The Radar Scandal: Investigation & Progress

Nipeni ka' nusu saa tu nimalizie Big Mac yangu and then ready to go.. ingia kule kwenye Podcast.. and probably will make a link here tu...
 
Mimi habari za kufa kwa Chenge nimeipata kwa simu toka Ulaya mie nikasema no hakuna janga .Jamaa akasisitiza .Nikapiga simu huko huko Ulaya kumuuliza ambaye alikuwa na hadithi ile .Akasema ni kweli .Nikapiga simu katika maeneo yangu ya kazi Dar na nje ya Dar wakawa wako gizani ila wakasema sms namesages katika mails zinatembea .Nikachungulia hapa nikaona pakavu .Nikaamua kuuliza openly .Maana hata wengine pia mlipata habari hizo so aliye anzisha sijui ni nani na kwa lengo lipi.Huyu mzee asife hadi kieleweke japokuwa naamini hataguswa.Maana SFO wanachunguza Rada na ye kato kubwa alilioweka kule ni la IPTL.
 
Haya tuko hewani!! NN... huu sasa uchokozi.. unajua walemavu wa kiungo kimoja wako very acute kwenye viungo vingine.. I don't know why... LOL
 
You're the one making these accusations, so support them. I'm merely invoking the defence that a man is innocent until proven guilty. I think you have convicted this man before any valid findings have been announced and that is not correct in any society

If 1 million dollars is found in your account,when you are not a businessman but a public offical in a poor country like ours,then you are definately guilty until proven innocent!
Mbona Mkono walivyosema amewabambikia bei BoT,ali justify kuwa ana charge 500 dollars an hour? Na ni kweli....na kama kuna mtu kwenye nchi hii ambaye kweli angeweza kutengeneza pesa kwa kutoa speeches,basi Mwalimu Nyerere asingekutwa na yeyote,nani kamsikia Chenge.Basi Sumaye atatajirika sasa hivi,maana he has gone one better,alikuwa PM for 10 years na kaenda Harvard vilevile
 
Kweli ndivyo tulivyo, yaani mpaka Chenge ana watetezi among sisi walalahoi?

Mkulu Jasusi,

Maneno mzito sana na heshima mbele kwa kusimamia ukweli!
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!!

Baada ya kukaa na kutafakari, na kuangalia kisomo cha Chenge, na kwavile kapitia Havard Law school, na pia amekuwa kama State Attorney kwa zaidi ya miaka 30, basi naona kwa kweli kutengeneza hivyo vijisenti ni kitu kidogo sana kwake.

All he needs to have done is a number of consulting jobs or presentations either at Havard itself or other institutions in different parts of the world. For him to be a State Attorney for that long, he has a wealth of information to share to the world.
Clinton analipwa kama £75,000 per lecture. Cherie Blair £30,000. As far as I am concerned someone like Chenge would have been highly regarded due to his position and his education. Even if he got paid £5,000 per lecture, calculate that maybe 5 to 10 lectures/presentation per year, over a stretch of 20years, plus smart investment in property (say UK).

On this logic (and this logic only) I am not surprised he could have that couple million 'vijisenti' in Jersey.

Taking your so-called "logic" to its natural conclusion: everything being equal, if a mere Masters of Law degree from Harvard University could result in its holder raking in potential earnings of over $1 mil. in Tanzania over a period of 20 years, then should not professional scholars who hold doctorates and other advanced degrees from similar Ivy League institutions also have turned out to be multi-millionaires in US dollars?

Indeed, why would anyone anywhere under the sun even consider compensating civil servant Chenge ex-AG of a banana republic and MP for Bariadi a speaking fee of UK Pounds 5000? Heck, by daring to even mention Chenge's name in the same breath as Bill Clinton's shows just how deluded your imagination is. The only conclusion thus is you must be a dunce to even come up with such a far fetched dumb ass scenario.
 
Kweli ndivyo tulivyo, yaani mpaka Chenge ana watetezi among sisi walalahoi?

Sorry to disappoint you, some of us believe in the the presumption of innocence (being innocent until proven guilty by the court of law) therefore the burden of proof is thus on the prosecution, which has to collect and present enough proving evidence to convince the judge and jury, who are restrained and ordered by law to consider only actual evidence and testimony that is legally admissible, and in most cases lawfully obtained, that the accused is guilty beyond a reasonable doubt.
 
If 1 million dollars is found in your account,when you are not a businessman but a public offical in a poor country like ours,then you are definately guilty until proven innocent!
Mbona Mkono walivyosema amewabambikia bei BoT,ali justify kuwa ana charge 500 dollars an hour? Na ni kweli....na kama kuna mtu kwenye nchi hii ambaye kweli angeweza kutengeneza pesa kwa kutoa speeches,basi Mwalimu Nyerere asingekutwa na yeyote,nani kamsikia Chenge.Basi Sumaye atatajirika sasa hivi,maana he has gone one better,alikuwa PM for 10 years na kaenda Harvard vilevile

Wewe ulijua mkono anapata pesa hiyo? Si mpaka mlipopewa mahesabu hapa juzi? Chenge akitoa mahesabu je?

Nyerere alikuwa mjamaa, hangeweza kutengeneza pesa hiyo kwenye peak yake. Labda angekuwa mzima leo hii angefikiri kibepari angeingiza pesa hiyo kiulaini. Kwanza wazungu hawakumpenda, zaidi ya labda wascandinavia. Kwanza walikuwa wanamwona mzibaji wa dili za kuiba bongo. Nina uhakika Mandela akitaka kuingiza hela hiyo sasa hivi ataingiza (labda anaingiza), na hana ujuzi wa maana.

Usifananishe nafasi aliyokuwa nayo Chenge, na PM Sumaye. Infact, we una uhakika gani hiyo pesa Sumaye hana nje? Tuliza boli.

I am real surprised at the fact that most people in here dont realise that Chenge is a gold-mine of information and he can command that money if he made the right moves. If you cant see that, then you are really underestimating the value of africa to the west.
 
So far, he hasnt done this! he rather chose to steal from poor Tanzanians. The guy is a killer and responsible for thousands of deaths in Tanzania!
 
Taking your so-called "logic" to its natural conclusion: everything being equal, if a mere Masters of Law degree from Harvard University could result in its holder raking in potential earnings of over $1 mil. in Tanzania over a period of 20 years, then should not professional scholars who hold doctorates and other advanced degrees from similar Ivy League institutions also have turned out to be multi-millionaires in US dollars?

Indeed, why would anyone anywhere under the sun even consider compensating civil servant Chenge ex-AG of a banana republic and MP for Bariadi a speaking fee of UK Pounds 5000? Heck, by daring to even mention Chenge's name in the same breath as Bill Clinton's shows just how deluded your imagination is. The only conclusion thus is you must be a dunce to even come up with such a far fetched dumb ass scenario.

Actually your comment proves that the one who is thinkin in a dumb ass scenario is you. If you dont know the value of someone who has been an Attorney General for over 20years, in a rich country like Tanzania, you truly think like a banana republic.

Just because Tanzania is 'poor' or 'banana republic' it dont mean the west cant make money from it.

In terms of £500per hour, that is nothing when it comes to business. It doesnt matter what you studied or where you studied, its just that a lot of companies will pay even for bullshit if they can make more money from you. Take the dumbest politician in the country and give him/her the opportunity to have exposure on a world stage. Make them think they are making a change/contribution to the world, believe you me, they will give you more than you are investing.
 
Sorry to disappoint you, some of us believe in the the presumption of innocence (being innocent until proven guilty by the court of law) therefore the burden of proof is thus on the prosecution, which has to collect and present enough proving evidence to convince the judge and jury, who are restrained and ordered by law to consider only actual evidence and testimony that is legally admissible, and in most cases lawfully obtained, that the accused is guilty beyond a reasonable doubt.

perfectly stated
 
So far, he hasnt done this! he rather chose to steal from poor Tanzanians. The guy is a killer and responsible for thousands of deaths in Tanzania!

Hatetewi mtu hapa. Ila it needs to be proven. Sikatai wala sikubali. Niko neutral.
 
Back
Top Bottom