inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,590
Umewahi kuigusa Qur'an kweli!?..hata Kama hukuwahi,unadhani kujua issa kazaliwa wapi ni mission ya Qur'an!?Issa alizaliwa Wapi?
Umewahi kuigusa Qur'an kweli!?..hata Kama hukuwahi,unadhani kujua issa kazaliwa wapi ni mission ya Qur'an!?Issa alizaliwa Wapi?
Ni wawili tofauti Yesu alizaliwa Mariam kwa uweza wa Roho Mtakatifu
pia Yesu ni Mungu soma 1timothy 3:16, tito2:13, yohana20:28-29 na isaya 9:6
Mungu awabariki. Mjadala uendelee kwa aman na upendo.
Mwandishi wa Quran ameumba mhusika Mpya
Mleta mada ungekuwa unaulewa huu mstari vizuri. Hata mada yako ya kibaguzi usingeileta.
Kiufupi wewe ni wale waliokuwa wanaona lakini baada ya Yesu kuja wakawa vipofu. Amini injili upate neema ya kuona tena.
Kwanza Qurani iliandikwa na waganga wa kienyeji wa kiarabu na ndio maana qurani imejaa mambo ya ajabu ya kuita majini na kuroga watu na kuwatupia majini,Muhamad alikuwa mshenzi sana huyu kibakaKwanza niseme inaonekana umesoma au umesimuliwa Quruani kama hadithi lakini siyo kwa kuielewa ndiyo maana hukuilewa,nitaanza na hapa uliposema Yesu atakuja kuwahukumu wanadamu,kwani Yeye ndiye aliyewaumba?Mwenye uwezo wa kuwahukumu Wanadamu ni Mungu peke yake ambaye ana sifa zote za Uungu,hakuzaliwa hafi,hana mwanzo wala mwisho
Kwa kutokujua hicho tu unaonekana mwenyewe elimu yako ni ndogo kiasi kwamba huna uwezo wa kumchambua Issa na Yesu
Kurani kitabu cha mchongo kilicho andikwa na waganga wa kienyeji ndicho kilichokuja kupotosha ukweli uliopokutokana na maandiko inawezekana kuna utofauti kutokana na upotoshaji ntakujibu kwamba yesu sio jina pale limetumika kama kivumishi cha sifa "uwokozi au mwokozi"
Mkuu, nilikuuliza swali... Naomba nirudie tena hapa:-
Ukiacha Maryam Mama yake Yesu... Kwenye historia ya Dunia hii, Je.,kuna Mwanamke mwingine aliyezaa mtoto akiwa katika hali ya Ubikra?
Swali lina majibu ya a na b.....
a. Hapana.
b. Ndiyo
Hilo swali hapo juu ndiyo Lina point ya msingi,... Huko kwingine ni kuzunguka na kuleta ushabiki ambao hauna maana kabisa.
Tofauti ya Uisilamu na dini zingine ni huu,Tumefundishwa kuwaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu,na hata Viongozi wa kidunia,pole sana kwa kukosa malezi mazuri kuanzia nyumbani kwako na mpaka unakoabuduKwanza Qurani iliandikwa na waganga wa kienyeji wa kiarabu na ndio maana qurani imejaa mambo ya ajabu ya kuita majini na kuroga watu na kuwatupia majini,Muhamad alikuwa mshenzi sana huyu kibaka
Naona unajadili kwa woga sana kiasi kwamba sehemu nyingi unajijibu mwenyewe.Hii mada ni nzito huna hoja nayo.
Mfano kwenye biblia ya kiarabu ikiwa wakristo wanamwita yashu basi ni mbinu yao ya kukwepa jina la Issa ambalo wanajua ndilo lilivyo kwenye Qur'an.Kwa maana hiyo hiyo si hoja ya kumtofautisha.
Kongole sana kwa kuuthibitisha utofauti wa Yesu na Isa
ANDIKO Bora kabisa Hongera sana Robert.
🙏
Umewahi kuigusa Qur'an kweli!?..hata Kama hukuwahi,unadhani kujua issa kazaliwa wapi ni mission ya Qur'an!?
Biblia ya kiarabu ilibadilishwa majina miaka 1880s,maana mji wa hijja kwenye biblia kipindi hicho uliandikwa bacca, waislam waliposoma biblia wakawaambia makasisi,matokeo yaliyofuata jina likabadilishwa,hata kwenye biblia za kiswahili hapajaandikwa ismail Bali Ishmael kufuata matamshi ya kiebrania,so biblia ya kiarabu yesu kuitwa yashu ni yaleyale tu,yeshua si kigiriki ni kiebrania,Wana version mbili wanavyoandika Hilo jina kwa kirumi,yeshua na y'shua...linatamkwa 'yiishias', kiebrania hakina 'e' ni Aramaic/semitic Kama kiarabu,kwenye 'yiishias' ondoa 'sh' ya kiebrania weka 's' ya Kiarabu Kama kwenye Ishmael na ismail uone unapata jina gani