The Radar Scandal: Investigation & Progress

Lol, Bubu na MwK, mmenichekesha kweli....naona hamtaki kabisa Chenge apate pesa 'Kihalali'.
 
Hilo sio tatizo. Inaweza ikawa downpayment ya kazi kubwa aliyokuwa akifanya kama mjuzi wa sheria. Na hiyo kazi inaweza kusukwa sasa hivi na ma-Accountants na Lawyers. All he needs is a willing buyer of the service (the buyer can be paid to buy the service).....
Maaan whatyou guys talking about??
Nzoka, sawa kaka mambo hayo yote yanaweza kufanyika..... lakini si katika hali inayomzingira yeye sasa hivi. He was too complacent before this saga stole the limelight, too content and too arrogant.... what would you like the common man in Congo street or a group of students in Nyamainza to wish for him?!......ni kama siri vile...

Anyway, Kwa umbali Nzoka naanza kuona unaleta mambo ya kufirika kama zile ndoto zangu.... lol
 
Uzuri/Ubaya wa Tanzania ni kuwa nchi ni ndogo Everybody knows somebody who knows some about it... Soon ukweli utajulikana!!!

Kama alivyosema Nzoka,
Kuna mkulu mmoja nilibahatika kuspend few weeks around him kila week alikuwa anatuma materials UDSM and guess what jamaa walikuwa wanadeposit hela kwenye account yake.
 
Ya the man has one of the best results for his LLB at UDSM, he graduated at Harvard with a distinction and I know cause I went to Harvard and as a Tanzanian that's an accomplishment. Check the Harvard alumni for further facts

uwiiiiiii,

I missed this one, now you are calling yourself a H -alumni!!!?
 
ever heard of privacy, most people don't like to reveal their wealth to the public, its a private matter in most countries, look at the Italian scandal of today regarding publications online! I bet even if the SFO clear this man you'll still find another pivothole to condemn him cause its a sin to be comfortable in Tanzania apparently

You're the a**hole!!
 
Ok,
maboksi yamepungua spidi.bosi kaniruhusu niwahi basi la kuelekea Bariadi. Wikiendi hii tunashusha ng'ombe.

Nitakuja na theory nyingine ya kumsaidia Vijisenti.

In the meantime, we MwK ni mapepe kwasababu ukikaa na fisadi chumba moja sidhani kama mta-reason!!

Lydia Ngosha nasikia ana undugu na Vijisenti. Huoni siku hizi Mwanakijiji kamfukuza kazi?
 
kwi kwi kwi,

Haya mkuu, mimi nilishakiri hapa kuwa siwezi kushindana na Lydia Ngosha. BTW, Ule wimbo si mbaya afterall!
 
Mkulu Jasusi,

Hii ya kusoma DC hata mimi nimeisikia mahala. Tupe issues!
MWK,
Nimemfahamu Chenge alipokuwa mjini DC in the 70's. Sina hakika ya chuo alichohudhuria, kama ni Howard University, American U, George Washington au Georgetown. It must be one of these. Lakini sijui kivipi alipanda panda na kuweza kuteuliwa AG kwa sababu nawafahamu wanasheria wengi tu ambao zilikuwa zinapanda kweli lakini hawakufikia
kilele alichokifikia huyu fisadi na kwa kasi ile. Lakini sikubaliani na hoja kwamba kwa mshahara wa Bongo mtu anaweza kulimbikiza kihalali dola milioni moja katika benki ya kigeni, unless huo mshahara ulikuwa haukatwi kodi, alikuwa hana matumizi na matanuzi ya aina yeyote ile, hata kama amefanya kazi kwa miaka 30.
 
Kwenye CV yake anadai kuwa kasoma Havard!
 
Chenge akizungumza na KLH muda mfupi uliopita akikanusha madai ya ugonjwa, kujiua, na kulazwa Lugalo. Inaonekana amekerwa kweli. Nitawawekea matangazo hayo in few minutes kwenye KLHN International.. where we go to the source to bring you News!
 
Huu uvumi ni mkubwa sana na Chenge lazima ajue kwama kachukiwa mno .Mafisadi nadhani sasa wanaweza kuona madhara ya wizi na unyakuaji .Ni hatari kubwa wajifunze .Atachukia lakini ukweli uko pale pale kwamba watu they wish him death .
 
...sawa lakini kumzushia mtu mambo ya uongo sio freshi..
 
MWK,
Nimemfahamu Chenge alipokuwa mjini DC in the 70's. Sina hakika ya chuo alichohudhuria, kama ni Howard University, American U, George Washington au Georgetown. It must be one of these. Lakini sijui kivipi alipanda panda na kuweza kuteuliwa AG kwa sababu nawafahamu wanasheria wengi tu ambao zilikuwa zinapanda kweli lakini hawakufikia
kilele alichokifikia huyu fisadi na kwa kasi ile. Lakini sikubaliani na hoja kwamba kwa mshahara wa Bongo mtu anaweza kulimbikiza kihalali dola milioni moja katika benki ya kigeni, unless huo mshahara ulikuwa haukatwi kodi, alikuwa hana matumizi na matanuzi ya aina yeyote ile, hata kama amefanya kazi kwa miaka 30.

Hold up....umemjua Chenge toka miaka ya 70 na unasema alikuwa DC. Kama hii ni kweli Harvard alisoma lini? Maana nimeona mahala kuwa alisoma digrii ya pili Harvard miaka hiyo hiyo...
 
Nyani,
Labda alipoondoka DC alikwenda Harvard, I am not sure. We never kept in touch, but I will attempt to find out from mutual acquaintances.
 
..hata kama jamaa ni fisadi[ingawa tunasubiri sfo],kumzushia kafa is very low. infact,ni ufisadi in itself!
 
Back
Top Bottom