Isa ndani ya Quran
Amezaliwa chini ya shina la mtende
Mama yake ni Mariam bint Imran
Ni mtume Kwa Wana wa Israel
Amepewa kitabu Cha Injili
Bibilia haijasema mahara alipozaliwa Yesu soma hili andiko Kwa umakini
Luka 2:6
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Hilo andiko la Luka halisemi kama Yesu amezaliwa ndani ya hori la ng'ombe
Andiko linasema akavikwa nguo akalazwa katika hori la ng'ombe
Tena andiko linasema amelazwa hapo Baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni
Kwa hiyo kama Mariam angepata nafasi nyumba ya wageni hapo katika hori la ng'ombe asingefika na Wala asingelala na mwanawe hapo
Kwa lugha nyepesi hapo katika hori la ng'ombe ni kama wording sehemu ambayo wazazi na watoto wao wanaenda kupumzika Baada ya kutoka Leba
Je Leba ya Yesu ipo wapi ? bibilia haijasema
Kwa mujibu wa Quran Leba ya Yesu ni chini ya shina la mtende hakuna mgalatia yoyote anaweza kupinga hili Kwa kutumia maandiko
Alafu nyinyi wagalatia mnashangaza sana hivi mnajua huyo anayekupeni habari za kuzaliwa Yesu ni Luka mganga wa kienyeji tena hizo habari ameuliza uliza na nyingine ametunga
Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,