Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Nimekuambia yeye ndiyo Baba kwa Andiko sasa we unataka nini tena
Hebu rudia kusoma tena.

Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.

Yohana 14:8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
Kwa hiyo alipokua anasulubiwa akasema 'baba wasamehe,hawajui walitendalo' alikua anajiambia mwenyewe!!?..umeona ulivyo punguani na ulivyo kwenye Imani ya hovyo!!..Bora wahindi wanaeleweka wanaabudu kitu gani
 
Alipokua anasulubiwa alisema 'Baba wasamehe,hawajui walitendalo'... unamaanisha alikua anajiambia mwenyewe!?..'huwezi kufika kwa Baba bila kupitia Mimi' napo alikua kavurugwa Kama wewe!?...huwa unafikiri kweli!?
HUYU YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI]
SASA TATIZO LAKO NA UNAPO KOSEA UNAMJADILI YESU AKIWA KATIKA HALI YAKE YA UBINADAMU KAMILI!
AKIWA KATIKA HALI YAKE YA UMUNGU HUNA LA KUHOJI!
NA HILI TATIZO HATA ALLAH AMEWAONA KWA KUTUPIGIA KELELE, UBISHI, NA UGOMVI!
[emoji1370][emoji1370]
[۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ

[ AZZUKHRUF - 57 ]
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ

[ AZZUKHRUF - 58 ]
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi! Nyinyi ndio na miungu wengi!
[emoji116][emoji116]
أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi
.
أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?

وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu?

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma.

KAMA UNATAKA KUFA KAFIRI TAMKA LEO KWAMBA MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!

يسوع هو إله كامل وإنسان
yasue hu 'iilah kamil wa'iinsan

يوحنا 1: 1-3 ، 14
[1] في البدء كان هناك الكلمة ، والكلمة كان عند الله ، والكلمة كان الله.

[2] الشيء نفسه كان في البداية عند الله.
في البدء كان مع الله.

[3] كل شيء حدث له. وبدونه لم يتم عمل شيء ما كان.

[14] وصار الكلمة جسداً وبقي معنا. ورأينا مجده مجد الابن الوحيد من الآب. إنه مملوء نعمة وحقا.
[1] fi albad' kan hunak alkalimat , walkalimat kan eind allah , walkalimat kan allahu.

[2] alshay' nafsuh kan fi albidayat eind allahi.
fi albad' kan mae allah.

[3] kulu shay' hadath lah. wabidunih lam yatimm eamal shay' ma kana.

[14] wasar alkalimat jsdaan wabaqi maena. wara'ayna majdah majd alaibn alwahid min alab. 'iinah mamlu' niemat wahaqaa.

[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
 
Unajaribu kubabaisha ili ukimbie hoja lakini ninawe sikuwachi

Hivi Bwana Yesu aliposema
:
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Mathayo 5.17-20

Hapo ilikuwa ni wakati wa Musa ??

wacha kubabaisha na kupotosha

Tuje kwenye Yohana 8:58

Mstari mwingine unaotumiwa sana ili kuunga mkono uungu wa Yesu ni Yohana 8:58: “Yesu akawaambia, amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.”

Mstari huu umechukuliwa na kuashiria kuwa Yesu alikuwepo kabla ya kudhihiri kwake duniani.

Uamuzi uliofikiwa kutokana na mstari huo ni kuwa Yesu lazima awe Mungu, kwa kuwa kuwepo kwake kumetangulia tarehe ya kuzaliwa kwake duniani.

Hata hivyo, dhana ya kuwepo kabla ya kudhihiri kwa mitume, na kwa watu wengine, ipo katila vitabu vyote viwili, Agano la Kale, vilevile katika Quran.

Yeremia anajielezea mwenyewe katika Kitabu Cha Yeremia 1:4-5 kama ifuatavyo: “Neno la BWANA lilinijia, kusema, Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Nabii Suleimani anaripotiwa katika Mithali 8:23-27, ya kuwa amesema, “Nalitukuka tokea milele, tangu awali, kabla haijawako dunia.

Wakati visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji. Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nalizaliwa. Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde, Wala chanzo cha mavumbi ya dunia; Alipozithibitisha mbingu nalikuwako..."

Kwa mujibu wa Ayubu 38:4 na 21, Mungu amemtambulisha Nabii Ayubu kama ifuatavyo: “Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi?

Kwa hiyo, maelezo ya Mtume Yesu, “Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko”. Hayawezi kutumiwa kuwa ni ushahidi wa uungu wake.

Katika muktadha wa Yohana 8:54, Yesu amedaiwa kuwa ametamka kuhusu ujuzi wa Mungu kwa Mitume yake, ambayo inatangulia tarehe ya kuumbwa kwao katika ulimwengu huu.
Anza na Torati kwanza.

Yesu hakuja kuitangua Torati bali Kuitimiliza.

Huo ndio Ukweli kwakuwa Torati haiwezi kukamilika bila Ujio wa Yesu Kristo.
Mambo yaliyotabiriwa na Manabii wa Torati yamekuja kutimia baada ya ujio wake.
Yaani Torati utimilisho wake ni kuja kwa Yesu.
Yesu asingekuja Torati isingetimia au kwa maneno mengine ingekuwa imeongopa kwakua ilishasema kuwa atazaliwa mtoto na Mwaamke Bikra, Mfalme wa Amani.

Pia Torati haiwezi kufutwa kwakuwa Inasubiri kuwahukumu watu walio ishi wakati wa Musa.
Uma wa Musa utahukumiwa na Torati ya Musa. (lazima iwepo wakati wa mwisho wa dunia)

Uliza swali lingine
 
Kwanza niseme inaonekana umesoma au umesimuliwa Quruani kama hadithi lakini siyo kwa kuielewa ndiyo maana hukuilewa,nitaanza na hapa uliposema Yesu atakuja kuwahukumu wanadamu,kwani Yeye ndiye aliyewaumba?Mwenye uwezo wa kuwahukumu Wanadamu ni Mungu peke yake ambaye ana sifa zote za Uungu,hakuzaliwa hafi,hana mwanzo wala mwisho

Kwa kutokujua hicho tu unaonekana mwenyewe elimu yako ni ndogo kiasi kwamba huna uwezo wa kumchambua Issa na Yesu
Ni kweli uyasemayo kwenye sentence ya kwamba elimu yake ni ndogo. Ila tambua kua MUNGU si wa wenye elimu kubwa. Hataki elimu yako.

Isaya 9:6
[6]Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Yesu ni MUNGU
 
HUYU YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI]
SASA TATIZO LAKO NA UNAPO KOSEA UNAMJADILI YESU AKIWA KATIKA HALI YAKE YA UBINADAMU KAMILI!
AKIWA KATIKA HALI YAKE YA UMUNGU HUNA LA KUHOJI!
NA HILI TATIZO HATA ALLAH AMEWAONA KWA KUTUPIGIA KELELE, UBISHI, NA UGOMVI!
[emoji1370][emoji1370]
[۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ

[ AZZUKHRUF - 57 ]
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ

[ AZZUKHRUF - 58 ]
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi! Nyinyi ndio na miungu wengi!
[emoji116][emoji116]
أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi
.
أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?

وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu?

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma.

KAMA UNATAKA KUFA KAFIRI TAMKA LEO KWAMBA MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!

يسوع هو إله كامل وإنسان
yasue hu 'iilah kamil wa'iinsan

يوحنا 1: 1-3 ، 14
[1] في البدء كان هناك الكلمة ، والكلمة كان عند الله ، والكلمة كان الله.

[2] الشيء نفسه كان في البداية عند الله.
في البدء كان مع الله.

[3] كل شيء حدث له. وبدونه لم يتم عمل شيء ما كان.

[14] وصار الكلمة جسداً وبقي معنا. ورأينا مجده مجد الابن الوحيد من الآب. إنه مملوء نعمة وحقا.
[1] fi albad' kan hunak alkalimat , walkalimat kan eind allah , walkalimat kan allahu.

[2] alshay' nafsuh kan fi albidayat eind allahi.
fi albad' kan mae allah.

[3] kulu shay' hadath lah. wabidunih lam yatimm eamal shay' ma kana.

[14] wasar alkalimat jsdaan wabaqi maena. wara'ayna majdah majd alaibn alwahid min alab. 'iinah mamlu' niemat wahaqaa.

[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Hahahaaaa punguwani waahed,unaelewa hata ulichoandika!!!..
 
Kwa hiyo alipokua anasulubiwa akasema 'baba wasamehe,hawajui walitendalo' alikua anajiambia mwenyewe!!?..umeona ulivyo punguani na ulivyo kwenye Imani ya hovyo!!..Bora wahindi wanaeleweka wanaabudu kitu gani
Tatizo lenu mnamwangalia Mungu kwa namna mnayo karirishwa.
Kwani Mungu wenu Allah hawezi kuwa Binadamu?

Mungu wa Wayahudi amesha kuja dunia mala kadhaa kama Binadamu.

Hebu soma hapa

Mwanzo 18:1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2 Akainua macho yake akaona, na tazama, [emoji117]watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,

3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.

Hivi kwa Akili ya Kiislamu unaweza kumjua Mungu ni yupi kati hao watu watatu waliomtembelea Ibrahimu ?

Tatizo lenu Mnamfananisha Allah na Mungu wa Ibrahimu.

Allah hajawahi kuonekana ki vyovyote vile.
Hata kile kijinga cha moto kule Bonde la Tua kilicho waamrisha mvue viatu Misikitini ni tukio lililo kopiwa kwenyeTorati ya Musa na kupestiwa kwenye Qurani.

Sisi tunamjua Mungu wetu kwakuwa tunamtambua hata aje kama Mwali wa Moto.
 
Anza na Torati kwanza.

Yesu hakuja kuitangua Torati bali Kuitimiliza.

Huo ndio Ukweli kwakuwa Torati haiwezi kukamilika bila Ujio wa Yesu Kristo.
Mambo yaliyotabiriwa na Manabii wa Torati yamekuja kutimia baada ya ujio wake.
Yaani Torati utimilisho wake ni kuja kwa Yesu.
Yesu asingekuja Torati isingetimia au kwa maneno mengine ingekuwa imeongopa kwakua ilishasema kuwa atazaliwa mtoto na Mwaamke Bikra, Mfalme wa Amani.

Pia Torati haiwezi kufutwa kwakuwa Inasubiri kuwahukumu watu walio ishi wakati wa Musa.
Uma wa Musa utahukumiwa na Torati ya Musa. (lazima iwepo wakati wa mwisho wa dunia)

Uliza swali lingine

Sasa jibu swali langu

Tatizo lenu mnamwangalia Mungu kwa namna mnayo karirishwa.
Kwani Mungu wenu Allah hawezi kuwa Binadamu?

Mungu wa Wayahudi amesha kuja dunia mala kadhaa kama Binadamu.

Hebu soma hapa

Mwanzo 18:1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2 Akainua macho yake akaona, na tazama, [emoji117]watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,

3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.

Hivi kwa Akili ya Kiislamu unaweza kumjua Mungu ni yupi kati hao watu watatu waliomtembelea Ibrahimu ?

Tatizo lenu Mnamfananisha Allah na Mungu wa Ibrahimu.

Allah hajawahi kuonekana ki vyovyote vile.
Hata kile kijinga cha moto kule Bonde la Tua kilicho waamrisha mvue viatu Misikitini ni tukio lililo kopiwa kwenyeTorati ya Musa na kupestiwa kwenye Qurani.

Sisi tunamjua Mungu wetu kwakuwa tunamtambua hata aje kama Mwali wa Moto.

Huyo anayesema hivyo Nani ?
 
Hebu tuangalie Quran Aya 19:27-28 “Baadaye akamleta yule (mtoto) kwa watu wake akiwa amembeba (mikononi mwake). Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta jambo la ajabu! Ewe dada yake. Hakika baba yako hakuwa mtu mwovu, wala mama yako hakuwa mwanamke kahaba.

Hakuna makosa katika Aya za Tukufu hapo juu!.

Hebu tuangalie Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema nini kuhusiana na Aya hii tukufu:

Mughira b. Shu’ba amesimulia:

“Nilipokuja Najran, waliniuliza (Wakristo wa Najran): Umesoma “Ewe dada yake Harun (Harun)” (yaani Mariamu) katika Qur’ani, ambapo Musa alizaliwa muda mrefu kabla ya Yesu. Niliporudi kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani ziwe juu yake) nilimuuliza kuhusu hilo, akasema: (Watu wa uzee) walikuwa wakiwapa majina kwa majina ya Mitume na wachamungu. waliowatangulia.” (Tafsiri ya Sahih Muslim, Kitabu cha Tabia ya Jumla (Kitab Al-Adab), Kitabu 025, Namba 5326)”

Kama tunavyoona kwa uwazi kutoka katika Kauli (Hadith) ya Mtume wetu kipenzi, suala hili lililetwa kwake hapo awali na akalijibu kwa uwazi. Dai la uwongo lililotolewa dhidi ya Mtume wetu kuhusu yeye kumaanisha kwamba Mariamu alikuwa dada wa kibiolojia wa Harun linakanushwa waziwazi.

Watu wa Isreal walikuwa wakiwaita watu kwa majina yao ya mwisho, au kwa kuongeza maneno kama wewe "Mwana wa..." au "Ndugu wa...." au "Dada wa...." Walipoita watu. "Ee Mwana wa...." hawakumaanisha mtu huyo awe mtoto halisi wa mtu ambaye walimtumia jina lake. Mtu mwingine anaweza kuwa tu katika mti wa familia au jina la mwisho.

Yesu alipoitwa "Yesu mwana wa Daudi" kwa mfano, Wayahudi hawakuwa na maana ya kumwita Yesu mwana halisi wa Daudi. Vile vile walipomwita Maryamu “Ewe dada yake Harun” walimaanisha kumwita dada yake Harun kwa imani! Sio dada halisi wa kibaolojia wa Haruni.

Quran Tukufu ilizungumza kuhusu Harun kuwa ndugu wa kibiolojia wa Musa na mjumbe kwa Firauni katika Aya za Mtukufu 2:248, 4:163, 6:84, 7:122, 7:142, 7:150-151, 10:75, 10:87 , 10:89, 19:28, 19:53, 20:30-35, 20:42, 20:70, 20:92-94, 21:48, 21:23, 21:45, 25:35-36 , 26:13, 26:48, 28:34-35, 37:114-122 na zaidi.....

Quran Tukufu pia inazungumza kuhusu Musa kuwa watu wa Isreal Mtume wa kwanza wa Mwenyezi Mungu katika Aya za Mtukufu 2:108, 2:248, 4:153, 5:20-26, 6:84, 14:8, 19:51-53 , 22:44, 25:35-36, 28:3, 37:114-122, 18:60-82, 20:9-48, 27:7-12, 28:29-35, 79:15-19 , 7:109-126, 10:79-82, 20:56-73, 26:38-51, 33:7, 2:53, 2:87, 2:136, 3:84, 6:91, 6 :154, 7:144-145, 10:87, 11:110, 14:5, 17:2, 21:48, na zaidi....

Quran Tukufu pia inazungumza juu ya Yesu kuja kwa watu wa Isreal miaka mingi sana baada ya Musa na Mitume wengine wengi wa Mwenyezi Mungu ambao walitumwa kwa watu wa Isreal katika Aya 3:49-51, 5:46, 5:72. 43:59, 61:6, 61:14, 4:171, 5:75, 43:59, 42:13, 4:172, 19:30, 43:64, 43:63, 3:52-54, 5:111-113, 57:27, 61:14, 61:6 na mengine mengi.....

Quran Tukufu pia inazungumza juu ya Mariamu kuwa Mama wa Yesu wa kibiolojia katika Aya 3:35-37, 19:22-26, 21:91, 66:12, 5:75, 21:91, 4:156, 4: 171, 5:17, 5:116, 21:91, 3:42-51, 19:16-21, na mengine mengi...
Kwa hiyo ikiwa Quran Tukufu inazungumza kwa uwazi kabisa kuhusu Harun kuwa ni ndugu wa kibiolojia wa Musa, na inazungumza kwa uwazi kuhusu Yesu kuja miaka mingi baada ya Musa na Mitume wengine wengi wa Mwenyezi Mungu waliotumwa kwa watu wa Isreal, na inazungumza waziwazi kuhusu Mariamu kuwa Mama wa Isa, basi Qur'ani Tukufu

(1) Inamtambua Mariamu kuwa ni mwanamke aliyezaliwa miaka mingi baada ya Harun, na

(2) Mayahudi walipomwita Maryamu 'Ewe dada yake Harun..', basi walimaanisha kuwa ni Dada yake Harun.

Haruni kwa imani tu na sio dada wa kibiolojia.
Wakristo sijui wapi hawaelewi...Mfano biblia ukiisoma utakuta neno " Wana wa israel"...wakimaanisha kuwa ni wayahudi na si watoto wa kibaiolojia wa Israel (Nabii Yakobo/Yaqub/Jacob).

Ila ikija kwenye Quran wanajifanya kuitafutia makosa pale inaposema "Ewe (Mariam) dada wa Harun" .

Wanalazimisha Quran iwe imemaanisha kuwa Mariam ni dada wa kibaiolojia wa Harun. Ila hawawanasibishi Wana wa Israel kuwa ni watoto wa kibaiolojia wa Yakobo.

Ajabu kweli kweli....!!

Mtume alishasema utaratibu uliokuwa ukitumiwa na wayahudi wa kale katika kuitana Majina ,walikuwa wakiwaita watu kutokana na majina ya mitume ,manabii na wachamungu waliotangulia na hii haimaanishi kuitwa dada yake au kaka yake fulani ni lazima uwe na udugu wa kibaiolojia na mtu huyo.

Ni sawa na utaratibu wa waarabu kutumia (Kun-ya)...utakuta mtoto mdogo anaitwa Abu mansur (baba yake mansur) ila haimaanishi kuwa huyo mtoto ana mtoto anayeitwa mansur)
 
Anayesema maneno gani ?

Anayesema maneno haya ni nani ??

Mwanzo 18:1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2 Akainua macho yake akaona, na tazama, [emoji117]watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,

3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.
 
Hadith on Maryam: Why Mary is called sister of Aaron​

Mughira ibn Shu’ba reported: When I came to Najran, the Christian monks asked me, “You recite the verse, ‘O sister of Aaron,’ (19:28) but Moses was born long before Jesus by many years.” When I came back to the Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, I asked him about it and he said, “Verily, they used to name people with the names of prophets and righteous people who had passed before them.”
Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2135
Grade: Sahih (authentic) according to Muslim
Ibn Kathir said, “This is like saying to somebody from the Tamimi tribe: O brother of Tamim, or to somebody from the Mudari tribe: O brother of Mudar.”
Source: Tafsīr Ibn Kathīr 19:28
عَنْ الْمُغِيرَةِ بْنِ شُعْبَةَ قَالَ لَمَّا قَدِمْتُ نَجْرَانَ سَأَلُونِي فَقَالُوا إِنَّكُمْ تَقْرَءُونَ يَا أُخْتَ هَارُونَ وَمُوسَى قَبْلَ عِيسَى بِكَذَا وَكَذَا فَلَمَّا قَدِمْتُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ سَأَلْتُهُ عَنْ ذَلِكَ فَقَالَ إِنَّهُمْ كَانُوا يُسَمُّونَ بِأَنْبِيَائِهِمْ وَالصَّالِحِينَ قَبْلَهُمْ
2135 صحيح مسلم كتاب الآداب باب النهي عن التكني بأبي القاسم وبيان ما يستحب من الأسماء
قال ابن كثير كَمَا يُقَالُ لِلتَّمِيمِيِّ يَا أَخَا تَمِيمٍ وَالْمُضَرِيِّ يَا أَخَا مُضَرَ
19:28 التفسير ابن كثير​

​

Wakristo sijui wapi hawaelewi...Mfano biblia ukiisoma utakuta neno " Wana wa israel"...wakimaanisha kuwa ni wayahudi na si watoto wa kibaiolojia wa Israel (Nabii Yakobo/Yaqub/Jacob).

Ila ikija kwenye Quran wanajifanya kuitafutia makosa pale inaposema "Ewe (Mariam) dada wa Harun" .

Wanalazimisha Quran iwe imemaanisha kuwa Mariam ni dada wa kibaiolojia wa Harun. Ila hawawanasibishi Wana wa Israel kuwa ni watoto wa kibaiolojia wa Yakobo.

Ajabu kweli kweli....!!

Mtume alishasema utaratibu uliokuwa ukitumiwa na wayahudi wa kale katika kuitana Majina ,walikuwa wakiwaita watu kutokana na majina ya mitume ,manabii na wachamungu waliotangulia na hii haimaanishi kuitwa dada yake au kaka yake fulani ni lazima uwe na udugu wa kibaiolojia na mtu huyo.

Ni sawa na utaratibu wa waarabu kutumia (Kun-ya)...utakuta mtoto mdogo anaitwa Abu mansur (baba yake mansur) ila haimaanishi kuwa huyo mtoto ana mtoto anayeitwa mansur)

Twende nao ingawa si kazi ndogo kwani akili zao zimeharibiwa na makardinali, pastor , Padri , wachungaji na hawa manabii akina Tito
 
Wakristo sijui wapi hawaelewi...Mfano biblia ukiisoma utakuta neno " Wana wa israel"...wakimaanisha kuwa ni wayahudi na si watoto wa kibaiolojia wa Israel (Nabii Yakobo/Yaqub/Jacob).

Ila ikija kwenye Quran wanajifanya kuitafutia makosa pale inaposema "Ewe (Mariam) dada wa Harun" .

Wanalazimisha Quran iwe imemaanisha kuwa Mariam ni dada wa kibaiolojia wa Harun. Ila hawawanasibishi Wana wa Israel kuwa ni watoto wa kibaiolojia wa Yakobo.

Ajabu kweli kweli....!!

Mtume alishasema utaratibu uliokuwa ukitumiwa na wayahudi wa kale katika kuitana Majina ,walikuwa wakiwaita watu kutokana na majina ya mitume ,manabii na wachamungu waliotangulia na hii haimaanishi kuitwa dada yake au kaka yake fulani ni lazima uwe na udugu wa kibaiolojia na mtu huyo.

Ni sawa na utaratibu wa waarabu kutumia (Kun-ya)...utakuta mtoto mdogo anaitwa Abu mansur (baba yake mansur) ila haimaanishi kuwa huyo mtoto ana mtoto anayeitwa mansur)
Wana wa Israeli maana yake ni Watoto wa Yakobo ambaye baadae aliitwa Israeli.
Hivyo ni watoto wa Israeli yaani Yakobo ndio maana Makabila ya Israeli yanatokana na Watoto wa Yakobo ambaye ndiye Israeli.
Ndio maana Israeli ina makabila 12.
Ambayo ni majina 12 ya Watoto wa Yakobo.

Ufunuo wa Yohana 7:4 Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:5 Wa kabila ya Yuda kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri. Wa kabila ya Reubeni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Gadi kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:6 Wa kabila ya Asheri kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Naftali kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Manase kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:7 Wa kabila ya Simeoni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Lawi kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Isakari kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:8 Wa kabila ya Zabuloni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Yusufu kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Benyamini kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri.

Mnajifanya kujua kumbe hamna kitu. Si muwaulize waliopewa kitabu kabla yenu ?
 
Anayesema maneno haya ni nani ??

Mwanzo 18:1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2 Akainua macho yake akaona, na tazama, [emoji117]watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,

3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.
Ni maneno ya aliye andika kitabu cha Mwanzo.
Nabii Musa.

Kutoka 17:14 Bwana akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.

Kutoka 24:4 Basi Musa akayaandika maneno yote ya Bwana, akaondoka asubuhi na mapema, akajenga madhabahu chini ya mlima, na nguzo kumi na mbili, kwa hesabu ya kabila kumi na mbili za Israeli,
 
HUYU YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI]
SASA TATIZO LAKO NA UNAPO KOSEA UNAMJADILI YESU AKIWA KATIKA HALI YAKE YA UBINADAMU KAMILI!
AKIWA KATIKA HALI YAKE YA UMUNGU HUNA LA KUHOJI!
NA HILI TATIZO HATA ALLAH AMEWAONA KWA KUTUPIGIA KELELE, UBISHI, NA UGOMVI!
[emoji1370][emoji1370]
[۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ

[ AZZUKHRUF - 57 ]
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ

[ AZZUKHRUF - 58 ]
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi! Nyinyi ndio na miungu wengi!
[emoji116][emoji116]
أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi
.
أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?

وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu?

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma.

KAMA UNATAKA KUFA KAFIRI TAMKA LEO KWAMBA MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!

يسوع هو إله كامل وإنسان
yasue hu 'iilah kamil wa'iinsan

يوحنا 1: 1-3 ، 14
[1] في البدء كان هناك الكلمة ، والكلمة كان عند الله ، والكلمة كان الله.

[2] الشيء نفسه كان في البداية عند الله.
في البدء كان مع الله.

[3] كل شيء حدث له. وبدونه لم يتم عمل شيء ما كان.

[14] وصار الكلمة جسداً وبقي معنا. ورأينا مجده مجد الابن الوحيد من الآب. إنه مملوء نعمة وحقا.
[1] fi albad' kan hunak alkalimat , walkalimat kan eind allah , walkalimat kan allahu.

[2] alshay' nafsuh kan fi albidayat eind allahi.
fi albad' kan mae allah.

[3] kulu shay' hadath lah. wabidunih lam yatimm eamal shay' ma kana.

[14] wasar alkalimat jsdaan wabaqi maena. wara'ayna majdah majd alaibn alwahid min alab. 'iinah mamlu' niemat wahaqaa.

[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

The following verses explicitly state that no one has seen God.

John 1:18: No man hath seen God at any time,

Exodus 33:20: And he said, Thou canst not see my face: for there shall no man see me, and live

So those verses make it crystal clear that no man has seen God at any time, and that no man can see his face, and if any do they shall then die.

However so, there are several verses in the Bible which show men have seen the FACE of God and have not died, either Christians accept those verses to be in contradiction with the verses I quoted, or they agree that when the Bible claims that someone has seen the face of God, or have seen God, it basically means they have seen the glory of God and the power of God, not them literally looking at God.

The same goes with Mgen, either he accepts those verses as a contradiction, or he accepts the fact that they basically mean they saw the glory and power of God, which is a completely different case.

However so, if Jesus is indeed God, then one must ask how could people have seen him and live?

Or did Jesus come in a disguise?

Or a costume, which is the flesh?

The fact is Jesus cannot be God, for no man has seen God, and man cannot see the face of God, for if they did they would die.
 
Wana wa Israeli maana yake ni Watoto wa Yakobo ambaye baadae aliitwa Israeli.
Hivyo ni watoto wa Israeli yaani Yakobo ndio maana Makabila ya Israeli yanatokana na Watoto wa Yakobo ambaye ndiye Israeli.
Ndio maana Israeli ina makabila 12.
Ambayo ni majina 12 ya Watoto wa Yakobo.

Ufunuo wa Yohana 7:4 Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:5 Wa kabila ya Yuda kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri. Wa kabila ya Reubeni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Gadi kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:6 Wa kabila ya Asheri kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Naftali kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Manase kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:7 Wa kabila ya Simeoni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Lawi kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Isakari kumi na mbili elfu.
Ufunuo wa Yohana 7:8 Wa kabila ya Zabuloni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Yusufu kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Benyamini kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri.

Mnajifanya kujua kumbe hamna kitu. Si muwaulize waliopewa kitabu kabla yenu ?

Aliyeandika haya ni nani , usinikimbie please

Uliza kutokana na Kitabu wewe Maamuma.
Kila kitabu kina mwandishi wake.

Inaonekana akili zako zimekuruka.
Na zitakuruka sana tu.
 
Ni maneno ya aliye andika kitabu cha Mwanzo.
Nabii Musa.

Kutoka 17:14 Bwana akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.

Kutoka 24:4 Basi Musa akayaandika maneno yote ya Bwana, akaondoka asubuhi na mapema, akajenga madhabahu chini ya mlima, na nguzo kumi na mbili, kwa hesabu ya kabila kumi na mbili za Israeli,

Nabii Musa kaandika kwa ushahidi upi ??
 
Back
Top Bottom