Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Lakini kwa ushahidi wa Quran tukufu na Biblia takatifu Issa bin sio Yesu Kristo.
Ni watu wawili tofauti kabisa.
Hayo unasema wewe na ni kwa sababu unaamini maelezo ya kumuhusu Yesu kuwa ndio sahihi hivyo kwako wewe Yesu ni yule tu alivyoelezwa kwenye biblia.

Hiyo Qur'an katika kumuelezea Yesu/issa ndio inakanusha madai ya Yesu kusurubiwa na kwamba ni Mungu,ndio maana nasema hayo ni ya kwako ya kusema kwamba Qur'an inamzungumzia mtu mwengine tofauti na Yesu.
 
Tofauti ni hizi.
KUZALIWA
Biblia Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe, Quran Issa kazaliwa chini ya mtende,

USULUBIO
Biblia kama ilivyotabiriwa na Nabii Isaya.Alisurubiwa,akafa,akazikwa akafufuka. QURAN Issa ajasurubiwa.
Yesu alipaa kwenda mbinguni,issa taarifa zake hazijulikani alipofia.

UJAJI
Biblia Yesu atarudi kulichukua kanisa, atabakia mawinguni atokanyaga ardhi sababu Ina laana isipokuwa walio wake watapewa uwezo wa kupaa kumfata juu mawinguni, atakapokuja duniani nzima itamuona.
Quran Issa atakuja kuibomoa misalaba, kumpiga dajal, ataoa atazaa, ujio wa isa ndio dalili za kiama.
Kwa haya machache we uoni hawa ni watu wawili tofauti tena waliokuja kwa nyakati tofauti.
 
Mi nawaonea huruma wanawake tu kwenye ile dini. Maana wanapigwa miti hapa dunian na kule mbingu yao maana kila mwanaume atapewa bikra 72. Ni miti kwa kwenda mbele
 
Hayo unasema wewe na ni kwa sababu unaamini maelezo ya kumuhusu Yesu kuwa ndio sahihi hivyo kwako wewe Yesu ni yule tu alivyoelezwa kwenye biblia.

Hiyo Qur'an katika kumuelezea Yesu/issa ndio inakanusha madai ya Yesu kusurubiwa na kwamba ni Mungu,ndio maana nasema hayo ni ya kwako ya kusema kwamba Qur'an inamzungumzia mtu mwengine tofauti na Yesu.
Ila Koran inasema Isa alisulubiwa , ila kuna mchongo wa udanganyifu ulifanywa na Allah
 
Tofauti ni hizi.
KUZALIWA
Biblia Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe, Quran Issa kazaliwa chini ya mtende,

USULUBIO
Biblia kama ilivyotabiriwa na Nabii Isaya.Alisurubiwa,akafa,akazikwa akafufuka. QURAN Issa ajasurubiwa.
Yesu alipaa kwenda mbinguni,issa taarifa zake hazijulikani alipofia.

UJAJI
Biblia Yesu atarudi kulichukua kanisa, atabakia mawinguni atokanyaga ardhi sababu Ina laana isipokuwa walio wake watapewa uwezo wa kupaa kumfata juu mawinguni, atakapokuja duniani nzima itamuona.
Quran Issa atakuja kuibomoa misalaba, kumpiga dajal, ataoa atazaa, ujio wa isa ndio dalili za kiama.
Kwa haya machache we uoni hawa ni watu wawili tofauti tena waliokuja kwa nyakati tofauti.
Ndio maana nimekwambia kuwa wewe unaamini kilichoelezwa na biblia kuhusu Yesu ndio sahihi na ulitaka Qur'an imuelezee huyo Issa sawa na biblia ilivyomueleza Yesu ili ndio ukubali kwamba Issa ndio huyo huyo Yesu.

Tatizo lako ni dogo tu ni kwamba unaamini Yesu ni yule tu aliyeelezwa na biblia, ndio maana unasema aliyeelezwa kwenye Qur'an si Yesu kwa sababu kuna mambo yameelezwa tofauti japo ipo wazi kwamba anayekusudiwa ndio huyo huyo mmoja.
 
Isa alikuwa wa taifa gani?
 
Isa aliyeelezwa kwenye Qur'an ndio aliyekusudiwa kwenye Biblia kwa maana Isa ndio Yesu.

Hiyo ndio hoja kwanza.
Hapana Isa sio Yesu , Ipo wazi kabisa
Isa anajua vizuri muhammad kamtoa wapi,
 
Tofauti ni hizi.
KUZALIWA
Biblia Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe, Quran Issa kazaliwa chini ya mtende,

USULUBIO
Biblia kama ilivyotabiriwa na Nabii Isaya.Alisurubiwa,akafa,akazikwa akafufuka. QURAN Issa ajasurubiwa.
Yesu alipaa kwenda mbinguni,issa taarifa zake hazijulikani alipofia.

UJAJI
Biblia Yesu atarudi kulichukua kanisa, atabakia mawinguni atokanyaga ardhi sababu Ina laana isipokuwa walio wake watapewa uwezo wa kupaa kumfata juu mawinguni, atakapokuja duniani nzima itamuona.
Quran Issa atakuja kuibomoa misalaba, kumpiga dajal, ataoa atazaa, ujio wa isa ndio dalili za kiama.
Kwa haya machache we uoni hawa ni watu wawili tofauti tena waliokuja kwa nyakati tofauti.
Uko sahihi ndugu.

Yesu Kristo hakuongelea hayo maswala ya kuja kuoa anaongea
hivi.

Yohana 14:2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.

3 Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.

Yohana 6:40
Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.

Yesu atakuja siku ya mwisho.
Kufanya kama anavyo ahidi mwenyewe hapo juu.
Na alisema hayo kabla ya kuzaliwa Muhamadi, kabla ya kuandikwa Qurani na kabla ya kuwepo kwa Uislamu duniani.

{ Je hizo ndizo ahadi za Isa pia ?
Je isa ana Baba kama Yesu ? }

Kama mmeambiwa Isa ndiye Yesu ni wazi mmeongopewa na wala hamtaki kujiuliza ni kwa nini mnaendelea kuongopewa.
 
Tofauti ni hizi.
KUZALIWA
Biblia Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe, Quran Issa kazaliwa chini ya mtende,

USULUBIO
Biblia kama ilivyotabiriwa na Nabii Isaya.Alisurubiwa,akafa,akazikwa akafufuka. QURAN Issa ajasurubiwa.
Yesu alipaa kwenda mbinguni,issa taarifa zake hazijulikani alipofia.

UJAJI
Biblia Yesu atarudi kulichukua kanisa, atabakia mawinguni atokanyaga ardhi sababu Ina laana isipokuwa walio wake watapewa uwezo wa kupaa kumfata juu mawinguni, atakapokuja duniani nzima itamuona.
Quran Issa atakuja kuibomoa misalaba, kumpiga dajal, ataoa atazaa, ujio wa isa ndio dalili za kiama.
Kwa haya machache we uoni hawa ni watu wawili tofauti tena waliokuja kwa nyakati tofauti.
Kuzaliwa

Kwanza biblia haijasema kuwa Yesu kazaliwa katika zizi la ng'ombe hayo maneno sijui mnayatoa wapi.
 
Isa alikuwa wa taifa gani?
ISSA ndio YESU. Ni Mungu aliyekuja ktk mwili Ili awapeleke ktk uzima wa milele wote WAMWAMINIO. Vitabu vyote vinaeleza pia kuwa ALIKUFA na AKAFUFUKA. Vitabu vyote pia vinathibitisha ndiye atakayekuja KUUHUKUMU ulimwengu juu ya dhambi. Hivyo wote wanatakiwa WAMWAMINI Ili wawe salama, namaanisha Wapagani, wakristo, waislamu, wabudha, wasabato nk. Wakatoliki nk. USIPOMWAMINI YESU moto wa JEHANUM unakuhusu wewe mkristo, muislamu, mpagani mkatoliki nk
 
Kuzaliwa

Kwanza biblia haijasema kuwa Yesu kazaliwa katika zizi la ng'ombe hayo maneno sijui mnayatoa wapi.

Screenshot_20220509_132605.jpg

Screenshot_20220509_132605.jpg

Screenshot_20220509_132521.jpg
 
Back
Top Bottom