Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Sawa twende kwenye uzao na tarehe ya kuzaliwa yesu 25 mwezi wa 12 je ni sahihi?
Wacha kujitoa ufahamu sema ukweli kuzaliwa kwa Isa hakukuwa kwa kawaida soma hapa.

19:19 - (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika

19:20 - Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?

19:21 - (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.

19:22 - Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
[emoji3516]maria anachukua mimba take hapo hapo

19:23 - Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
[emoji3516]anasikia uchungu

19:24 - Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

19:25 - Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.

19:26 - Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.

19:27 - Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
[emoji3516]maria kesha jifungua isa.

19:28 - Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
[emoji3516]dada wa Haruni anaulizwa

19:29 - Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi
[emoji3516]ndugu wanashangaa mtoto mchanga ataongea vipi ?

19:30 - (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii.
[emoji3516]Kichanga isa kinaongea
 
tunajua agano la kale ndo Lina taurati na zaburi.
Hapo kwenye injili ya yesu na agano jipya ndipo utata unapokuja.
Injili ya yesu IPO wapi?
Luka,matayo na wenzao Wana husika vipi na maneno ya yesu?
Agano jipya ndio injili ya Yesu ndugu,mitume wake ndio waliyoyandika waliyoyashuhudia kwa uweza wa Roho Mtakatifu means msaidizi.
 
Hoja ipi ?
Kwani wewe ni Mwanafunzi wa Paulo ?

Huyo Paulo ni kama wewe tu na anahitaji kutubu ili afike Mbinguni kwakuwa hakuna Binadamu mkamilifu.

Msikilize Mungu
Msikilize Malaika
Msikilize Masihi Yesu Kristo wa Nazareti.
Hao ndio wakamilifu.

Na sio yule Nabii wa Uwongo.
Ngoja wakuskie wenzio unamwita nabii wa uongo [emoji16][emoji16] Me bhn ndo mana spendagi kubishana n nyie mana Leo utabishana n mkristu hv kesho ukikutana na mkristu mwngn utabishana nae vile.. Malizaneni wnyw kwnz afu mkija tujue tunasmama vp like hj Y yesu Mungu leo utabishana hv kesho ukakutana n mkristu mwngn atabishana vile
 
Ndio huyo huyo Issa anayekusudiwa kwenye Qur'an, unajua tatizo kuna watu wamejimilikisha huyo Yesu na kuona kwamba ni wao tu ndio anawahusu na ndio wanatakiwa kumuelezea na si wengine.

Hii ishu ni ndogo tu anayekusudiwa ni mmoja ambaye wengine humtambua kama Yesu na wengine Issa, ni suala la mtu kuamua kuamini maelezo yenye kumuhusu huyo mkusudiwa kutoka kwenye biblia au qur'an.
Akili nyingi sana [emoji2935]
 
Sawa twende kwenye uzao na tarehe ya kuzaliwa yesu 25 mwezi wa 12 je ni sahihi?
Jibu kwanza mazingira ya kuzaliwa kwa Isa ndio tutaenda huko.
Ulikanusha kuwa Isa hakuzaliwa siku hiyo hiyo aliyetabiriwa na huyo mjumbe wa Mola wenu.
Wacha kuhamisha mada.
 
Ngoja wakuskie wenzio unamwita nabii wa uongo [emoji16][emoji16] Me bhn ndo mana spendagi kubishana n nyie mana Leo utabishana n mkristu hv kesho ukikutana na mkristu mwngn utabishana nae vile.. Malizaneni wnyw kwnz afu mkija tujue tunasmama vp like hj Y yesu Mungu leo utabishana hv kesho ukakutana n mkristu mwngn atabishana vile
Kutenda dhambi sio kuwa Nabii wa uwongo.
Manabii wote walitenda dhambi.

Kila Nabii alikosea mahali fulani pamoja na huyo Paulo.
 
Mi nawaonea huruma wanawake tu kwenye ile dini. Maana wanapigwa miti hapa dunian na kule mbingu yao maana kila mwanaume atapewa bikra 72. Ni miti kwa kwenda mbele
Wakiwa wanapigwa miti huskia raha ama kero!? Ulitaka tusipige miti!? Ndo mana kwa huruma zenu baadhi yenu hamuoi ama mnawaoa kmj kmj mana miti inaumiza [emoji16]
 
Sawa issa alizaliwa siku hyo hyo.
Aya niambie yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12?
Jibu kwanza mazingira ya kuzaliwa kwa Isa ndio tutaenda huko.
Ulikanusha kuwa Isa hakuzaliwa siku hiyo hiyo aliyetabiriwa na huyo mjumbe wa Mola wenu.
Wacha kuhamisha mada.
 
Hivi unajua kuwa Luka matayo,Marko hawakuwepo kipindi Cha yesu ?
Na hawajawahi kumuona yesu Wala hawajawahi kuwa wanafunzi wa yes unajua hilo
Agano jipya ndio injili ya Yesu ndugu,mitume wake ndio waliyoyandika waliyoyashuhudia kwa uweza wa Roho Mtakatifu means msaidizi.
 
Samahani YESU, Paul ndio tatizo hapa hakuwa Nabii alibadili dini kuingia ukristo anadai YESU alimshukia na kumpa maelezo na kuandika alichoaandika. Ndio maana Mayahudi wanakataa na waislamu wanakataa paul.
But did Paul ever meet Jesus in the flesh during his life? No. Paul's experience with Jesus was one that can't really be explained other than the way that he explained it in Acts (and some other letters when claiming his authority as an Apostle).

Paul

Of the 27 books in the New Testament, 13 or 14 are traditionally attributed to Paul, though only 7 of these Pauline epistles are accepted as being entirely authentic and dictated by St. Paul himself.
Sasa waislam wanamkataa Mtume Paulo kwani anawahusu nini?

Inamaana dini yao haikamiliki hadi Mtume Paulo wa dini nyingine akataliwe?

Basi hii dini haijakamilika hadi iangilie dini zingine kujikamilisha.
 
Sawa issa alizaliwa siku hyo hyo.
Aya niambie yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12?
Mi sifahamu tarehe rasmi.
Na hiyo sherehe ya Chrismas inaazimishwa tu kwa hiari na sio Wakristo wote wanasheherekea Chrismass.

Ni kama skukuu Yenu ya Maulidi haijandikwa popote.
Wengine mnasheherekea wengine hawasheherekei.

Turudi kwenye kisa cha Isa kutabiriwa na kuchukuliwa mimba yake kujifungua na kuongea siku hiyo hiyo.

Huyo Isa mbona anatabia za Kijini ?
 
Hivi unajua kuwa Luka matayo,Marko hawakuwepo kipindi Cha yesu ?
Na hawajawahi kumuona yesu Wala hawajawahi kuwa wanafunzi wa yes unajua hilo
Hivi unajua Muhammad hajawai kumuona isa? na wala hakuwepo kipindi cha Isa na hajawahi kumuona isa na wala hajawahi kuwa mwanafunzi wa isa unajua hilo?
 
Hivi unajua Muhammad hajawai kumuona isa? na wala hakuwepo kipindi cha Isa na hajawahi kumuona isa na wala hajawahi kuwa mwanafunzi wa isa unajua hilo?
ha...ha...
Ushaingia kuwaambia ukweli wao watakukimbia sasa hivi.
Hawa jamaa wanategemea kuongea uwongo tu.
Ndio maana wakiulizwa maswali magumu wanatishia kutangaza Fatwa, na kwenda ujinini kusoma Al-Badri ili kuwaomba ndugu zao wa Kijini wakuuwe.
 
Swali lako ni nini hasa mbona unaonekana unaelezwa kitu usicho kielewa.
Swali langu ni kuwa huyo mwenzako amesema Uislamu ulianzaishwa na maoadri watano wa kanisa Katoliki. Nikamuuliza kwanza athibitishe tu kipindi cha Mtume Muhammad Biblia ilikuwepo. Hapo ndipo swali lipo hajajibu mpaka muda huu.
 
Hivi unajua Muhammad hajawai kumuona isa? na wala hakuwepo kipindi cha Isa na hajawahi kumuona isa na wala hajawahi kuwa mwanafunzi wa isa unajua hilo?
Usikimbie hoja kwa kuhamisha mada, swali limefungamana na hizo zinazotajwa Injili za hao wanne, wapi walimuona Yesu, jibu hawakundiriki, hizo habari walizipata wapi mpaka wakaziandika ?

Hapo ndipo kuna swali la msingi.
 
Akiweza kujibu swali nililo mpa atakuwa kasha jijibu
 
Ebu ngoja kwanza unasema haufahamu tarehe rasmi ya kuzaliwa kwa yesu.
Una taka kusema Christmas ni sikukuu ya uongo tena ya kutungwa?

Back
Top Bottom