The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Hao Makachero Waliokuja Ni 3 Mmoja Muingereza Mwingine Ni Muafrika Kusini Na Mwingine Mwanamke Huyu Sijui Ni Raia Wa Wapi .

Dereva Wa Mmoja Wa Hao Wa Wapelelezi Aliwahi Kuwekwa Kituo Cha Polisi Obey Tarehe 4 Mwezi Huu Sijui Ni Kwa Kosa Gani Lakini .

Dereva Huyu Anamwendesha Kachero Mmoja Ambaye Kwa Sasa Anaishi Kempiski Jijini Dar Es Salaam

Pamoja na hayo, cha muhimu ni kufikishwa mahakamani hawa mafisadi baada ya kuwafilisi mali zao walizozipata isivyo halali kwa kutumia dhamana ya madaraka. Hivi kwa nini wasichunguzwe wakati wakiwa rumande?
 
Da!! huyu mzee, kwa kweli anashangaa sana , hakutegemea hata kidogo siku moja Watanzania watabadilika hivyo, kusema hivyo ni kujitakasa tuu.Hata kama makachero wangesema na watanzania tusiwe tayari kupiga kelele kwa kweli asingejiuzuru.
 
Mkwewe Ambaye Amepishana Nae Miaka 20 Karibu Kwa Jina La Christina Huwa Anamtuma Houseboy Kwenda Mwanza Kuleta Samaki Wa Chakula Cha Jioni Kila Siku - Huyu Mkewe Anatembea Na Kijana Mmoja Ambaye Nae Pia Ni Mume Wa Mtu Na Anafamilia Yake .

Pia Chenge Amewanunulia Nyumba Na Magari Wadogo 2 Wa Huyu Mkewe Anayeitwa Christina Kweli Watu Wanazo Duh

Asingeingia Katika Siasa Yote Yasingemkuta Haya
 
Hii ni kali, wakati kuna watu wanakula ugali na mapanki huko mwanza, fisadi chenge anakula samaki fresh kwa fedha za watanzania! Ndio maana inasikitisha sana kumuona bado yuko huru, alitakiwa awe rumande na hajafilisiwa bado. Ni lini sheria itachukua mkondo wake? JK this is tooo much! au hadi tugome ndio utawachukulia mafisadi hatua za kisheria?
 
Yeye Mwenyewe Ni Mwanasheria Anayetakiwa Kuisimamia Sheria Lakini Ameshapindisha Sheria Hiyo Tena Kwa Makusudi Tena Na Wenzake Watamuunga Mkono Na Kujifanya Alichofanya Yeye Ni Sahihi Kabisa -- Mwache Mzee Apumzike Ndio Maneno Ya Mwisho Haya Ambayo Wenzake Watasema
 
Mama Mfano Chenge Angekuwa Ni Baba Yako Ungefanya Nini Imeshakuwa Hivi Naona Watoto Zake Hapo Uk Wanadunda Tu
 
Mama Mfano Chenge Angekuwa Ni Baba Yako Ungefanya Nini Imeshakuwa Hivi Naona Watoto Zake Hapo Uk Wanadunda Tu

ningemkana kwa kweli, licha tu ya kwamba ameiaibisha familia, basi amesababisha hali duni kwa watanzania walio wengi. Kwa vijisenti vyake ningetumai hali ya wananchi wa bariadi ambao ndio wamempa hiyo 'kula' at least ingekuwa inaridhisha lau kwa kuwa na barabara nzuri, mashule yenye maabara na maktaba za kisasa, wananchi wote wanatumia umeme na wanapata maji safi. Sasa yeye kama yeye na uanasheria wake ameipact nini katika jamii yake?
 
Umeuliza Una Impact Yake Katika Jamii Yake Huo Uanasheria Wake Au Sivyo ?

Moja Ya Impact Ni Hiyo Kuwakilisha Jimbo Lake La Bariadi Ingawa Hatujwahi Kusikia Chochote Kipya Toka Wilaya Ya Bariadi Kama Ufunguzi Wa Miradi , Mashule Na Mambo Mengine Mengi

Ni Tofauti Na Yule Mbunge Wa Sengerema Yeye Alianzisha Mradi Wa Ict Hapo Sengerema Na Kituo Hicho Kiko Mpaka Leo Hii Lakini Tangia Mkapa Ametoka Madarakani Sisikii Chochote Sijui Kuna Nini .

Lakini Tungoje Hao Mashushushu Wamalize Kazi Yao Naamini Tutajua Mengi Ambayo Hatukuwahi Kuota Kuyajua Tutajua Pia Hizo Pesa Zake Amezipata Kwa Njia Gani Na Amezitumiaje Mpaka Zikazalisha Kiasi Hicho

Hivi Chenge Ana Kampuni Kama Mkono ?
 
Huwezi Kumkana Pesa Alizoiba Ndio Zimekupeleka Wewe Ulaya Kukusomesha Pamoja Na Ndugu Zako Tena Hujaenda Kwa Njia Halali Hatta Hizo Docs Za Kufoji

Je Akifilisiwa Na Wewe Ufilisiwe ?
 
Huwezi Kumkana Pesa Alizoiba Ndio Zimekupeleka Wewe Ulaya Kukusomesha Pamoja Na Ndugu Zako Tena Hujaenda Kwa Njia Halali Hatta Hizo Docs Za Kufoji

Je Akifilisiwa Na Wewe Ufilisiwe ?

yah nikigundua kuwa kanirithisha mali za ufisadi nitamsusia kwa kweli. Kuhusu docs, nitakuwa shahidi mahakamani na kueleza kuwa baba ni fisadi asiyejali ufisadi anamfanyia nani,kanifanyia ufisadi hata mie mwanae kwa kunifojia vyeti. Nitamuambia hakimu kuwa baba yangu ni fasadi na amenifikisha hapa nilipo kwa ufisadi wake so apewe adhabu kali ya kifungo cha maisha na viboko kumi na mbili kabla ya kuingia gerezani.
 
Role of Barclays Bank in radar deal : British MPs want to know

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

BRITISH members of parliament are now questioning the role of Barclays Bank in the 28 million pounds sterling (approx. 70bn/-) military radar transaction scandal in Tanzania.

In particular interest to the UK lawmakers are the reasons behind the British-headquartered bank’s decision to give a loan to former president Benjamin Mkapa’s government to finance the dubious deal.

A debate in the British House of Commons on Tuesday this week on the Zimbabwe election crisis, at one point changed its focus to Barclays Bank, with MPs blasting the bank�s role in facilitating the controversial Tanzanian transaction between 1999 and 2002.

’’It must be said that Barclays in Africa has form. Of course, we know all about its record in South Africa under the apartheid regime,’’ said Liberal Democrat MP Norman Lamb (North Norfolk).

He added: ’’What is not so widely known, however, is that Barclays provided the finance for the sale by BAE Systems of a military air traffic control system to one of the world’s poorest countries, Tanzania.’’

There have been serious questions raised on why Barclays bank, as a commercial lender, saw fit to heavily subsidise an arms sale to a highly indebted developing country like Tanzania in 2002.

Critics say former president Mkapa’s government could not have afforded the radar without the loan from Barclays, which is a commercial bank.

However, as a condition of debt relief, Tanzania had at the time agreed with the International Monetary Fund (IMF) that it would not borrow money from commercial banks.

In order to persuade the IMF to allow this loan to Tanzania, Barclays Bank reportedly declared that over a third of it was to be considered a grant.

Lamb, who has long been a fierce critic of the Tanzanian radar deal, noted that the UK�s Serious Fraud Office (SFO) was currently investigating the transaction.

’’Barclays provided the loan finance (to Tanzania) at a time when all the allegations were in the public domain and concerns were being raised that it was a dodgy deal,’’ said Lamb.

The purpose of the British House of Commons debate was to discuss sanctions against Zimbabwean President Robert Mugabe’s regime, and the role of British companies in that country - particularly Barclays Bank.

However, the focal point of the parliamentary discussion ultimately zeroed in on the Tanzanian radar deal, in which Barclays Bank played a prominent role.

Noting that newspaper reports from the previous year suggested Barclays was helping to ’’bankroll Mugabe’s regime,’’ Lamb added that the same bank was also involved in financing the dubious Tanzanian radar purchase despite widespread public criticism against the transaction.

’’How can Barclays Bank, a British-based company, act in a way that is apparently in flagrant breach of the sanctions regime?’’ the MP asked, in reference to the bank’s Zimbabwe operations.

Lamb said the UK Foreign Office had informed him that it was investigating a possible breach by Barclays on the Zimbabwe sanctions regime, and demanded to know the current progress of the probe.

Contributing to the discussion, the Labour MP for Vauxhall Constituency, Kate Hoey, said: ’’I congratulate (Lamb) on his speech, on securing this debate, and particularly on the very interesting points that he made about Barclays, which I think we all found of great interest.’’

Conservative lawmaker Richard Benyon (Newbury) said: ’’If Barclays has questions to answer, it must do so�but in the context of all the organizations and governments who are complicit in the situation in Zimbabwe, many other villains also need to be held to account.’’

Jeff Ennis, the MP for Barnsley, East and Mexborough Constituencies (Labour) said: ’’I share the concern of (Lamb) about the role played by three British banks - particularly Barclays Bank, which he named - that appear to be assisting the Mugabe regime. I hope that they will review their business activities in Zimbabwe once they have read this debate.’’
 
Je ni kweli mzee Vijisenti yuko hoi Lugalo kwa kuji poison? Wakuu nendeni kazini mtupatie fact au ndio uzushi umeenza kuenea jijini Dar.
 
Je ni kweli mzee Vijisenti yuko hoi Lugalo kwa kuji poison? Wakuu nendeni kazini mtupatie fact au ndio uzushi umeenza kuenea jijini Dar.

Ya kweli haya, wewe mwenzetu umezipata wapi hizi habari!!!! Labda ungejaribu kuverify kutokea hizo sorce zako maana hizi ni habari nziti sana!!! Bongo watu wote wenye skandali huwa wanakufa mapema na kiainaaina. Hivyo sitashangaa kama ni kweli.
 
Chenge anajiamini kwa sababu huenda anajua kwamba hizo $Mil. 1 hazikutokana na dili ya rada. Labda ilikua dili nyingine, labda EPA, Twin towers nk. Pia anajua kwamba uchunguzi wa SFO uko limited kwenye rada tu.....Pia anajua sio rahisi utawala wa tz ukamuuliza amepata wapi hizo fedha nyingi kiasi hicho, akiwa mtumishi wa umma. ....then he might come out 'clean'.
 
Je ni kweli mzee Vijisenti yuko hoi Lugalo kwa kuji poison? Wakuu nendeni kazini mtupatie fact au ndio uzushi umeenza kuenea jijini Dar.

Ya kweli haya, wewe mwenzetu umezipata wapi hizi habari!!!! Labda ungejaribu kuverify kutokea hizo sorce zako maana hizi ni habari nziti sana!!! Bongo watu wote wenye skandali huwa wanakufa mapema na kiainaaina. Hivyo sitashangaa kama ni kweli.

Hii habari iko hapa:
http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=187932#post187932
 
Mlikosea Mwizi kumuita Fisadi...!!
Na hapa ndipo mnapo anika akili zenu...
Money is in Jersey!! Du! Hii science!! kiboko..
 
mi naamini huyu jamaa hizi pesa katuibia kwingine na si kwenye ishu ya rada, ndo maana anajiachia tu.
lakini yoote haya ndo matokeo ya sahani za wali, kofia na doti za kanga za CCM ambazo watanzania wanapewa kipindi cha uchaguzi na kuchagua viongozi wabovu.
nyerere alisema watanzania waepukeni viongozi wanaotaka kuingia madarakani kwa vishawishi vya pesa za bange...
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!!

Baada ya kukaa na kutafakari, na kuangalia kisomo cha Chenge, na kwavile kapitia Havard Law school, na pia amekuwa kama State Attorney kwa zaidi ya miaka 30, basi naona kwa kweli kutengeneza hivyo vijisenti ni kitu kidogo sana kwake.

All he needs to have done is a number of consulting jobs or presentations either at Havard itself or other institutions in different parts of the world. For him to be a State Attorney for that long, he has a wealth of information to share to the world.
Clinton analipwa kama £75,000 per lecture. Cherie Blair £30,000. As far as I am concerned someone like Chenge would have been highly regarded due to his position and his education. Even if he got paid £5,000 per lecture, calculate that maybe 5 to 10 lectures/presentation per year, over a stretch of 20years, plus smart investment in property (say UK).

On this logic (and this logic only) I am not surprised he could have that couple million 'vijisenti' in Jersey.
 
Mkuu huyu yuko bongo tu hakuna cha lecture wala tution
 
Back
Top Bottom