FM sikia mkuu.
Mimi niliyotoa ni logic kwamba hiyo pesa inaweza kutengenezeka.
Kusema sisi tumfuate, ni hapana. Hatujamfuata kitu, waliofuata hapa ni SFO period. Na hawa kama naona kitakachotokea, boli itarudishwa kwa serikali ya Tanzania. Maagizo yatatolewa, mambo yatafunikwa kibongo bongo.
Na hiyo kufunikwa kibongo bongo, ndio ya kuwatumia Accountants wake na Lawyers wake. To Tanzanians, its very easy to make yourself innocent if you are guilty.
Mimi mawazo yangu ya ku-tackle issue za kupumbavu hizi zinazozuia maendeleo afrika ni tofauti, na siwezi kutoa mawazo yangu openly. Na kwavile mimi ni mtanzania, najua akili za majority ya watanzania. Too much talk. Unaongea na mtu anaonaje hii ishu, anasema 'watanzania watu wapole sana', 'watanzania wavumilivu sana'.........am sorry, I dont wanna be on the same side with people who cant be decisive on what they wanna achieve to change their lives.
So on that note, I am happy to be different unless people prove otherwise.