Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Mungu ni Roho
Usilete Imani Yako ya Allah kuwa physically being creature
Si imani yangu ni umesema mwenyewe Mungu ni Roho, Jee wewe unaamini Yesu si Mungu?
Mungu ni Roho
Usilete Imani Yako ya Allah kuwa physically being creature
Yesu ni MUNGU si Mimi niliyesema NI bibleSi imani yangu ni umesema mwenyewe Mungu ni Roho, Jee wewe unaamini Yesu si Mungu?
Tatizo muddy kachanganya Sana madesaVipi kama Holi la ng'ombe lilikuwa chini ya mtende harafu mwandishi wa biblia hakuliandika
@Mokiti ww si ndio mungu wako yesuLeta hoja za Isa na Yesu
Mjinga gani anaona binadamu mwenzake ndie muumba wake ?
Kwenye ukristo hakuna Imani ya kuwa binadamu ndie muumba
Kama Yesu ni Mungu na hapa anamuomba Mungu gani?Yesu ni MUNGU si Mimi niliyesema NI bible
Luka 2:7Tatizo muddy kachanganya Sana madesa
Uko sahihiWaislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Jibu lako lako napatikana isaya 9:6 (Kama Yesu ni Mungu na hapa anamuomba Mungu gani?
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
NI kuchukua jina la MFALME WA AMANI. kwa maana hata mwili ukifa. Yeye NI mfalme wa Amani ilimbidi aseme hivyo ili wamuamini walio wake Tu. Kama unataka Aya zingine ya kua yeye NI MUNGU niambie nikupe.Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Mwamedi alikuwa na mambo mengi has a alipompata mtoto Aysha na kumfanya wife wake akawa busy sana kwasababu lilikuwa penzi jipyaTatizo muddy kachanganya Sana madesa
Sorry hivi mna hadith Ile ya Muhammad kuoa mtoto akiwa hajafikisha hata miaka 14, itakua vyema nikiipata na ile aliporogwa nitashukuru mno. Hata kama NI muislamu kama Una pdf ya hizo hadithi please [emoji120][emoji120]help meMwamedi alikuwa na mambo mengi has a alipompata mtoto Aysha na kumfanya wife wake akawa busy sana kwasababu lilikuwa penzi jipya
Narrated `Aisha:Sorry hivi mna hadith Ile ya Muhammad kuoa mtoto akiwa hajafikisha hata miaka 14, itakua vyema nikiipata na ile aliporogwa nitashukuru mno. Hata kama NI muislamu kama Una pdf ya hizo hadithi please [emoji120][emoji120]help me
Haujanijibu swali bado hapa sio kanisani mnakohubitiana mambo ya uongoJibu lako lako napatikana isaya 9:6 (
Isaya 9:6
[6]Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Kwa maana hiyo yeye ana majina ya hapo juu kama ilivyotabiliwa, na wakristo wanaamini hivyo. So kwa kusema kauli hii ya
NI kuchukua jina la MFALME WA AMANI. kwa maana hata mwili ukifa. Yeye NI mfalme wa Amani ilimbidi aseme hivyo ili wamuamini walio wake Tu. Kama unataka Aya zingine ya kua yeye NI MUNGU niambie nikupe.
But remember yeye hufanya kitu chochote akipendacho, ana uwezo wote na kama ana uwezo wote pia kuja kwake lazima aje kwa sura ya mwanadamu maana Sisi binadamu kwa mfano wake na kwa sura yake tumeumbwa na ilimbidi ajidhihilishe kwa NAMNA hiyohiyo.
Kaka unayo Hadith nzima?Narrated `Aisha:
Muhammad married her when she was six years old and he consummated his marriage when she was nine years old ..Sahih al-Bukhari 5134
Gusa linkKaka unayo Hadith nzima?
Haujanijibu swali bado hapa sio kanisani mnakohubitiana mambo ya uongo.
Asante kk ngoja nisome ili nione imekuaje nabii WA Allah kuoa mtoto mdogo.Gusa link
![]()
Sahih al-Bukhari 5133 - Wedlock, Marriage (Nikaah) - كتاب النكاح - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Alaf wewe akili zako sijui zikoje.Haujanijibu swali bado hapa sio kanisani mnakohubitiana mambo ya uongo
Kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba nani?
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.