Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Wapi umeona Muhammad kaandika habari za ISSA?
Hivi unajua Muhammad hajawai kumuona isa? na wala hakuwepo kipindi cha Isa na hajawahi kumuona isa na wala hajawahi kuwa mwanafunzi wa isa unajua hilo?
 
Ebu ngoja kwanza unasema haufahamu tarehe rasmi ya kuzaliwa kwa yesu.
Una taka kusema Christmas ni sikukuu ya uongo tena ya kutungwa?
Anza na Maulidi kwanza.
Nioneshe hata katatasi lililo andika kuwa muiadhimishe Maulidi.
Kama Skukuu.
 
Ohhoo.
Muhammad hakuandika Quran Wala hajui kusoma Wala kuandika.
Sasa jiulize Muhammad alijuaje hizo habari za ISSA.
Ungejibu Muhammad katoa wapi habari za isa na kuweka kwenye koran, aliwahi kumuona isa?
 
Luka 1 :26
Inasema mnamo mwezi wa 6 malaika Gabriel alimshukia mwana bikra kwa jina Mary akambashiria kuwa atapata mtoto........
Haya inaendelea.
Sasa kutoka mwezi wa 6 mpaka mwezi wa 12
Je miezi 9 IMETIMIA?
Kwanini msifuate biblia mkaamua kujitungia UONGO?
Anza na Maulidi kwanza.
Nioneshe hata katatasi lililo andika kuwa muiadhimishe Maulidi.
Kama Skukuu.
 
Ewaah.
Muhammad NI mjumbe wa mwenyezi Mungu ambaye ameumba dunia aliyekuwepo na atakayebakia.
Alimpa utume muhammad na akamtuma malaika wake jibril(Gabriel)
Aje kumfundisha Quran Muhammad.
Ndo maana kilipita kipindi kirefu kutoka yesu mpaka muhammad lakini muhammad alijua habari za yesu.
Lakini sio tu habari za yesu muhammad alifundishwa hata habari za kabla ya dunia kuwepo na hata habari za mwisho wa dunia na baada ya dunia.
HUYO NDO MUHAMMAD
Ndio ungejibu Muhammad kazitoa wapi habari za isa
 
Ewaah.
Muhammad NI mjumbe wa mwenyezi Mungu ambaye ameumba dunia aliyekuwepo na atakayebakia.
Alimpa utume muhammad na akamtuma malaika wake jibril(Gabriel)
Aje kumfundisha Quran Muhammad.
Ndo maana kilipita kipindi kirefu kutoka yesu mpaka muhammad lakini muhammad alijua habari za yesu.
Lakini sio tu habari za yesu muhammad alifundishwa hata habari za kabla ya dunia kuwepo na hata habari za mwisho wa dunia na baada ya dunia.
HUYO NDO MUHAMMAD
Sawa nenda na uache hypocrisy, na usirudie tena
 
Wakiwa wanapigwa miti huskia raha ama kero!? Ulitaka tusipige miti!? Ndo mana kwa huruma zenu baadhi yenu hamuoi ama mnawaoa kmj kmj mana miti inaumiza [emoji16]
Kwahiyo Mungu wenu kaz yake ni kujenga mito ya pombe na gesti za kugongana huko mbingun
 
Hapa ndipo kwenye utata.
mitume na manabii mwalimu wao alikuwa jibrili
Huyo roho mtakatifu ni Nani?
kwanini hao waandishi wa injili hawakuwa wanafunzi wa yesu mwenyewe?
Tulitegemea wanafunzi wake yesu ndo wangekuwa waandishi wa injili
Mwalimu wao ni Holy spirit
 
wewe ukifa unakwenda kuingia kwenye pepo ambayo haina mademu.
Sasa si mtaenda kugongana wenyewe kwa wenyewe?
Kwahiyo Mungu wenu kaz yake ni kujenga mito ya pombe na gesti za kugongana huko mbingun
 
Hapa ndipo kwenye utata.
mitume na manabii mwalimu wao alikuwa jibrili
Huyo roho mtakatifu ni Nani?
kwanini hao waandishi wa injili hawakuwa wanafunzi wa yesu mwenyewe?
Tulitegemea wanafunzi wake yesu ndo wangekuwa waandishi wa injili
Hiyo ya jibril ni Imani Yako ya Uislam
Usilete kwenye Imani nyingine Imani yako
 
Hii ni sawa na kuuliza kwa nini yesu atambulika kama yesu ndani ya bibilia.

Yani anatambulika hivyo kwa sababu ndo aliitwa hivyo,hilo sio jina la utani alilopewa na Qurani ni jina halisi ambalo Qurani imenukuu na kutusimulia visa vyake.

Yeye hakua na baba kwa maana Allah alijaalia mariam apate mimba bila ya mume.

Na hiki kitendo cha kuwa hana baba ndio maana akaitwa issa bin maryan.

Bin ni mtoto wa kiume.
Binti ni mtoto wa kike

Kwa hivyo ukiambiwa john bin magufuli hii bin inamhusu aliyetangulia kutajwa na sie anaefuata kutajwa.

Mfano.

Samia bint hassa. Manake unajua binti inamhusu samia kwa maana hapa samia ndio binti mwenyewe.

Hii bin na binti sana ipo katika lugha ya kiarabu ambayo ina utajiri wake wa maneno kama lugha zingine.

Yule ni mtume mkuu kwa mujibu wa Qurani.lakini Qurani haikuishia hapo tu kutambua kwamba ni mtume bali iendelea kuonesha kwamba inatambua kuna watu wanamtukuza kinyume na alivyo.

Mfano ukiangia aya hii..

وإذ قال الله يا عيسى ابن مريم أأنت قلت للناس اتخذوني وأمي إلهين من دون الله قال سبحانك ما يكون لي أن أقول ما ليس لي بحق إن كنت قلته فقد علمته تعلم ما في نفسي ولا أعلم ما في نفسك إنك أنت علام الغيوب [ AL - MAIDA - 116 ] Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.

Hii aya inaelezea future time yaani kana kwamba imefanya time travelling na kujua kitakachotokea siku ya kiama.




Hili ni swala ambalo wanatakiwa wajibu hao watu ambao hawatumii Qurani

Kuwajibia suala kama hili hatutafanya haki.
Yaani hapa kwenye kujua maswali yatakayoulizwa siku ya kiama na majibu yake ndio huwa mnanicha hoi .


Yaani mnajua kabisa MUNGU atauliza swali gani na Issa atajibu hivyo hivyo bila kupindisha ..
Duuh
 
Luka 1 :26
Inasema mnamo mwezi wa 6 malaika Gabriel alimshukia mwana bikra kwa jina Mary akambashiria kuwa atapata mtoto........
Haya inaendelea.
Sasa kutoka mwezi wa 6 mpaka mwezi wa 12
Je miezi 9 IMETIMIA?
Kwanini msifuate biblia mkaamua kujitungia UONGO?
Unajua nyie Mujahidina badala ya kuuliza jambo kwa kutaka kujua mnataka kujionesha mnajua.

Ngoja nikupe somo.

Malaika uliposema Mwezi wa 6 alimtokea Bikira Mariamu hakumaanisha Mwezi Juni.

Bali alimaanisha Mwezi wa Sita toka Elizabeth achukue Mimba ya Yohana Mbatizaji. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hebu soma hapa chini uone somo lilivyo kuwa.

Luka 1:24
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema,

[emoji3516]miezi mitano ya mimba ya Elizabeti kwa mtoto Yohana Mbatizaji

Luka 1:25 Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.

Luka 1:26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,

[emoji3516]mwezi mmoja baadae yaani mwezi wa sita toka Elizabeti achukue mimba ya Yohana Mbatizaji

Hivyo wewe mjingamimi, utabaki na ujinga wako hivyo hivyo kama unajifanya kujua kumbe ni juha.
Waambie na Mujahudina wenzako hapo mwezi wa sita haumaanishi mwezi JUNI [emoji23][emoji23][emoji23]

Yohana Mbatizaji na Yesu Kristo wamepishana miezi mitano, mkubwa ni Yohana.

Tuliwaambieni hao Majini mnaowaamini wanawapotosha msilijue Neno la Mungu hamsikii kabisa.

Tunawapigieni ngoma hamchezi.
 
Sasa huyo Gabriel sisi tunamuita jibril.
Najua unajua uislam na ukristo unavyofanana.
Kama huko Mary huku Mariam.
Gabriel -maana yake ni God is my strength na EL iliyowekwa mwishoni ndo ina maanisha God(Yahweh) ,

Huyo Jibril wenu maana ya jina lake ni nini?
 
Back
Top Bottom