Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Wayahudi ndugu zake Yesu Kristo wametengeneza FILAMU ya maisha ya ndugu yao Yesu Kristo.

Sasa na nyinyi tengenezeni FILAMU ya maisha ya ISA.
Tuone aliishi vipi.
Nendeni MAKA mkajifunze kwa ndugu zake maisha yake.

Yaani mnaongopewa na huyo Mchawi Mtume wa Majini na mmezubaa tu.
Anawatapeli na kuwafanya mlisujudie Jiwe Jeusi la Maka, mmezubaa tu na kukubali.

Haya mtuletee filamu ya maisha ya ISA.
ISA Mkureshi.
Wayahudi wengi hawamtambui Yesu. Kwanini? Kwa sababu hajawahi kuwepo, na kuhusu satanic verses, ni kweli dini zote ni Satanic.
 
True hata Ukisoma vitabu vya dini ya uyahudi agano la kale vimeeleza SAwa na ilivyo kwenye Biblia takatifu.Dini ya Uyahudi hawana vitabu vya Injili, wao hawaamini ktk Kristo. Wanaamini katika mitume na manabii.
Uandishi wa QURAN Ina shaka wao wanasema ilishuka toka juu. Wanazuoni wanauliza ilishuka kama kitabu kizima, hao waandishi walioshukiwa ujumbe utimamu wao upoje kama je waliandika mafundisho sahihi kama walivyopokea au walibadilisha.
Mimi nimepitia kidogo

The Masonic Bible
The Satanic Bible
Mormon Bible.

Vyote hivyo vina Manabii karibu wote wa kwenye Biblia.
Nadhani hata Kitabu cha Budha na Hindu wapo pia.

Kama ilivyo ktk Qurani, ukisoma matendo ya hao Manabii utakuta yanatofautiana sana na Manabii wa kwenye Biblia ya wahahudi na Wakristo.

Huyo Yesu ndio yupo ktk hivyo vitabu vyote tena tofauti na ktk Qurani, ambayo imemwelezea kidogo sana humo Yesu anawafuasi wote kumi na wawili akina Yohana Yuda na wengineo. Full mziki

Labda swali la kujiuliza

Ni kwanini vitabu vyote hivyo viwatumie Manabii wa Biblia ya kwanza kabisa ya Wayahudi ?

Maana hivyo vitabu vingine vimekuja baadae sana baada ya mafundisho ya Musa, Daudi na Yesu Kristo kuandikwa.
 
Hii satanic bible niliisoma juu juu tu,niliishia amri 11 za shetani ngoja nizame niisome yote.Natafuta kitabu cha napoleon na vitabu vingine vya uchawi nisome lengo kuu sio kuwa mshirika nataka nizijue siri za ulimwengu, pili ukimjua adui huwezi muogopa.
 
Inachojulikana kwa ushahidi wa wanazuoni wa kale wanasema uislamu ulianzishwa na mapadre watano walioasi ukatoliki wakipinga suala la kutoruhusiwa kuoa,ndio wao waliondika Quran kwa kuiga Yaliyomo kwenye biblia thus QURAN na Biblia yapo mafundisho yanafanana walichoweka ni kutofautisha kidogo mfano Yesu wakamuita Issa bin Marium,Yona- yunus,Ayubu- yakubu, nk.
Nina maswali kadhaa juu ya hiki ulichokiandika.

1. Unakubaliana na hiki ulichokoandika kama ni kweli na kama nikweli naomba ujibu maswali haya kwa ushihidi ?!

2. Naomba unitajie majina ya mapadri hao watano na utuambie ilikuwa lini ?

3. Naomba ushahidi unao onyesha ya kuwa zama za mtume Biblia ilikuwepo.

4. Hao wanazuoni wa kale ni kina nani naomba unitajie majina yao au kama majina yao huna basi ututajie wapi tunaweza kupata hizi habari, namaanisha jina la kitabu.

Shukrani sana.
 
Ni kwanini vitabu vyote hivyo viwatumie Manabii wa Biblia ya kwanza kabisa ya Wayahudi ?
Biblia ya kwanza ya Mayabudi ndiyo kitabu gani hicho ? Iliandikwa lini kwa mara ya kwanza ?

Naona humu kuna vitu vipya vya kujifunza, ngoja nisome maoni ya wadau.
 
Nina maswali kadhaa juu ya hiki ulichokiandika.

1. Unakubaliana na hiki ulichokoandika kama ni kweli na kama nikweli naomba ujibu maswali haya kwa ushihidi ?!

2. Naomba unitajie majina ya mapadri hao watano na utuambie ilikuwa lini ?

3. Naomba ushahidi unao onyesha ya kuwa zama za mtume Biblia ilikuwepo.

4. Hao wanazuoni wa kale ni kina nani naomba unitajie majina yao au kama majina yao huna basi ututajie wapi tunaweza kupata hizi habari, namaanisha jina la kitabu.

Shukrani sana.

Asante nakuletea source.
2.Labda uelewe kwanza nini maana ya neno Biblia.
Kabla na baada ya Yesu Mitume walikuwepo,ni mitume wa nyakati zipi unataka.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vyote vinavyoeleza kuanzia asili ya ulimwengu na hadi mwisho wa ulimwengu huu.
Biblia imekusanya zaburi, taurati na injili.
 
Hii satanic bible niliisoma juu juu tu,niliishia amri 11 za shetani ngoja nizame niisome yote.Natafuta kitabu cha napoleon na vitabu vingine vya uchawi nisome lengo kuu sio kuwa mshirika nataka nizijue siri za ulimwengu, pili ukimjua adui huwezi muogopa.
Achana navyo Mkuu vitakuletea matatizo makubwa sana.

Ni hivyo tu.
 
Biblia ya kwanza ya Mayabudi ndiyo kitabu gani hicho ? Iliandikwa lini kwa mara ya kwanza ?

Naona humu kuna vitu vipya vya kujifunza, ngoja nisome maoni ya wadau.
Kwani Wayahudi wanatumia Biblia gani ?
Kumbuka Uyahudi ni Dini na sio kabila.
Makabila ya Wana wa Israeli ni haya hapa.

Ufunuo wa Yohana 7:4 Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.

5 Wa kabila ya Yuda kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri. Wa kabila ya Reubeni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Gadi kumi na mbili elfu.
6 Wa kabila ya Asheri kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Naftali kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Manase kumi na mbili elfu.

7 Wa kabila ya Simeoni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Lawi kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Isakari kumi na mbili elfu.

8 Wa kabila ya Zabuloni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Yusufu kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Benyamini kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri.

Yesu Kristo alikuwa Mwisraeli wa Kabila la Yuda.
Ndio maana unasikia watu wanaimba

"Simba wa Yuda anangurumaa"

Labda nikujibu swali lako.

Biblia wanayoitumia Wayahudi imeanza mstari wa kwanza kwa Aya inayosema hivi.

Mwanzo 1:1
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

Iulizie tu utaipata.
 
Asante nakuletea source.
2.Labda uelewe kwanza nini maana ya neno Biblia.
Kabla na baada ya Yesu Mitume walikuwepo,ni mitume wa nyakati zipi unataka.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vyote vinavyoeleza kuanzia asili ya ulimwengu na hadi mwisho wa ulimwengu huu.
Biblia imekusanya zaburi, taurati na injili.
Kwa maelezo yako tunakubaliana kabisa hata Yesu hakuiacha hii Biblia.

Swali la kwanza hujajibu, nasubiri jibu.

Unataka kuniambia kwamba nikiichukua Biblia leo hii nitakutana na Taurati kama ilivyo alivyo pewa nabii Musa ? Nitakutana na Zaburi ile ile aliyo pewa nabuu Dawood kadhalika nitakutana na Injili ile ile aliyo pewa nabii Issa (Yesu) ? Kwanini tunaambiwa kuna "Kumbukumbu la Taurati" jina hili linamaanisha wazi kabisa hakuna Taurati bali kuna masalia ya Taurati. Kadhalika tunaambiwa kuna Injili ya Yohana, ya Matayo, ya Luka na Marko hii inathibitisha ya kuwa wote hao hawakuwa na matini ya vitabu hivyo bali wana zile habari kuhusu vitabu hivyo.

Swali lingine ambalo hujajibu, ni kuwa umesema mapadri walianzisha huu Uislamu, swali langu ni kuwa naomba unitbibitishie tu ya kuwa kipndi cha Mtume wetu Muhammad kulikuwa na hii Biblia.

Shukrani.
 
Sasa mbona maelezo ya Biblia na Quran hayawafananii.Mmoja atarudi ataoa,atazaa,atakuja kuivunja misalaba, atakuja kumfunga dajal,akija ndio dalili ya kiama.Kwingine kunaeleza atokanyaga ardhi ya Dunia ataishia juu mawinguni wateuliwe wake watamfata juu mawinguni kwenda kumlaki.Na tofauti ya masimulizi ya watu hao ni miaka 500 sasa tuamini kipi.
Kumbuka pia maandiko yanasema Yesu atakuja kutawala miaka 1000 hapa duniani baada ya shetani kushindwa vita na kufungwa. Muda ikiisha atafunguliwa. Baada ya hapo ndo itakuja mauti ya pili yaani JEHANUM. Huyo Masih jaddal ndo mpinga Kristo ktk biblia. Issue za kuoa ISSA ni waliongeza wale wapotoshaj
 
Kwani Wayahudi wanatumia Biblia gani ?
Kumbuka Uyahudi ni Dini na sio kabila.
Makabila ya Wana wa Israeli ni haya hapa.
Nalijua hili ya kuwa Uyahudi ni dini. Hili swali nimeuliza nipewe jibu hiyo Biblia ya Mayahudi ni nini ? Sasa unaniuliza tena mimi ?

Nachojua mimi Mayahudi hujinasibu kuwa wanamfata nabii Musa yaani wanafata Taurati, Taurati ambayo wao husema ina vitabu vitano, na wanaamini vitabu hivyo vitani vimeandikwa na nabii Musa kwa Mkono wao, kuna kitabu kinaitwa al-Qadim (Mwanzo), al-Khuruuj (kutoka) vingine nimevisahau. Sasa hii Biblia ya Mayahudi ndiyo ipi ?
Biblia wanayoitumia Wayahudi imeanza mstari wa kwanza kwa Aya inayosema hivi.

Mwanzo 1:1
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

Iulizie tu utaipata.
Hili tunalipata katika ile Taurati waisemayo wao, sasa nakuuliza wewe hili tamko Biblia wenyewe Mayahudi wanalitumia au wewe umeamua kuleta sanaa na kuwafanya wao hawana akili ? Ndiyo maana nikakuuliza swali nikiwa namaanisha haya.
 
Kwani Wayahudi wanatumia Biblia gani ?
Kumbuka Uyahudi ni Dini na sio kabila.
Makabila ya Wana wa Israeli ni haya hapa.

Ufunuo wa Yohana 7:4 Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.

5 Wa kabila ya Yuda kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri. Wa kabila ya Reubeni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Gadi kumi na mbili elfu.
6 Wa kabila ya Asheri kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Naftali kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Manase kumi na mbili elfu.

7 Wa kabila ya Simeoni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Lawi kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Isakari kumi na mbili elfu.

8 Wa kabila ya Zabuloni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Yusufu kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Benyamini kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri.

Yesu Kristo alikuwa Mwisraeli wa Kabila la Yuda.
Ndio maana unasikia watu wanaimba

"Simba wa Yuda anangurumaa"

Labda nikujibu swali lako.

Biblia wanayoitumia Wayahudi imeanza mstari wa kwanza kwa Aya inayosema hivi.

Mwanzo 1:1
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

Iulizie tu utaipata.
Wayahudi hawaamini Injili Wala agano kipya. Wanaamin torati pekee kitabu Cha musa. Waislamu na wakristo na Wayahudi wa Orthodox wanaamin Injili na torati. So uislam na wakristo Imani ni moja. Wayahudi wale wajudaism hawaamini juu ya yasu kuwa ndiye Messiah.
 
Huu ni msiba kwa dini zote kupotosha mafundisho. hata kwenye Ukristo mitume na manabii feki ambao wengi uenda kuzimu kupokea nguvu ya kufanya mazingaombwe makanisani ndio wamekuja na mafundisho ya Mfalme Daudi eti alicheza hadi akabaki uchi huu ni uongo mkubwa kabisa leo wameruhusu miziki na nyimbo za kumtukuza shetani makanisa zikiwemo hadi densi za kupromote ngono densi zisizo na staha kisha Daudi nguo ilimvuka. Inatakiwa waelewe sio kwamba mfalme Daudi alivua nguo Ili abaki uchi ila nguo ilimvuka. Kumvuka na kuvua ni vitu viwili tofauti kabisa. Pia hili la Mungu haangalii mwili bali roho nalo ni fundisho potofu kabisa limeingizwa makanisani na mitume na manabii sadaka ambayo asili yake ni ufreemason,hofu yao kuwaambia waumini wao ukweli juu ya mavazi watakosa sadaka. Leo wanawake wanamavaa uchi makanisani ikiwemo mavazi ya kuwatia watu kwenye dhambi ya uzinzi. Biblia imeeleza kabisa mavazi ya Mkristo yaweje. So upotoshi upo dini zao, wapo wanaolazimisha mambo ya ushirikina kwa kutumia QURAN na Biblia ikiwemo mambo ya mafuta, nk.
Ni Kweli kabisa ndugu. KUZIMU na mapepo wameingia kanisani. Wanawadanganya watu wave hovyo ibadani na kucheza miziki ya kidunia na kuacha wazi vichwa wanawake wakristo. Waislamu wako sawa Kwa mavazi bt mapepo yamewadanganya kuwa majini nayo Eti yaliumbwa yamwabudu Mungu. Bt tunapoekekea wote waislamu na wakristo wataungana kumpinga mpinga Kristo ambaye atakuwa upande wa katoliki na Wayahudi wa Judaism.
 
Kwa maelezo yako tunakubaliana kabisa hata Yesu hakuiacha hii Biblia.

Swali la kwanza hujajibu, nasubiri jibu.

Unataka kuniambia kwamba nikiichukua Biblia leo hii nitakutana na Taurati kama ilivyo alivyo pewa nabii Musa ? Nitakutana na Zaburi ile ile aliyo pewa nabuu Dawood kadhalika nitakutana na Injili ile ile aliyo pewa nabii Issa (Yesu) ? Kwanini tunaambiwa kuna "Kumbukumbu la Taurati" jina hili linamaanisha wazi kabisa hakuna Taurati bali kuna masalia ya Taurati. Kadhalika tunaambiwa kuna Injili ya Yohana, ya Matayo, ya Luka na Marko hii inathibitisha ya kuwa wote hao hawakuwa na matini ya vitabu hivyo bali wana zile habari kuhusu vitabu hivyo.

Swali lingine ambalo hujajibu, ni kuwa umesema mapadri walianzisha huu Uislamu, swali langu ni kuwa naomba unitbibitishie tu ya kuwa kipndi cha Mtume wetu Muhammad kulikuwa na hii Biblia.

Shukrani.
Mtume Muhammad kaikuta biblia miaka 500 kabla yake, ndo maana hata mwandishi wa QURAN alipotosha habari original za Yesu, yeye akamleta Issa bin Marium ambaye afanani kabisa taarifa zake na Yesu Kristo, bali yeye issa bin Marium ndie akamfananishia na Yesu Kristo.
Ukisoma biblia ya shetani, ukisoma masonic bible,vitabu vya dini ya Wayahudi pia. Yaliyomo kwenye vitabu vyao ndio yamekopiwa toka Biblia takatifu tofauti na Quran wao wameweka maandiko yao wakayanasibisha Ili kuleta tofauti. Ni QURAN pekee ndio imepindisha maandiko ya Biblia kwa kuyaweka ionekane tofauti, taurati, injili, zaburi utakuta SAwa na zilizomo kwenye vitabu vya hizo imani zingine. Toa injili kwenye vitabu vya Wayahudi.
Zamani kabla ya maendeleo ya uchapishaji habari zote zilitunzwa kwenye magombo ya miti, au ngozi za wanyama ambazo zilihifadhiwa kwenye masinagogi, uthibisho hata Yesu Kristo alipoingia ktk sinagogi alifungua chuo au gombo la Nabii Isaya na akasoma. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu au magombo yote kuanzia zaburi taurati na injili na kuwekwa katika kitabu kimoja lakini hakumaanishi ya kwamba kumefuta maana ya Yale yaliyoandikwa. Zamani hatukuwa na Biblia au QURAN online sababu haikuwepo technology hio ya mfumo wa internet na smartphone.
 
Kumbuka pia maandiko yanasema Yesu atakuja kutawala miaka 1000 hapa duniani baada ya shetani kushindwa vita na kufungwa. Muda ikiisha atafunguliwa. Baada ya hapo ndo itakuja mauti ya pili yaani JEHANUM. Huyo Masih jaddal ndo mpinga Kristo ktk biblia. Issue za kuoa ISSA ni waliongeza wale wapotoshaj
Mwandishi wa QURAN alipotosha habari za Yesu
 
Kwa habar za Yesu ktk bible na ISSA ktk quraan ziko sawa. Zote zinakiri ISSA na YESU walizaliwa bila biological father na zote zinakiri kuwa YESU au ISSA ndo Masihi yaani mwana wa Mungu. Wale mayahudi walomsulubisha Yesu waliungana na walioanzisha Dola ya Rumi katika Ile vita ya msalaba kuileta uongo kuwa YESU hakufufuka Kwa waislamu Ili wagombane na kuingiza ibada ya sanamu Kwa wakristo Ili wagombane wao Kwa wao. Ili mpinga Kristo awe ndani ya ukristo.
 
Mtume Muhammad kaikuta biblia miaka 500 kabla yake, ndo maana hata mwandishi wa QURAN alipotosha habari original za Yesu, yeye akamleta Issa bin Marium ambaye afanani kabisa taarifa zake na Yesu Kristo, bali yeye issa bin Marium ndie akamfananishia na Yesu Kristo.
Ukisoma biblia ya shetani, ukisoma masonic bible,vitabu vya dini ya Wayahudi pia. Yaliyomo kwenye vitabu vyao ndio yamekopiwa toka Biblia takatifu tofauti na Quran wao wameweka maandiko yao wakayanasibisha Ili kuleta tofauti. Ni QURAN pekee ndio imepindisha maandiko ya Biblia kwa kuyaweka ionekane tofauti, taurati, injili, zaburi utakuta SAwa na zilizomo kwenye vitabu vya hizo imani zingine. Toa injili kwenye vitabu vya Wayahudi.
Zamani kabla ya maendeleo ya uchapishaji habari zote zilitunzwa kwenye magombo ya miti, au ngozi za wanyama ambazo zilihifadhiwa kwenye masinagogi, uthibisho hata Yesu Kristo alipoingia ktk sinagogi alifungua chuo au gombo la Nabii Isaya na akasoma. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu au magombo yote kuanzia zaburi taurati na injili na kuwekwa katika kitabu kimoja lakini hakumaanishi ya kwamba kumefuta maana ya Yale yaliyoandikwa. Zamani hatukuwa na Biblia au QURAN online sababu haikuwepo technology hio ya mfumo wa internet na smartphone.
Hujathibitisha juu ya uwepo wa Biblia zama za Mtume, kadhalika uliyi yaandika yanazua maswali mengine mengi, unatakiwa uje kuyajibu. Maliza kwanza hili la uthibitisho, kisha naomba unitajie huyo muandishi wa Qur'aan alikuwa nani na ilikuwaje skapotosha ?
 
Back
Top Bottom