Unajua nyie Mujahidina badala ya kuuliza jambo kwa kutaka kujua mnataka kujionesha mnajua.
Ngoja nikupe somo.
Malaika uliposema Mwezi wa 6 alimtokea Bikira Mariamu hakumaanisha Mwezi Juni.
Bali alimaanisha Mwezi wa Sita toka Elizabeth achukue Mimba ya Yohana Mbatizaji. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu soma hapa chini uone somo lilivyo kuwa.
Luka 1:24
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema,
[emoji3516]miezi mitano ya mimba ya Elizabeti kwa mtoto Yohana Mbatizaji
Luka 1:25 Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
Luka 1:26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
[emoji3516]mwezi mmoja baadae yaani mwezi wa sita toka Elizabeti achukue mimba ya Yohana Mbatizaji
Hivyo wewe
mjingamimi, utabaki na ujinga wako hivyo hivyo kama unajifanya kujua kumbe ni juha.
Waambie na Mujahudina wenzako hapo mwezi wa sita haumaanishi mwezi JUNI [emoji23][emoji23][emoji23]
Yohana Mbatizaji na Yesu Kristo wamepishana miezi mitano, mkubwa ni Yohana.
Tuliwaambieni hao Majini mnaowaamini wanawapotosha msilijue Neno la Mungu hamsikii kabisa.
Tunawapigieni ngoma hamchezi.