 19:51-53 , 22:44, 25:35-36, 28:3, 37:114-122, 18:60-82, 20:9-48, 27:7-12, 28:29-35, 79:15-19 , 7:109-126, 10:79-82, 20:56-73, 26:38-51, 33:7, 2:53, 2:87, 2:136, 3:84, 6:91, 6 :154, 7:144-145, 10:87, 11:110, 14:5, 17:2, 21:48, na zaidi....

Quran Tukufu pia inazungumza juu ya Yesu kuja kwa watu wa Isreal miaka mingi sana baada ya Musa na Mitume wengine wengi wa Mwenyezi Mungu ambao walitumwa kwa watu wa Isreal katika Aya 3:49-51, 5:46, 5:72. 43:59, 61:6, 61:14, 4:171, 5:75, 43:59, 42:13, 4:172, 19:30, 43:64, 43:63, 3:52-54, 5:111-113, 57:27, 61:14, 61:6 na mengine mengi.....

Quran Tukufu pia inazungumza juu ya Mariamu kuwa Mama wa Yesu wa kibiolojia katika Aya 3:35-37, 19:22-26, 21:91, 66:12, 5:75, 21:91, 4:156, 4: 171, 5:17, 5:116, 21:91, 3:42-51, 19:16-21, na mengine mengi...
Kwa hiyo ikiwa Quran Tukufu inazungumza kwa uwazi kabisa kuhusu Harun kuwa ni ndugu wa kibiolojia wa Musa, na inazungumza kwa uwazi kuhusu Yesu kuja miaka mingi baada ya Musa na Mitume wengine wengi wa Mwenyezi Mungu waliotumwa kwa watu wa Isreal, na inazungumza waziwazi kuhusu Mariamu kuwa Mama wa Isa, basi Qur'ani Tukufu

(1) Inamtambua Mariamu kuwa ni mwanamke aliyezaliwa miaka mingi baada ya Harun, na

(2) Mayahudi walipomwita Maryamu 'Ewe dada yake Harun..', basi walimaanisha kuwa ni Dada yake Harun.

Haruni kwa imani tu na sio dada wa kibiolojia.
 
Ndio Yesu anauwezo wa Kusamehe dhambi.

Marko 2:5 Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

6 Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,

7 Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?

8 Mara Yesu akafahamu rohoni mwake kwamba wanafikiri hivyo nafsini mwao, akawaambia, Mbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu?

9 Vyepesi ni vipi, kumwambia mwenye kupooza, Umesamehewa dhambi zako, au kusema, Ondoka, ujitwike godoro lako, uende?

10 Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi.

Una swali lingine ujibiwe ?
Wewe kichwani una togwa tu!!..Mimi nimekuuliza aliposema 'Baba wasamehe hawajui walitendalo'..alikua anamwambia Baba wa nani!?
 
Hiki kitabu ndio umeamrishwa ukifuate kikupatie muongozo katika maisha yako yote?.
Injili hizi zinaeleza maisha ya Yesu, kifo chake na jinsi alivyofufuliwa na Mungu Mkuu na kupaa Mbinguni.
Inatuonyesha jinsi Yesu alivokuwa anawasiliana na Mungu Baba yake kwa maombi yasiyokoma huku Mungu akimthibjtisha kuwa ni Mashiach Kwa miujiza na Matendo ya ajabu yasiyo ya kibinadamu.
 
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.

31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.

32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?

33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Tukusikilize wewe au alicho waambia ndugu zake Wayahudi ?

Mbona umeikimbia aya ya 34 ??

Hata hivyo, pale Wayahudi walipomtuhumu kwa kudai uungu, kwa kutegemea sentesi hiyo,

Yohana 10:34 “Yesu akawajibu, Je, haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu;"

Amewabainishia, kwa mfano wa maandiko unaojulikana sana kwao, kuwa yeye alikuwa anatumia lugha ya kistiari ya manabii ambayo haipaswi kufasiriwa kwa kujipachika uungu yeye mwenyewe au kwa mtu mwingine yoyote.
Ushahidi zaidi unachukuliwa kutoka katika mstari wa kumi na wa kumi na moja wa Injili kwa mujibu wa Yohana, sura ya 14, pale watu walipomtaka Yesu awaonyeshe Baba, naye inaaminiwa alisema:

"Husadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.”

Ibara hizi zingeashiria uungu wa Yesu, kama sehemu iliyobakia ya Injili hiyo hiyo inapuuzwa.

Hata hivyo, aya tisa baadaye, katika Yohana 14:20, pia Yesu anarekodiwa akiwaambia wanafunzi wake,
"Siku ile mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.” Kwa hiyo, kama maelezo ya Yesu "Mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; yanamaanisha kuwa yeye ni Mungu, basi vivyo hivyo iwe kwa wanafunzi wa Yesu.

Hii sentensi ya kiishara inamaanisha umoja wa lengo na sio umoja wa asili.

Tafsiri ya kiishara inasisitizwa zaidi katika Yohana 17:20-21, pale Yesu aliposema,

"Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao. Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
 
Hebu tuangalie Quran Aya 19:27-28 “Baadaye akamleta yule (mtoto) kwa watu wake akiwa amembeba (mikononi mwake). Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta jambo la ajabu! Ewe dada yake. Hakika baba yako hakuwa mtu mwovu, wala mama yako hakuwa mwanamke kahaba.

Hakuna makosa katika Aya za Tukufu hapo juu!.

Hebu tuangalie Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema nini kuhusiana na Aya hii tukufu:

Mughira b. Shu’ba amesimulia:

“Nilipokuja Najran, waliniuliza (Wakristo wa Najran): Umesoma “Ewe dada yake Harun (Harun)” (yaani Mariamu) katika Qur’ani, ambapo Musa alizaliwa muda mrefu kabla ya Yesu. Niliporudi kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani ziwe juu yake) nilimuuliza kuhusu hilo, akasema: (Watu wa uzee) walikuwa wakiwapa majina kwa majina ya Mitume na wachamungu. waliowatangulia.” (Tafsiri ya Sahih Muslim, Kitabu cha Tabia ya Jumla (Kitab Al-Adab), Kitabu 025, Namba 5326)”

Kama tunavyoona kwa uwazi kutoka katika Kauli (Hadith) ya Mtume wetu kipenzi, suala hili lililetwa kwake hapo awali na akalijibu kwa uwazi. Dai la uwongo lililotolewa dhidi ya Mtume wetu kuhusu yeye kumaanisha kwamba Mariamu alikuwa dada wa kibiolojia wa Harun linakanushwa waziwazi.

Watu wa Isreal walikuwa wakiwaita watu kwa majina yao ya mwisho, au kwa kuongeza maneno kama wewe "Mwana wa..." au "Ndugu wa...." au "Dada wa...." Walipoita watu. "Ee Mwana wa...." hawakumaanisha mtu huyo awe mtoto halisi wa mtu ambaye walimtumia jina lake. Mtu mwingine anaweza kuwa tu katika mti wa familia au jina la mwisho.

Yesu alipoitwa "Yesu mwana wa Daudi" kwa mfano, Wayahudi hawakuwa na maana ya kumwita Yesu mwana halisi wa Daudi. Vile vile walipomwita Maryamu “Ewe dada yake Harun” walimaanisha kumwita dada yake Harun kwa imani! Sio dada halisi wa kibaolojia wa Haruni.

Quran Tukufu ilizungumza kuhusu Harun kuwa ndugu wa kibiolojia wa Musa na mjumbe kwa Firauni katika Aya za Mtukufu 2:248, 4:163, 6:84, 7:122, 7:142, 7:150-151, 10:75, 10:87 , 10:89, 19:28, 19:53, 20:30-35, 20:42, 20:70, 20:92-94, 21:48, 21:23, 21:45, 25:35-36 , 26:13, 26:48, 28:34-35, 37:114-122 na zaidi.....

Quran Tukufu pia inazungumza kuhusu Musa kuwa watu wa Isreal Mtume wa kwanza wa Mwenyezi Mungu katika Aya za Mtukufu 2:108, 2:248, 4:153, 5:20-26, 6:84, 14:8, 19:51-53 , 22:44, 25:35-36, 28:3, 37:114-122, 18:60-82, 20:9-48, 27:7-12, 28:29-35, 79:15-19 , 7:109-126, 10:79-82, 20:56-73, 26:38-51, 33:7, 2:53, 2:87, 2:136, 3:84, 6:91, 6 :154, 7:144-145, 10:87, 11:110, 14:5, 17:2, 21:48, na zaidi....

Quran Tukufu pia inazungumza juu ya Yesu kuja kwa watu wa Isreal miaka mingi sana baada ya Musa na Mitume wengine wengi wa Mwenyezi Mungu ambao walitumwa kwa watu wa Isreal katika Aya 3:49-51, 5:46, 5:72. 43:59, 61:6, 61:14, 4:171, 5:75, 43:59, 42:13, 4:172, 19:30, 43:64, 43:63, 3:52-54, 5:111-113, 57:27, 61:14, 61:6 na mengine mengi.....

Quran Tukufu pia inazungumza juu ya Mariamu kuwa Mama wa Yesu wa kibiolojia katika Aya 3:35-37, 19:22-26, 21:91, 66:12, 5:75, 21:91, 4:156, 4: 171, 5:17, 5:116, 21:91, 3:42-51, 19:16-21, na mengine mengi...
Kwa hiyo ikiwa Quran Tukufu inazungumza kwa uwazi kabisa kuhusu Harun kuwa ni ndugu wa kibiolojia wa Musa, na inazungumza kwa uwazi kuhusu Yesu kuja miaka mingi baada ya Musa na Mitume wengine wengi wa Mwenyezi Mungu waliotumwa kwa watu wa Isreal, na inazungumza waziwazi kuhusu Mariamu kuwa Mama wa Isa, basi Qur'ani Tukufu

(1) Inamtambua Mariamu kuwa ni mwanamke aliyezaliwa miaka mingi baada ya Harun, na

(2) Mayahudi walipomwita Maryamu 'Ewe dada yake Harun..', basi walimaanisha kuwa ni Dada yake Harun.

Haruni kwa imani tu na sio dada wa kibiolojia.
Tokea lini Mariamu awe dada wa Haruni Kwa Imani?
Kwa Wayahudi, hakuna undugu wa Imani ila undugu wa damu.
Pili Mariamu alikuwa wa kabila la Yuda, uzao wa Daudi kutoka kwa mtoto wake Nathani.
 
Wewe kichwani una togwa tu!!..Mimi nimekuuliza aliposema 'Baba wasamehe hawajui walitendalo'..alikua anamwambia Baba wa nani!?
Nimekuambia yeye ndiyo Baba kwa Andiko sasa we unataka nini tena
Hebu rudia kusoma tena.

Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.

Yohana 14:8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
 
Wala watu hawakuamrishwa kutibu kwa kutumia majina ya wanadamu wenzao, bali watu wameamrishwa kumtegemea muumba wa mbingu na nchi peke yake na hilo ni ibada.

Hata yeye mwenyewe hakuwaamrisha wanafunzi wake wamtukuze kwa kiasi hiki.
Mbona unajibu nisicho kuuliza??
Ndio sababu allah amewazogodoa kuwa shughuli yenu kubwa ni Kelele, Ubishi, na Ugomvi...[emoji56][emoji15][emoji12]
[emoji116][emoji116]
۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ

[ AZZUKHRUF - 57 ]
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.

[وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ

[ AZZUKHRUF - 58 ]
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi!
 
Wewe kichwani una togwa tu!!..Mimi nimekuuliza aliposema 'Baba wasamehe hawajui walitendalo'..alikua anamwambia Baba wa nani!?
Kumbe Yesu aliwahi sema hivyo?
Si mnaamini hakufa?
Kwanini mnatumia Maandiko hayo wakati yalikuwa maneno ya Yesu akimuomba Mungu wake ambaye alimuita Baba akiwa pale msalabani?
 
"Na hizo ndizo hoja zetu tulizompa ibrahim kuhojiana na watu wake, tunamnyanyua kwa daraja tumtakaye, hakika mola wako ni mwenye hekima mwenye elimu."

"Na tukamtunukia {Ibrahim} is-haq na yaakub, kila mmoja wao tulimwongoa, na nuhu tulimwongoa kabla, na katika kizazi chake tulimwongoa daudi na suleiman na ayyub na yuusuf na musa na harun, na kama hivi ndivyo tunavyowalipa watendao wema"

Qur'an 6:83-84

Mpaka mwisho wa habari hizi, ukitizama hapo utaona mitume wote waliopewa vitabu tulivyotajiwa habari zake wametajwa hapo na hii ni katika kushinda kwa Qur'an.
Msemaji nani??
 
Injili hizi zinaeleza maisha ya Yesu, kifo chake na jinsi alivyofufuliwa na Mungu Mkuu na kupaa Mbinguni.
Inatuonyesha jinsi Yesu alivokuwa anawasiliana na Mungu Baba yake kwa maombi yasiyokoma huku Mungu akimthibjtisha kuwa ni Mashiach Kwa miujiza na Matendo ya ajabu yasiyo ya kibinadamu.

injili ziko nyingi tu , lakini hapo haipo injili ya Bwana Yesu mwenyewe iliyotajwa kwenye Quran

Gnostic Gospels

Jewish-Christian gospels​

Main article: Jewish-Christian gospels

Infancy gospels​

Other gospels​

Partially preserved gospels​

Fragmentary preserved gospels​

Fragmentary gospels are those preserved from primary sources.

  • Gospel of Eve – mentioned only once by Epiphanius around 400 AD, who preserves a single brief passage in quotation
  • Gospel of Mani – 3rd century – attributed to the Persian Mani, the founder of Manichaeism
  • Gospel of the Saviour (also known as the Unknown Berlin gospel) – highly fragmentary 6th century manuscript based on a late 2nd or early 3rd century original, a dialogue rather than a narrative, heavily Gnostic in character in that salvation is dependent upon possessing secret knowledge
  • Coptic Gospel of the Twelve – late 2nd century Coptic language work – although often equated with the Gospel of the Ebionites, it appears to be an attempt to retell the Gospel of John in the pattern of the Synoptics; it quotes extensively from the Gospel of John.

Reconstructed gospels​

Reconstructed gospels are those preserved from secondary sources and commentaries.

  • Secret Gospel of Mark – suspect: the single source mentioning it is considered by many to be a modern forgery, and it was lost before it could be independently authenticated.
  • Gospel of Matthias – a lost text from the New Testament apocrypha. The content has been surmised from descriptions in works by church fathers.

Lost gospels​

  • Gospel of Cerinthus – around 90–120 AD – according to Epiphanius,[9] this is a Jewish gospel identical to the Gospel of the Ebionites, and apparently, a truncated version of the Gospel of Matthew according to the Hebrews.
  • Gospel of Apelles – mid- to late 2nd century, a further edited version of Marcion's edited version of Luke
  • Gospel of Valentinus[a]
  • Gospel of the Encratiteshttps://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Gospels#cite_note-11
    [*]Gospel of Andrew – mentioned by only two 5th century sources (Augustine and Pope Innocent I) who list it as apocryphal[c]
    [*]Gospel of Barnabas – this work is mentioned only once, in the 5th century Decree of Gelasius, which lists it as apocryphal.
    [*]Gospel of Bartholomew – mentioned by only two 5th century sources, which list it as apocryphal.[d]
    [*]Gospel of Hesychius – mentioned only by Jerome and the Decree of Gelasius that list it as apocryphal.[e]
    [*]Gospel of Lucius – mentioned only by Jerome and the Decree of Gelasius that list it as apocryphal.
    [*]Gospel of Merinthus[f] – mentioned only by Epiphanius; probably the Gospel of Cerinthus, and the confusion due to a scribal error.
    [*]An unknown number of other Gnostic gospels not cited by name.[g]
    [*]Gospel of the Adversary of the Law and the Prophets[11]
    [*]Memoirs of the Apostles – lost narrative of the life of Jesus, mentioned by Justin Martyr, the passages quoted by Justin may have originated from a gospel harmony of the Synoptic Gospels composed by Justin or his school.

Fragments of possibly unknown or lost (or existing) gospels​

Fragmentary gospels are those preserved from primary sources.

  • Papyrus Egerton 2 – late 2nd century manuscript of possibly earlier original; contents parallel John 5:39–47, 10:31–39; Matthew 1:40–45, 8:1–4, 22:15–22; Mark 1:40–45, 12:13–17; and Luke 5:12–16, 17:11–14, 20:20–26, but differ textually; also contains incomplete miracle account with no equivalent in canonical Gospels
  • Fayyum Fragment – a fragment of about 100 Greek letters in 3rd century script; the text seems to parallel Mark 14:26–31
  • Oxyrhynchus Papyri – fragments #1, 654, and 655 appear to be fragments of Thomas; #210 is related to Matthew 7:17–19 and Luke 6:43–44 but not identical to them; #840 contains a short vignette about Jesus and a Pharisee not found in any known gospel, the source text is probably mid-2nd century; #1224 consists of paraphrases of Mark 2:17 and Luke 9:50
  • Gospel of Jesus' Wife – modern forgery based on the Gospel of Thomas[12][13]
  • Papyrus Berolinensis 1171book of Enoch 0 – 6th century Greek fragment, possibly from an apocryphal gospel or amulet based on John.
  • Papyrus Cairensis 10735 – 6th or 7th century Greek fragment, possibly from a lost gospel, may be a homily or commentary
  • Papyrus Merton 51 – fragment from apocryphal gospel or a homily on Luke 6:7
  • Strasbourg Fragment – fragment of a lost gospel, probably related to Acts of John

Medieval gospels​

Modern gospels​

Mbona umeikimbia aya ya 34 ??

Hata hivyo, pale Wayahudi walipomtuhumu kwa kudai uungu, kwa kutegemea sentesi hiyo,

Yohana 10:34 “Yesu akawajibu, Je, haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu;"

Amewabainishia, kwa mfano wa maandiko unaojulikana sana kwao, kuwa yeye alikuwa anatumia lugha ya kistiari ya manabii ambayo haipaswi kufasiriwa kwa kujipachika uungu yeye mwenyewe au kwa mtu mwingine yoyote.
Ushahidi zaidi unachukuliwa kutoka katika mstari wa kumi na wa kumi na moja wa Injili kwa mujibu wa Yohana, sura ya 14, pale watu walipomtaka Yesu awaonyeshe Baba, naye inaaminiwa alisema:

"Husadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.”

Ibara hizi zingeashiria uungu wa Yesu, kama sehemu iliyobakia ya Injili hiyo hiyo inapuuzwa.

Hata hivyo, aya tisa baadaye, katika Yohana 14:20, pia Yesu anarekodiwa akiwaambia wanafunzi wake,
"Siku ile mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.” Kwa hiyo, kama maelezo ya Yesu "Mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; yanamaanisha kuwa yeye ni Mungu, basi vivyo hivyo iwe kwa wanafunzi wa Yesu.

Hii sentensi ya kiishara inamaanisha umoja wa lengo na sio umoja wa asili.

Tafsiri ya kiishara inasisitizwa zaidi katika Yohana 17:20-21, pale Yesu aliposema,

"Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao. Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
Hivi anayezungumza kwenye Torati ni Nani?

Yohana 10:34 “Yesu akawajibu, Je, haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu;"

Kutokana na hilo andiko uliloliweka huoni kuwa Yesu anasema kuwa Yeye kasema kwenye Torati.
Kasema " Ndinyi Miungu"

Jiulize sasa Yesu alikuwepo wakati wa Torati ?
Yohana 8:58
Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako,[emoji117]mimi niko.
Kutoka 3:14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; [emoji117]MIMI NIKO amenituma kwenu.

Ushamjua Mimi Niko ni nani ?
Nyie Mtume ashawachanganya hamuwezi kuielewa Biblia.
 
Tokea lini Mariamu awe dada wa Haruni Kwa Imani?
Kwa Wayahudi, hakuna undugu wa Imani ila undugu wa damu.
Pili Mariamu alikuwa wa kabila la Yuda, uzao wa Daudi kutoka kwa mtoto wake Nathani.

Kwani Mariamu alikuwa na dini gani ?? na haruni alikuwa na dini gani ?? tuanzie hapa
 
Born in a Stable?

manger.jpg

Was Jesus born in a stable? Or a barn? Or a cave?

Luke* says only a manger. There was no room for him in the kataluma ("inn" or guest room).

But Joseph supposedly had returned to his ancestral home, "the lineage of David". So the place should have been chock-full with his own relatives. And not one of them would accommodate a heavily pregnant woman? Tut-tut.

The reality is that the story of Jesus is enhanced by the "humble birth".

Early Christians were taken by the idea that he was, in fact, born in a cave. Can you get any more humble than that?

* Matthew, a tad more realistic, says, "And when they had come into the house ..." (2.11).
kisilamu silamu umepata patia mtu wangu
 
Amefanya hivyo kwa lengo moja tu la kupotosha.
Mlitaka maelezo ya Qur'an kuhusu Isa yawe sawa na ya Biblia kuhusu Yesu ndio mkubali kwamba Isa anyekusudiwa kwenye Qur'an ndio Yesu anayezungumziwa kwenye Biblia?
 
Hivi anayezungumza kwenye Torati ni Nani?

Yohana 10:34 “Yesu akawajibu, Je, haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu;"

Kutokana na hilo andiko uliloliweka huoni kuwa Yesu anasema kuwa Yeye kasema kwenye Torati.
Kasema " Ndinyi Miungu"

Jiulize sasa Yesu alikuwepo wakati wa Torati ?
Yohana 8:58
Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako,[emoji117]mimi niko.
Kutoka 3:14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; [emoji117]MIMI NIKO amenituma kwenu.

Nyie Mtume ashawachanganya hamuwezi kuielewa Biblia.

Unajaribu kubabaisha ili ukimbie hoja lakini ninawe sikuwachi

Hivi Bwana Yesu aliposema
:
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Mathayo 5.17-20

Hapo ilikuwa ni wakati wa Musa ??

wacha kubabaisha na kupotosha

Tuje kwenye Yohana 8:58

Mstari mwingine unaotumiwa sana ili kuunga mkono uungu wa Yesu ni Yohana 8:58: “Yesu akawaambia, amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.”

Mstari huu umechukuliwa na kuashiria kuwa Yesu alikuwepo kabla ya kudhihiri kwake duniani.

Uamuzi uliofikiwa kutokana na mstari huo ni kuwa Yesu lazima awe Mungu, kwa kuwa kuwepo kwake kumetangulia tarehe ya kuzaliwa kwake duniani.

Hata hivyo, dhana ya kuwepo kabla ya kudhihiri kwa mitume, na kwa watu wengine, ipo katila vitabu vyote viwili, Agano la Kale, vilevile katika Quran.

Yeremia anajielezea mwenyewe katika Kitabu Cha Yeremia 1:4-5 kama ifuatavyo: “Neno la BWANA lilinijia, kusema, Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Nabii Suleimani anaripotiwa katika Mithali 8:23-27, ya kuwa amesema, “Nalitukuka tokea milele, tangu awali, kabla haijawako dunia.

Wakati visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji. Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nalizaliwa. Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde, Wala chanzo cha mavumbi ya dunia; Alipozithibitisha mbingu nalikuwako..."

Kwa mujibu wa Ayubu 38:4 na 21, Mungu amemtambulisha Nabii Ayubu kama ifuatavyo: “Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi?

Kwa hiyo, maelezo ya Mtume Yesu, “Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko”. Hayawezi kutumiwa kuwa ni ushahidi wa uungu wake.

Katika muktadha wa Yohana 8:54, Yesu amedaiwa kuwa ametamka kuhusu ujuzi wa Mungu kwa Mitume yake, ambayo inatangulia tarehe ya kuumbwa kwao katika ulimwengu huu.
 
Mlitaka maelezo ya Qur'an kuhusu Isa yawe sawa na ya Biblia kuhusu Yesu ndio mkubali kwamba Isa anyekusudiwa kwenye Qur'an ndio Yesu anayezungumziwa kwenye Biblia?
Kwa mujibu wa Wayahudi, nadhani unaijua filamu ya Matendo ya Yesu imetengenezwa na Ndugu zake Wayahudi.

Inaeleza wazi wazi alicho fanya huyo ndugu yao.

1. Alizaliwa
2. Alihubiri Injiri
3. Walimkamata
4. Wakamshitaki na kumtesa
5. Walimsurubisha Msalabani
6. Akafa
7.Akazikwa
8. Siku ya Tatu akafuka
9. Akatoa maagizo kwa Wanafunzi wake.
10. Akapaa Mbingu mbele ya Wanafunzi wake.

{Je huyo Isa alihusika katika Matendo yote haya ya Yesu kwa mujibu wa ndugu zake Wayahudi}

Kumbuka ili itengeneze filamu ya Matendo ya Yesu Masihi, lazima upate ruhusa ya Haki miliki toka kwa ndugu zake ili wakuelekeze Maisha halisi ya Yesu.

Kuna mwongozaji wa filamu mmoja alipata ruhusa ya kutengeneza filamu ya Yesu walivyo iangalia Wayahudi wakaizuia kwakuwa aliongeza matukio ambayo Yesu hakuyafanya.
 
Kumbe Yesu aliwahi sema hivyo?
Si mnaamini hakufa?
Kwanini mnatumia Maandiko hayo wakati yalikuwa maneno ya Yesu akimuomba Mungu wake ambaye alimuita Baba akiwa pale msalabani?
Mtanziko!!.. abracadabra siyo!!..yeah,ndo Imani yenu ilivyo,ukiichimba kidogo tu sharti upate kizunguzungu..ndiyo maana wazungu wameachana na dini wanasema hakuna Mungu maana vitu havieleweki...endelea kujificha kwenye hicho kichaka ulichoamua kujificha badala ya kujibu hoja
 
Back
Top Bottom