Hiyo injili ipo wapi kwenye Quran?Yesu alipewa Injili na si Biblia kasome vizuri ni kumzushia uongo ukisema alitumia Biblia
Dini ya uisilamu imeanza mwaka 622 baada ya Kristo, huu utofauti wa Adam na hawa mmeutoa wapi? Inshort Koran imekopi maandiko mengi Sana kutoka kwenye biblia. Sema ukishakua muumini unafungea akiliN kwel kabisa lkn adam na hawa wa kwenye biblia takatifu n tofauti na adam na hawa wa kwenye quruan tukufu. Inshort biblia haifanani na wala haipatan na quruan tukufu .
Hizi ndio facts zinazopaswa kujadiliwa hapa.Issa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
Kwenye Koran yesu ISSA alikua anatumia kitabu gani?We mwamba acha uongo,wakati wa nabii issa quraan haikuwepo
Kaandika "hadithi" wewe umeandika "sunna".Qur’an na Sunnah haviachani wala havitengani ndugu yangu.
Pia, achana nae huyo Jahili.
QURAN INAWADANGANYEN SANA,Yesu alipewa Injili na si Biblia kasome vizuri ni kumzushia uongo ukisema alitumia Biblia
QURAN HAIAMINIKI , NI KITABU HAKINA TUMAINI KWA MWANADAMUUjumbe wa Qur'an ulishushwa kwa Mtume ni kwa ajili ya binaadam wote. Kumbuka hilo. Mtume ametumwa atufikishie, ataeupokea haya asiyeupokea haya.
Soma post ya juu hapo, Qur'an inakujibu.QURAN HAIAMINIKI , NI KITABU HAKINA TUMAINI KWA MWANADAMU
KAULI TATA NDANI YA QUR'AN:
Allah anamwambia hivi Mohammad:
"Surat Yunus 10:94. Na ukiwa una #shaka (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) katika yale Tuliyokuteremshia, basi #waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekujia haki kutoka kwa Rabb wako, basi usijekuwa miongoni mwa wanaoshuku.
Ukisoma vizuri hiyo aya utabaini kwamba:
1. Allah hana uhakika na kile alichoteremshiwa Muhammad kwamba kipo sahihi kwa asilimia 100
2. Anamsihi Muhammad ikiwa atakutana na #Shaka kwenye QUR'AN, Basi aende akawaulize Wale waliosoma Vitabu kabla ya Muhammad. Na hawa sio wengine Ni Wayahudi na Manasara(Wakristo).
3. Kwa mantiki hiyo Allah anaikubali sana Biblia kuliko QUR'AN. Maana Kama QUR'AN ingekuwa ipo vizuri kamwe Allah hangemwambia hivyo Muhammad.
#Hebu fikiria ukisikia mwalimu anawaambia wanafunzi kwamba ikiwa mna shaka au kuna mahali hamjapaelewa Basi Muulizeni Yusuph, Ina maana uwezo wa Yusufu darasani ni mkubwa kuliko wanafunzi wengine na ndio maana Hadi mwalimu anamkubali.
Kwa hiyo Biblia ni kitabu bora Duniani, kinachotatua Shida za watu, kuliko Vitabu vingine. Haina maana Vitabu vingine havifai la hasha!!! Vinafaa, lakini Kiongozi mkuu ni Biblia.
MTUME KIPOFU ASIYE JUA HATIMA YAKE WALA YA WAFUASI WAKE.Soma post ya juu hapo, Qur'an inakujibu.
Kijana unachotakiwa ni upige goti mbele yangu nikupe ilm usiyokuwa nayo, usikurupuke tu kwa kufata mabandiko ya "haters" na wewe ukayaona kuwa ndio ukweli. Wewe ni kama upo coco beach halafu unauliza baharini wapi. Soma juu hapo.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]Lakini ulishawahi kujiuliza why issa and not Yeshua maana hii ndio tafsiri ya jina jesus in Arabic language (Siri kali[emoji16]). Anyway nikipata wasaa tutajadili vizuri hii kitu
Source:Elimu changa [emoji3]
#Zakuambiwachanganyanazako
Umeandika makusudi au umeamua kupotosha? Unajua kuwa Quran iliandikwa miaka mingi baada ya kifo cha Muhammad, kulingana na historia ya Uislam? Sasa alikuwa akiifasiri kwa nmna gani?Mtume ameishi miaka yake yote akiifasili/fasiri Qur'aan,
Huwa unatumia Quran ipi? Maana:kwahiyo ni wajibu kuifuata Qur'aan na Hadithi zake na ule ufahamu wa maswahaba sababu, tumeashaambiwa tukiamini kama waivyo amini maswahaba basi tutaongoka.
Umeandika ujinga mpaka nikapata uvivu wa kukujibu.Umeandika makusudi au umeamua kupotosha? Unajua kuwa Quran iliandikwa miaka mingi baada ya kifo cha Muhammad, kulingana na historia ya Uislam? Sasa alikuwa akiifasiri kwa nmna gani?
Waliokuja kuifasiri si ndio akina Ibn Kathir et al?
Sasa shida hapo iko wapi ? Sijakuelewa, maana yake maswahaba walikuwa na wanafunzi na ndiyo maana hata swahaba Uthman baada ya kuandika zile nakala sita akazituma katika miji ya waislamu aliwatuma na Maquraa (wasomaji wa Qur'aan) ili wakawa fundishe watu watakao wakuta huko.Huwa unatumia Quran ipi? Maana:
1. Muhammad alisema
Narrated Abdullah bin Amr:
I heard the Prophet (ﷺ) saying, "Learn the recitation of Qur'an from four persons: Ibn Mas`ud, Salim, the freed slave of Abu Hudhaifa, Ubai and Mu`adh bin Jabal." - Sahihi Bukhari 3806
Kwa maelezo ya mtume wako, ambayo unapaswa kuyafuata hawa ndio watu wa kujifunza Quran toka kwa
Hoja yako iko wapi hapa ?. Abu Bakr alipoona watu walioishika Quran wanakufa (akiwemo Salim kwenye vita ya Yamama) akamtuma Zaid ibn Thabit kukusanya masalia ya Quran kuyaweka kama kitabu kimoja.
Abu Bakr sent for me owing to the large number of casualties in the battle of Al-Yamama, while `Umar was sitting with him. Abu Bakr said (to me), `Umar has come to my and said, 'A great number of Qaris of the Holy Qur'an were killed on the day of the battle of Al-Yamama, and I am afraid that the casualties among the Qaris of the Qur'an may increase on other battle-fields whereby a large part of the Qur'an may be lost. Therefore I consider it advisable that you (Abu Bakr) should have the Qur'an collected.' I said, 'How dare I do something which Allah's Messenger (ﷺ) did not do?' `Umar said, By Allah, it is something beneficial...' - Sahih Bukari 7191
Nimecheka sana, shida yenu hamsomi na hamtaki kusoma, Qur'aan imeshushwa katika lahaja saba huitwa "Sab'ah ahruf (Seven ahruf) ukisoma kwa ndimi hizo zote uko sahihi. Alichokihofia swahaba Hudhaifa ni kwa watu wabaadae wasije kushangaa na kupata gagaiko, ndiyo maana akamshauri swahaba Uthman waandike msahafu ambao umekusanya ndimi zote saba, na katila ndimi hizo saba kunapatikana namna kumi za usomaji na zote zilisomwa zama za mtume na ukisoma kwa namna moja kati ya hizo kumi uko sahihi.3. Uthman analetewa kesi kuwa watu wametunza Quran tofauti na wanatofautiana
Hudhaifa bin Al-Yaman came to `Uthman at the time when the people of Sham and the people of Iraq were Waging war to conquer Arminya and Adharbijan. Hudhaifa was afraid of their (the people of Sham and Iraq) differences in the recitation of the Qur'an, so he said to `Uthman, "O chief of the Believers! Save this nation before they differ about the Book (Qur'an) as Jews and the Christians did before." - Sahih Bukhari 4987
Yaani tofauti zao zilikuwa kubwa kiasi cha kuleta shida kubwa kwa Ummah.
Sasa baada ya kunakili kila kitu, kuna haja gani ya kuwepo mabaki tena ? Hii ni akili ya kawaida tu. Uwe unahoji mambo ya msingi. Kuhoji kwa namna hii ni ishara ya kukosa hoja.4. Uthman akamtuma Zayd ibn Thabit tena pamoja na wengine wakusanye na kutengeneza Quran moja. Material mengine yote akayachoma!
`Uthman then ordered Zaid bin Thabit, `Abdullah bin AzZubair, Sa`id bin Al-As and `AbdurRahman bin Harith bin Hisham to rewrite the manuscripts in perfect copies. `Uthman said to the three Quraishi men, "In case you disagree with Zaid bin Thabit on any point in the Qur'an, then write it in the dialect of Quraish, the Qur'an was revealed in their tongue." They did so, and when they had written many copies, `Uthman returned the original manuscripts to Hafsa. `Uthman sent to every Muslim province one copy of what they had copied, and ordered that all the other Qur'anic materials, whether written in fragmentary manuscripts or whole copies, be burnt. - ibd
Kwanza unaweza kuniambia au kunithibitishia ya kuwa Swahaba Ibn Mas'ud alikuwa na Qur'aan yote ?Ibn Mas'ud." - Tirmidhi 3104
Kwa maelezo haya, yote yakitoka kwenye vitabu vya kiislam: Unadhani Quran sahihi ilikuwa ni ya Ibn Masoud au ya Zayd b Thabit, au zile zilizochomwa moto? Wewe binafsi unadhani ipi ni Quran sahihi?
Kingine mnachokosea siyo Qur'aan ipi, swali unatakiwa uulize hivi kwa usahihi "Unatumia kisomo gani kuisoma Qur'aan". Qur'aan ni moja ila kuna namna kumi za usomaji wa Qur'aan na zote zimepokelewa toka kwa mtume na zote zimedhibitiwa na maana ni moja.Na kwa siku za leo, unatumia Quran ipi, Hafs au Warsh, au zingine?
whatsoeverthingsaretrue.org
Sasa hawa si ndiyo hakuna kitu humu.Kisai kwa sababu umeona nimeandika pumba basi endelea na wenye akili!
Ila wanaojua kusoma na kuelewa wameelewa!
![]()
Uthman Burned The Quran And Abu Bakr Burned The Hadith? Why?
Muslims are told by their Imam’s that the Quran recited today is the same original Quran from the time of Uthman. Is this true according to the Islamic sources, and if not what does that mean…whatsoeverthingsaretrue.org
Naam. Huyo ndiyo Mhammad> kwa huo upofu wake luuono wewe/ leo anwafuasi zaidi ya billion mbili dunia nzima na wanazidi kuongezeka kila siku.MTUME KIPOFU ASIYE JUA HATIMA YAKE WALA YA WAFUASI WAKE.
Sura 46 - Aya 9
قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ ٱلرُّسُلِ وَمَآ أَدْرِى مَا يُفْعَلُ بِى وَلَا بِكُمْۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰٓ إِلَىَّ وَمَآ أَنَا۟ إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. WALA SIJUI NITAKAVYO FANYWA WALA NYINYI. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
Kiislamu: Qurani Tukufu
Kwanza leta ushahidi kwa uyasemayo.Lakini ulishawahi kujiuliza why issa and not Yeshua maana hii ndio tafsiri ya jina jesus in Arabic language (Siri kali[emoji16]). Anyway nikipata wasaa tutajadili vizuri hii kitu
Source:Elimu changa [emoji3]
#Zakuambiwachanganyanazako
Hahahahaha, wewe utakuwa ulikuwa shehena. Unakutana na mashetani wenzako iunajidanganya umekutana na "Yesu". Umjuwe wapi Yesu wewe, unajidanganya tu.Mimi nitakufunza Hadi utauacha huo UPAGANI,
Mimi nilikuwa Sheikh ,Lakini nilipokutana na Yesu nikaachana na UPAGANI(uislamu)