Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Hujathibitisha juu ya uwepo wa Biblia zama za Mtume, kadhalika uliyi yaandika yanazua maswali mengine mengi, unatakiwa uje kuyajibu. Maliza kwanza hili la uthibitisho, kisha naomba unitajie huyo muandishi wa Qur'aan alikuwa nani na ilikuwaje skapotosha ?
Sasa walitumia nini kama haikuwepo biblia agano la kale limekuwepo tangu zama za mitume
 
Kijana unaniuliza tena mimi ? Walitumia mabaki ya vitabu yakiwa peke yake, yaani Taurati kivyake, Injili kivyake. Ndiyo maana nataka unipe ushahidi wewe kwamba Biblia ilikuwepo.

Ukiwaangalia tu Mayahudi wenyewe wakiongelea Taurati wanamaanisha imejumuisha vitabu Vitano, kwa ujumla wanasema Taurati. Sasa hili tamko la Biblia kwanza si tamko la lugha ya kiebrania ni tamko la Kigiriki kwa asili na Kilatini kadhalika, kwa maana ya Kitabu kwa umoja au vitabu.

Tukisema ni Biblia ya Kiyahudi, maana yake ni kitabu cha Kiyahudi na wao wana vitabu vyao.
 
Nalijua hili ya kuwa Uyahudi ni dini. Hili swali nimeuliza nipewe jibu hiyo Biblia ya Mayahudi ni nini ? Sasa unaniuliza tena mimi ?

Nachojua mimi Mayahudi hujinasibu kuwa wanamfata nabii Musa yaani wanafata Taurati, Taurati ambayo wao husema ina vitabu vitano, na wanaamini vitabu hivyo vitani vimeandikwa na nabii Musa kwa Mkono wao, kuna kitabu kinaitwa al-Qadim (Mwanzo), al-Khuruuj (kutoka) vingine nimevisahau. Sasa hii Biblia ya Mayahudi ndiyo ipi ?

Hili tunalipata katika ile Taurati waisemayo wao, sasa nakuuliza wewe hili tamko Biblia wenyewe Mayahudi wanalitumia au wewe umeamua kuleta sanaa na kuwafanya wao hawana akili ? Ndiyo maana nikakuuliza swali nikiwa namaanisha haya.
Mi wapi nimesema Biblia wenyewe ni Wayahudi tu ?
Hebu unaposoma mada ya mtu tulia akili kidogo
Biblia hata Free Mason wana Biblia vilevile.
Tuliza kichwa
 
Wayahudi hawaamini Injili Wala agano kipya. Wanaamin torati pekee kitabu Cha musa. Waislamu na wakristo na Wayahudi wa Orthodox wanaamin Injili na torati. So uislam na wakristo Imani ni moja. Wayahudi wale wajudaism hawaamini juu ya yasu kuwa ndiye Messiah.
Vipi kuhusu Zaburi Wayahudi hawaiamini ?
Ukiunganisha Torati , Zaburi na vitabu vya Manabii kama Isaya si tayari inakuwa Biblia.

Hebu tuliza akili unaposoma mada za watu.
 
Kwa habar za Yesu ktk bible na ISSA ktk quraan ziko sawa. Zote zinakiri ISSA na YESU walizaliwa bila biological father na zote zinakiri kuwa YESU au ISSA ndo Masihi yaani mwana wa Mungu. Wale mayahudi walomsulubisha Yesu waliungana na walioanzisha Dola ya Rumi katika Ile vita ya msalaba kuileta uongo kuwa YESU hakufufuka Kwa waislamu Ili wagombane na kuingiza ibada ya sanamu Kwa wakristo Ili wagombane wao Kwa wao. Ili mpinga Kristo awe ndani ya ukristo.
Hebu tuwekee hapa Injiri ya Yesu ambayo ipo kwenye Qurani.

Maana Injiri ndio imebeba habari za Yesu.
Hebu tuwekee hiyo Injiri ya Qurani tuione hapa.
Japo sura moja tu.
 
Kijana unaniuliza tena mimi ? Walitumia mabaki ya vitabu yakiwa peke yake, yaani Taurati kivyake, Injili kivyake. Ndiyo maana nataka unipe ushahidi wewe kwamba Biblia ilikuwepo.

Ukiwaangalia tu Mayahudi wenyewe wakiongelea Taurati wanamaanisha imejumuisha vitabu Vitano, kwa ujumla wanasema Taurati. Sasa hili tamko la Biblia kwanza si tamko la lugha ya kiebrania ni tamko la Kigiriki kwa asili na Kilatini kadhalika, kwa maana ya Kitabu kwa umoja au vitabu.

Tukisema ni Biblia ya Kiyahudi, maana yake ni kitabu cha Kiyahudi na wao wana vitabu vyao.
Kwann biblia imebeba nini si ni jumla ya hivyo vitano tofauti tofauti na kuviweka pamoja.Hivi kwa ulimwengu wa Sasa tungeweza kutumia magombo?
Maana hata QURAN mwanzoni haikuwa imechapiswa kama kitabu, watu walikuwa wakihifadhi kichwani kama ilivyo agano la karne kabla ya hata magombo
 
Fafanuzi.
Baada ya wazazi wake kukosa mahali pa kulala nyumba zote za mji wa bethlehem zikiwa zimejaa hata nafasi isipatikane kwa wageni sababu ilikuwa wakati wa sensa nyumba zilikuwa zimejaa wageni toka miji mingine,nae uchungu ukampata hata asipate mahali,Yusuf mumewe akaomba hata zizi la kulaza ng'ombe.
Si vibaya tukaweka na vifungu vya biblia.
 
Mi wapi nimesema Biblia wenyewe ni Wayahudi tu ?
Hebu unaposoma mada ya mtu tulia akili kidogo
Biblia hata Free Mason wana Biblia vilevile.
Tuliza kichwa
Sasa utulize akili, sijasema wewe ndiyo umeniuliza. Nimesema nimeuliza hilo swali, sababu kuna mtu amesema hayo.
 
Kwann biblia imebeba nini si ni jumla ya hivyo vitano tofauti tofauti na kuviweka pamoja.Hivi kwa ulimwengu wa Sasa tungeweza kutumia magombo?
Maana hata QURAN mwanzoni haikuwa imechapiswa kama kitabu, watu walikuwa wakihifadhi kichwani kama ilivyo agano la karne kabla ya hata magombo
Kijana swali langu jepesi sana na liko wazi. Nimeomba nipewe ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume wetu, iwe kama kitabu pweke au vingi, ukisoma Biblia yenu ambayo tamko hilo limekuwa maalumu kwa kitabu chenu ni kuwa halina hata kitabu kimoja cha asili kama kilivyo kuanzia Taurati, Zaburi mpaka Injilo ya nabii Issa.

Qur'aan ilikusanywa na kuwekwa katika nakala kama ilivyo, tofauti na vitabu vyenu vyote mmekuja kukusanya masalia na uchafu mwingi ambao manabii hawakufundisha mafundisho hayo kama vile utatu mtakatifu, uungu wa nabii Issa (Yesu) na mfano wa hayo.

Bado una deni toka kwangu kwa yale uliyo yasema huko juu kwamba Uislamu umeanzishwa na mapadri au ukatoliki, nasubiri ushahidi wa hili, kadhalika uthibitisho ya kuwa kipindi cha Mtume wetu Muhammad ilikuwepo Biblia.

Shukrani.
 
Isa alizaliwa chini ya mti wa Mtende kutokana na maelezo ya kitabu cha Qurani.

Kisa kinasimulia kuwa siku moja Malaika alienda kwa Mariam kumtabiria kwamba atapata mtoto.

Malaika alimkabidhi mimba hiyo muda huohuo wakati anaongea na Mariam.

Muda huo huo Mariam akapatwa na uchungu wa kujifungua mtoto Isa chini ya mti wa Mtende.

Muda huo huo mtoto Isa alianza kuongea.

Huyo ndio Isa.

Hayo ndio maajabu ya kitabu cha Qurani.
Wenyewe wanaona ni jambo la kawaida tu
 
Umenipa wapi andika kabisa ni andiko fulani wengine sio wataalamu wa biblia.

Screenshot_20220509_132605.jpg

Screenshot_20220509_132521.jpg
 
Kijana swali langu jepesi sana na liko wazi. Nimeomba nipewe ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume wetu, iwe kama kitabu pweke au vingi, ukisoma Biblia yenu ambayo tamko hilo limekuwa maalumu kwa kitabu chenu ni kuwa halina hata kitabu kimoja cha asili kama kilivyo kuanzia Taurati, Zaburi mpaka Injilo ya nabii Issa.

Qur'aan ilikusanywa na kuwekwa katika nakala kama ilivyo, tofauti na vitabu vyenu vyote mmekuja kukusanya masalia na uchafu mwingi ambao manabii hawakufundisha mafundisho hayo kama vile utatu mtakatifu, uungu wa nabii Issa (Yesu) na mfano wa hayo.

Bado una deni toka kwangu kwa yale uliyo yasema huko juu kwamba Uislamu umeanzishwa na mapadri au ukatoliki, nasubiri ushahidi wa hili, kadhalika uthibitisho ya kuwa kipindi cha Mtume wetu Muhammad ilikuwepo Biblia.

Shukrani.
Kusema biblia haikuwepo kabla ni kichekesho ndugu sasa hao waumini wa Mwanzo walitumia mafundisho gani,sanduku la agano lilibeba nini,
Hata Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada na akasoma biblia.Biblia inakamilikaje sasa bila vitabu vya agano la kale.
Kwani nini maana ya biblia, nimekuelewesha Sana ndugu labda kama unayo majibu yako.
 
Sijui hujaelewa wapi kijana ? Hapa nataka ushahidi usilete maneno matupu.

Hao walikuwa wanatumia mabaki katika vitabu vya kale yaani Taurati, Zaburi na Injili, mpaka yupo swahaba wa Mtume alionekana ameshika kipande cha karatasi cha Taurati.

Mimi nataka unipe ushahidi, kama mlizoea au mmezoea kusikia tu maneno bila kufanya utafiti, hapa itajulikana.
 
Swali lako ni nini hasa mbona unaonekana unaelezwa kitu usicho kielewa.
 
Hebu tuwekee hapa Injiri ya Yesu ambayo ipo kwenye Qurani.

Maana Injiri ndio imebeba habari za Yesu.
Hebu tuwekee hiyo Injiri ya Qurani tuione hapa.
Japo sura moja tu.
Asomaye na agahamu, Anza na surat 3:45, pia ingia You tube, andika Nabii Ilyas ameeleza Kwa undani sana mambo muhimu yaliyopotoshwa ktk quraan yanayohusu ISSA kama Masihi. Fuatilia Kwa makini utagundua mkristo na muislamu ni Imani moja na ni ndugu. Maadui wa ukristo ni papa na Roma na Wayahudi wasioamini habar za Yesu na mapepo yaliyoingiza ibada ya sanamu kanisani na kumuinua Mary aabudiwe na wakati Yeye mwenyewe alimwamini Yesu kama Masihi
 
Biblia ni ya kwenu
Watu wa zamani walikuwa na vitabu vitatu tu.
Taurati ya Musa
Zaburi ya daudi
Na injili ya yesu.
haya hyo biblia mmeitoa wapi?
Kusema biblia haikuwepo kabla ni kichekesho ndugu sasa hao waumini wa Mwanzo walitumia mafundisho gani,sanduku la agano lilibeba nini,
Hata Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada na akasoma biblia.Biblia inakamilikaje sasa bila vitabu vya agano la kale.
Kwani nini maana ya biblia, nimekuelewesha Sana ndugu labda kama unayo majibu yako.
 
Malaika anamtokea Mariamu, muda huohuo anamkabidhi Mimba.
Mariam anasikia uchungu hapo hapo na anaenda kujifungua.

Isa ananza kuongea walipomwuliza Mariam wapi kamtoa mtoto muda siku hiyo hiyo alipomaliza kujifungua mtoto Isa.

Hii sio tabia ya Binadamu.
Labda ya Majini.
Isa alikuwa miongoni mwa Majini labda.
 
Ingia you tube andika Nabii Ilyas na fuatilia video hizo. Ukitaka kuelewa zaidi pokea pia maoni ya wengine. Anza na surat 3:45
 
Back
Top Bottom