The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Mkuu Nzoka,

Logically una point nzirto sana, lakini katika political realistic za bongo uko mbali sana na ukweli, halafu wewe na wenzio mnashindwa kutoa legal au political explaination of why Chenge, alijuzulu baada tu ya kutangazwa na wazungu kuwa anazo hizo hela, mimi nilifikiri kwake ni a home run case kutueleza how amepata hizo hela, badala ya kukimbia uongozi wa taifa kwa sababu ya maneno ya wazungu tu? Tena walioko Ulaya?

Hivi kweli mkuu unajua na thamani ya hizi nyumba zake mbili pale kwenye kona?

Kujiuzulu kwa Chenge, kujiuzulu kwa Balali, kujiuzulu kwa Lowassa.......very smart moves. Inaonekana wamekomaa kiakili. Wamejizulu ili kama kuna kesi basi wafuateni. If you dont see the pattern then I feel sorry for you.
 
Alijibu hapohapo alipoulizwa,hakujikanyaga kwa kusema ni vijisenti

Mbona baada ya kustaafu Nyerere alikuwa analima mahindi na kuuza,hata ITV sikumoja walimtembelea kwenye shamba lake.Ingekuwa wazungu wanamchukia hivyo basi hata ile South Center ambayo makao yake ni Geneva asingepewa...au umesahau yeye alikuwa Chairman wake mpaka alipofariki.
?

Sumaye hana,walisema ana shamba Kibaigwa,wakati huo ikawa ni mzinga wa skendo!Na anakaa hukohuko,kila siku tunabanana nae kwenye foleni kimara.Sumaye hana bilioni baba,upende usipende

well then,he obviously didnt see it as u did...he made the right moves alright,he just left minor details,like do not leave important iformation lying around at ur home.

Mzee,la huyu halina justification,na kama zipo anasubiri nini kusema? Kama pesa alipata kihalali kwa nini account zake ziwe ceased,tena while still minister.Sasa wewe unasema ni kichwa sana,kichwa gani hicho kinabambwa kiurahisi hivyo! Walishazoea maaskari wa bongo,kuwa watawakatia mpango kidogo mchezo unaisha....sasa hawa SFO,dah!

POLENI!

Psss, the onus is on YOU to PROVE he Stole!! He doesnt have to come to you and tell you......ooh this is how I earned my money!
Kuhusu Sumaye mmh. Haya.
 
Huu uvumi ni mkubwa sana na Chenge lazima ajue kwama kachukiwa mno .Mafisadi nadhani sasa wanaweza kuona madhara ya wizi na unyakuaji .Ni hatari kubwa wajifunze .Atachukia lakini ukweli uko pale pale kwamba watu they wish him death .
If wishes were horses we would all be riding. Keep on wishing lakini nyie sio mungu na kifo ni ahadi hata wewe utakufa hata kama si fisadi kwani wote twafa siku ikifika.
 
Psss, the onus is on YOU to PROVE he Stole!! He doesnt have to come to you and tell you......ooh this is how I earned my money!
Kuhusu Sumaye mmh. Haya.

Thats it? Duh!
 
Kithuku.. si umemsikia leo ndivyo alivyokuwa anajibu watu akitaka sauti yake isikike tu.. nilijaribu kumpress kwa issue nyingine akachomoa...

Hivi alitaka sauti yake isikike au ni wewe ulimpigia simu kutaka kujua ukweli hebu tuambie ndugu,
 
Psss, the onus is on YOU to PROVE he Stole!! He doesnt have to come to you and tell you......ooh this is how I earned my money!
Kuhusu Sumaye mmh. Haya.

well said but that's something that some people apparently find hard to grasp
 
Kujiuzulu kwa Chenge, kujiuzulu kwa Balali, kujiuzulu kwa Lowassa.......very smart moves. Inaonekana wamekomaa kiakili. Wamejizulu ili kama kuna kesi basi wafuateni. If you dont see the pattern then I feel sorry for you.

Mkuu haya unayosema hayajibu swali la msingi na hoja ya utetezi wako na hela za Chenge, isipokuwa unajaribu kukwepa responsibilities kwamba ni shauri yetu, no mkuu hili la kuibiwa ni shauri letu wote wananchi wa Tanzania, na ni wajibu wetu wote kujaribu kujua ukweli wa kodi zetu na mali za viongozi wetu,

Sasa kama the ishu ni wafuateni, basi sasa ni wakati wa kufunga JF maana what are we doing here bro? Ni wewe uliyeanzisha hii topic hivi kweli mkuu what did you expect? Hayo uliyoyatoa hapo juu sio majibu yenye logic hata kidogo kwa sababu unajaribu tu kukwepa responsibilities zako kama mwananchi wa Tanzania, lakini ukweli uko pale pale kuwa Chenge amejiuzlu kwa kukosa maelezo ya hela alivyozipata, nothing personal wala anything!

Serikali yetu ipo, inaendelea na haijafilisika na mahakama bado zipo, pole pole siku itafika wala hatuna haraka nao mkuu! Maana tumetoka nao mbali sana!
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!!

Baada ya kukaa na kutafakari, na kuangalia kisomo cha Chenge, na kwavile kapitia Havard Law school, na pia amekuwa kama State Attorney kwa zaidi ya miaka 30, basi naona kwa kweli kutengeneza hivyo vijisenti ni kitu kidogo sana kwake.

All he needs to have done is a number of consulting jobs or presentations either at Havard itself or other institutions in different parts of the world. For him to be a State Attorney for that long, he has a wealth of information to share to the world.
Clinton analipwa kama £75,000 per lecture. Cherie Blair £30,000. As far as I am concerned someone like Chenge would have been highly regarded due to his position and his education. Even if he got paid £5,000 per lecture, calculate that maybe 5 to 10 lectures/presentation per year, over a stretch of 20years, plus smart investment in property (say UK).

On this logic (and this logic only) I am not surprised he could have that couple million 'vijisenti' in Jersey.

Absurdity and stupidity of the highest degree.
 
Tunasubiri kwenye magazeti mengine tuone "kwa mujibu wa KLH News" (that is if they will even acknowledge) wakati si tushapata zamani, lol!
 
nilimpigia simu, na kama asingetaka sauti yake isikike asingejibu. Duh?

Kwanini asijibu ili uendeleze uvumi kuwa kafa ndio maana hajibu. Huwa hamjui mtakalo ndio shida ya wabongo. Sasa baada ya kusikia sauti yake umejua yu hai au bado una wasi wasi
 
Nimesoma thread hii kuanzia ukurasa wa kwanza nikivutiwa muda wote na jinsi Mwafrika wa kike anavyomchamngamsha huyu anayejiita zeenam. Burudani safi, asante mama!
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!!

Baada ya kukaa na kutafakari, na kuangalia kisomo cha Chenge, na kwavile kapitia Havard Law school, na pia amekuwa kama State Attorney kwa zaidi ya miaka 30, basi naona kwa kweli kutengeneza hivyo vijisenti ni kitu kidogo sana kwake.

All he needs to have done is a number of consulting jobs or presentations either at Havard itself or other institutions in different parts of the world. For him to be a State Attorney for that long, he has a wealth of information to share to the world.
Clinton analipwa kama £75,000 per lecture. Cherie Blair £30,000. As far as I am concerned someone like Chenge would have been highly regarded due to his position and his education. Even if he got paid £5,000 per lecture, calculate that maybe 5 to 10 lectures/presentation per year, over a stretch of 20years, plus smart investment in property (say UK).

On this logic (and this logic only) I am not surprised he could have that couple million 'vijisenti' in Jersey.

Okay,lets say you are right,how comes then he failed to declare this when filling those forms za wealth bungeni?
 
Back
Top Bottom