The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Hivi alitaka sauti yake isikike au ni wewe ulimpigia simu kutaka kujua ukweli hebu tuambie ndugu,

Kiswahili tata.

Alitaka sauti yake isikike tu inaweza kuwa na maana mbili tofauti.

1. Ni mtu mwenye kimbelembele cha kupenda kusikika tu, hata kama hana cha kusema.

2.Alikuwa na priority/nia moja tu, ya kutaka kuihakikishia dunia kuwa yuko hai kwa kusikika sauti tu.Haku entertain maswala mengine.

I believe MM Mwanakijiji alikusudia ya pili.
 
Lol!!! Unajua kuna kitu sijakielewa....

Walivyogundua hizo hela waziri wa utawala bora alishtuka(kwa maana nyingine hakuziorodhesha-why ukweli anaujua yeye na Mungu wake)mpaka hapo inaonyesha Chenge sio mwaminifu.

Alivyozungumza akasema hawezi kujiuzulu, lakini kuna ile "48 hours" kabla ya mkuku kutouchdown..Bam!!! akajiuzulu kama ni innocent why did he do that?

Earlier this week lawyer wake katema cheche na kaonyesha kibur cha hali ya juu...
Sasa whats really going on...what connects the dots?
 
Mkuu haya unayosema hayajibu swali la msingi na hoja ya utetezi wako na hela za Chenge, isipokuwa unajaribu kukwepa responsibilities kwamba ni shauri yetu, no mkuu hili la kuibiwa ni shauri letu wote wananchi wa Tanzania, na ni wajibu wetu wote kujaribu kujua ukweli wa kodi zetu na mali za viongozi wetu,

Sasa kama the ishu ni wafuateni, basi sasa ni wakati wa kufunga JF maana what are we doing here bro? Ni wewe uliyeanzisha hii topic hivi kweli mkuu what did you expect? Hayo uliyoyatoa hapo juu sio majibu yenye logic hata kidogo kwa sababu unajaribu tu kukwepa responsibilities zako kama mwananchi wa Tanzania, lakini ukweli uko pale pale kuwa Chenge amejiuzlu kwa kukosa maelezo ya hela alivyozipata, nothing personal wala anything!

Serikali yetu ipo, inaendelea na haijafilisika na mahakama bado zipo, pole pole siku itafika wala hatuna haraka nao mkuu! Maana tumetoka nao mbali sana!

FM sikia mkuu.
Mimi niliyotoa ni logic kwamba hiyo pesa inaweza kutengenezeka.

Kusema sisi tumfuate, ni hapana. Hatujamfuata kitu, waliofuata hapa ni SFO period. Na hawa kama naona kitakachotokea, boli itarudishwa kwa serikali ya Tanzania. Maagizo yatatolewa, mambo yatafunikwa kibongo bongo.

Na hiyo kufunikwa kibongo bongo, ndio ya kuwatumia Accountants wake na Lawyers wake. To Tanzanians, its very easy to make yourself innocent if you are guilty.

Mimi mawazo yangu ya ku-tackle issue za kupumbavu hizi zinazozuia maendeleo afrika ni tofauti, na siwezi kutoa mawazo yangu openly. Na kwavile mimi ni mtanzania, najua akili za majority ya watanzania. Too much talk. Unaongea na mtu anaonaje hii ishu, anasema 'watanzania watu wapole sana', 'watanzania wavumilivu sana'.........am sorry, I dont wanna be on the same side with people who cant be decisive on what they wanna achieve to change their lives.

So on that note, I am happy to be different unless people prove otherwise.
 
Kama ni account moja tu iliyechunguzwa ndio ina kiasi hichi chote je akaunti zingine zitakuaje??
Huyu Chenge nadhani ni kama wenzake kina Lowasa na Karamagi.
Tatizo kubwa ni kwanini afiche kiasi chote hicho cha Fedha ughaibuni na kuwanufaisha watu wengine wakati kwao (jimboni kwake) hakuna hata maji safi ya bomba achilia mbali Zahanati.
Hivi vijisenti nadhani vinaulakini ndio maana kazificha ughaibuni.
 
Hahaaaaaa......dude is crazy. Made my friday. Niko ahera naelekea Tanzania.
 
Chenge hakusoma Harvard law school kama inavyodaiwa. Alisoma mjini Washington DC na Harvard iko Massachussets. Malipo ya $200K kwa kila mikataba mibovu na uuzaji wa madawa ya kulevya ndivyo vilivyompatia utajiri huo haramu.

Mkuu Jasusi,

Hii ya uuzaji wa madawa ya kulevya ndiyo nasikia leo ... makubwa haya! Website ya Bunge inaonyesha jamaa alikuwa Harvard 1975, lakini hawasememi lini alimaliza ... http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=30&vusername=GUEST")
 
Mimi mawazo yangu ya ku-tackle issue za kupumbavu hizi zinazozuia maendeleo afrika ni tofauti, na siwezi kutoa mawazo yangu openly. Na kwavile mimi ni mtanzania, najua akili za majority ya watanzania. Too much talk. Unaongea na mtu anaonaje hii ishu, anasema 'watanzania watu wapole sana', 'watanzania wavumilivu sana'.........am sorry, I dont wanna be on the same side with people who cant be decisive on what they wanna achieve to change their lives.

So on that note, I am happy to be different unless people prove otherwise.

Mkuu Nzoka,

Heshima mbele, kwa kweli ni vyema ukaelewa kuwa siasa na mabadiliko yake ni pamoja na uvumilivu, ndio maana kuna mahali nimesema kuwa tatizo sio CV ya Salim, tatizo pia ni Cv zetu wananchi, usipakuwa makini ni rahisi sana ku-miss the big picture kwamba as a nation tumetoka mbali sana, mpaka leo kufikia waziri wetu kujiuzulu kutokana na kuwa na hela tu nje!

Binafsi sijakata tamaa, ndio maana nipo hapa JF, ninaaamini kuwa pole pole we are making a progress kwenye ishu za ufisadi, ndio kuna wakati wananchi tutaonekana kuwa tunashindwa na kwamba walidhulumu mali zetu za taifa hawataguswa, lakini ukweli ni kwamba kwenye siasa ogopa records za maandishi, uliza Mahalu, kilichomponza ni kitu kidogo sana nacho ni mkapa akiwa Ikulu alisahau karatasi za uchunguzi wa mahesabu ya pesa kule ubalozini Italy, muungwana akayakuta!

Ahsante Mkuu, lakini mwishoni nimekuelewa!
 
Mkuu Jasusi,

Hii ya uuzaji wa madawa ya kulevya ndiyo nasikia leo ... makubwa haya! Website ya Bunge inaonyesha jamaa alikuwa Harvard 1975, lakini hawasememi lini alimaliza

Betweeen Chenge, na Mahita na yule former DPP kuna siri kubwa sana na mtandao kuhusiana na hela za uchaguzi, na hasa BOT, na madawa ya kulevya it is only a matter of time kabla ukweli haujatoka wazi! na wala sio siri kama wanavyofikiri!
 
Chenge hakusoma Harvard law school kama inavyodaiwa. Alisoma mjini Washington DC na Harvard iko Massachussets. Malipo ya $200K kwa kila mikataba mibovu na uuzaji wa madawa ya kulevya ndivyo vilivyompatia utajiri huo haramu.

Wow hivi una hakika. Hebu wasiliana na havard university kujua ukweli acha wivu wa kijinga
. KASOME NDUGU

hIVI KWELI NDIO AKILI YA SISI. UNAJIBUJE HOJA WAKATI KITU KINAFANYIWA UCHUNGUZI, NDIO SHIDA YA BUSH LAWYERS. HAPA SIO KWENYE KANGARA NDUGU ZANGU
 
Well,, I find him to be a bit rude, kwa nini asiongee kawaida tu mtu kuzushiwa ndo awe 'mkali' kiasi icho? eti 'natoka ahera narudi tanzania'...
 
Well,, I find him to be a bit rude, kwa nini asiongee kawaida tu mtu kuzushiwa ndo awe 'mkali' kiasi icho? eti 'natoka ahera narudi tanzania'...

Utaambiwa ni usukuma in my(their)Blood....

Lol ila that clip was funny...
 
tofautisha kusoma na kufanya kazi. Nenda wizara ya sheria au ikulu ukatafute CV za huyu Mh. Ulaya hakuna kufoji digirii mchuchu hasa kwa chuo kama havard amka ndugu
 
Nimesoma thread hii kuanzia ukurasa wa kwanza nikivutiwa muda wote na jinsi Mwafrika wa kike anavyomchamngamsha huyu anayejiita zeenam. Burudani safi, asante mama!

Asante Mwalimu Kithuku,

Wakati mwingine watu kama hawa inabidi wapati dozier yao hapa hapa kabla jogoo hajawika mara tatu.
 
nadhani ndiko kale kamsemo ka "vijisenti" kametoka wapi. Labda ni msemo wa Usukumani pia.. tusimlaumu sana.
 
Mkuu huyu yuko bongo tu hakuna cha lecture wala tution

kwa hiyo maisha yake yote amekuwa bongo una hakika na jambo hili? au unazusha kama kifo chake kilivyozushwa.. Tatizo la baadhi yetu ni ile dhana ya kuwa mwafrika ni mjinga hawezi kufanya kitu cha kujiendeleza. Hebu nendeni kwa kina watu kama Solomon & co, core securities etc wakawafundishe namna na kuwekeza acheni fikira potofu kuwa utajiri ni kwa wahindi na wazungu.
 
ushaanza kujiona wewe mhindi sio!

Grrrr unatia kinyaa saasa
 
Back
Top Bottom