Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Asomaye na agahamu, Anza na surat 3:45, pia ingia You tube, andika Nabii Ilyas ameeleza Kwa undani sana mambo muhimu yaliyopotoshwa ktk quraan yanayohusu ISSA kama Masihi. Fuatilia Kwa makini utagundua mkristo na muislamu ni Imani moja na ni ndugu. Maadui wa ukristo ni papa na Roma na Wayahudi wasioamini habar za Yesu na mapepo yaliyoingiza ibada ya sanamu kanisani na kumuinua Mary aabudiwe na wakati Yeye mwenyewe alimwamini Yesu kama Masihi
Nukuu iweke hapo hiyo Injiri ya Isa iliyoko kwenye Qurani.
Mi sisomagi vitabu wanavyoshea Binadamu na Majini.
 
Malaika anamtokea Mariamu, muda huohuo anamkabidhi Mimba.
Mariam anasikia uchungu hapo hapo na anaenda kujifungua.

Isa ananza kuongea walipomwuliza Mariam wapi kamtoa mtoto muda siku hiyo hiyo alipomaliza kujifungua mtoto Isa.

Hii sio tabia ya Binadamu.
Labda ya Majini.
Isa alikuwa miongoni mwa Majini labda.
 
Nukuu iweke hapo hiyo Injiri ya Isa iliyoko kwenye Qurani.
Mi sisomagi vitabu wanavyoshea Binadamu na Majini.
Usiogope majini ndugu, mbona Mimi ni mkristo lakini nimefuatilia. Ukitaka kujua Kweli tafiti. Amwaminiye Yesu kwelkwel anaogopwa na majini,mapepo even shetani mwenyewe. Ndio utashambuliwa bt hawatakushinda. Mimi mapepo yaliyopo Facebook na YouTube yamekuwa yakinitumia video chafu kama mtego, ukiangalia tu unapunguzwa nguvu ya Imani Yako.
 
Ebu toa aya.
Issa alizaliwa hapo hapo baada ya mimba yake kutungwa?
Malaika anamtokea Mariamu, muda huohuo anamkabidhi Mimba.
Mariam anasikia uchungu hapo hapo na anaenda kujifungua.

Isa ananza kuongea walipomwuliza Mariam wapi kamtoa mtoto muda siku hiyo hiyo alipomaliza kujifungua mtoto Isa.

Hii sio tabia ya Binadamu.
Labda ya Majini.
Isa alikuwa miongoni mwa Majini labda.
 
Usiogope majini ndugu, mbona Mimi ni mkristo lakini nimefuatilia. Ukitaka kujua Kweli tafiti. Amwaminiye Yesu kwelkwel anaogopwa na majini,mapepo even shetani mwenyewe. Ndio utashambuliwa bt hawatakushinda. Mimi mapepo yaliyopo Facebook na YouTube yamekuwa yakinitumia video chafu kama mtego, ukiangalia tu unapunguzwa nguvu ya Imani Yako.
Wapi mimi nimesema naogopa Majini. ?
Majini ni roho chafu binafsi mimi sitaki kujihusisha nazo.
Hakuna urafiki kati ya Mkristo na Majini.

Katika Biblia Yesu amesema Mapepo ni adui zetu.
Mungu kupitia Manabii pia ilikataza shirika na Majini.

Ukitaka Urafiki na Majini Silimu uwe Mwislamu.
 
Biblia ni ya kwenu
Watu wa zamani walikuwa na vitabu vitatu tu.
Taurati ya Musa
Zaburi ya daudi
Na injili ya yesu.
haya hyo biblia mmeitoa wapi?
Kwani nini maana ya biblia,kitu kikikusanywa pamoja sababu ya maendeleo ya technology ya uchapishaji kinabadili Yaliyomo.Ungesema hivyo vitabu vitatu havipo kwenye biblia hapo ungeeleweka.
 
Biblia kashushiwa mtume gani?
Kwani nini maana ya biblia,kitu kikikusanywa pamoja sababu ya maendeleo ya technology ya uchapishaji kinabadili Yaliyomo.Ungesema hivyo vitabu vitatu havipo kwenye biblia hapo ungeeleweka.
 
Malaika anamtokea Mariamu, muda huohuo anamkabidhi Mimba.
Mariam anasikia uchungu hapo hapo na anaenda kujifungua.

Isa ananza kuongea walipomwuliza Mariam wapi kamtoa mtoto muda siku hiyo hiyo alipomaliza kujifungua mtoto Isa.

Hii sio tabia ya Binadamu.
Labda ya Majini.
Isa alikuwa miongoni mwa Majini labda.
Si Kweli ndugu, Malaika Gabriel alileta ujumbe, Mariam alisikia na kuamini, muda ulipita baadae ndo yusuphu alipomkaribia mchumba wake akashtuka kumuonya ana mimba. Muda ulipita. Na mimba hiyo ilitimiza miezi ya kibinadamu. Ushangae jambo Hilo dogo. Katika Kila watu Sita kati ya kumi Kwa wastani, 4kati ya kumi ndo binadamu kamili. 6 Kati ya kumi ni nusu mtu nusu PEPO. Tumesoma nao, wanaona kama kawaida, wengine unafanya nao KAZI bila kuwajua.
 
Wapi mimi nimesema naogopa Majini. ?
Majini ni roho chafu binafsi mimi sitaki kujihusisha nazo.
Hakuna urafiki kati ya Mkristo na Majini.

Katika Biblia Yesu amesema Mapepo ni adui zetu.
Mungu kupitia Manabii pia ilikataza shirika na Majini.

Ukitaka Urafiki na Majini Silimu uwe Mwislamu.
Unatakiwa umjue adui Yako na anafanyaje KAZI, usipojua ni ngumu kupambana nae. Roho mtakatifu akiwa ndani yako ni KAZI yake kukufundisha.
 
Biblia kashushiwa mtume gani?
Usitake kutafsiri biblia ifanane na ilivyokuja vitabu vingine ambavyo hata UJAJI wake tu bado ni shaka kama ni maneno ya Mwenyezi Mungu au maneno ya wanadamu.
Mitume walitumia biblia maana ndio ilikuwa ni muongozo wa mafundisho ya imani.
 
Kaka Musa alipewa taurati inajulikana
Daudi alipewa zaburi inajulikana
Yesu alipewa injili inajulikana.
Hyo biblia kashushiwa mtume gani!?
Huo mkusanyiko wa vitabu mnavyosema vimeunda biblia kautengeneza Nani?

Kwani Yaliyomo kwenye biblia ni tofauti na Yaliyomo kwenye zaburi taurati na injili?.
Au biblia au QURAN ya kitabuni ni tofauti na zile zilizomo online?
 
Issa alitimiza miezi 9.
Kama watoto wengine.
Kwani unataka kusema yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12?
Wacha kujitoa ufahamu sema ukweli kuzaliwa kwa Isa hakukuwa kwa kawaida soma hapa.

19:19 - (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika

19:20 - Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?

19:21 - (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.

19:22 - Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
[emoji3516]maria anachukua mimba yake hapo hapo na kuondoka nayo[emoji849]

19:23 - Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
[emoji3516]anasikia uchungu

19:24 - Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
[emoji3516]sauti inatoka chini na sio juu Mbingu (kuna jambo hapo)

19:25 - Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.

19:26 - Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.

19:27 - Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
[emoji3516]maria kesha jifungua Isa ndugu wanastaajabu.( wanasema Maria kawaletea kitu cha ajabu, hivi mtoto ni kitu cha ajabu? kuna jambo hapo)

19:28 - Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
[emoji3516]dada wa Haruni anaulizwa

19:29 - Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi
[emoji3516]ndugu wanashangaa mtoto mchanga ataongea vipi ?

19:30 - (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii.
[emoji3516]Kichanga isa kinaongea

Huko ndio kuzaliwa kwa Isa.
Ni mauzauza matupu.

Acheni kuongopa nyie

Yesu Kristo hakuzaliwa kimagumashi namna hii.
 
tunajua agano la kale ndo Lina taurati na zaburi.
Hapo kwenye injili ya yesu na agano jipya ndipo utata unapokuja.
Injili ya yesu IPO wapi?
Luka,matayo na wenzao Wana husika vipi na maneno ya yesu?
Kwani Yaliyomo kwenye biblia ni tofauti na Yaliyomo kwenye zaburi taurati na injili?.
Au biblia au QURAN ya kitabuni ni tofauti na zile zilizomo online?
 
Back
Top Bottom