The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!!

Baada ya kukaa na kutafakari, na kuangalia kisomo cha Chenge, na kwavile kapitia Havard Law school, na pia amekuwa kama State Attorney kwa zaidi ya miaka 30, basi naona kwa kweli kutengeneza hivyo vijisenti ni kitu kidogo sana kwake.

All he needs to have done is a number of consulting jobs or presentations either at Havard itself or other institutions in different parts of the world. For him to be a State Attorney for that long, he has a wealth of information to share to the world.
Clinton analipwa kama £75,000 per lecture. Cherie Blair £30,000. As far as I am concerned someone like Chenge would have been highly regarded due to his position and his education. Even if he got paid £5,000 per lecture, calculate that maybe 5 to 10 lectures/presentation per year, over a stretch of 20years, plus smart investment in property (say UK).

On this logic (and this logic only) I am not surprised he could have that couple million 'vijisenti' in Jersey.

my dear friend do you even believe the words you are uttering, i concur with you that lawyers of Chenge's calibre earn alot but your justification is unrealistic (remember there are expenses too and they come together with his life style), he is a Harvard graduate yes, but the path he chose cant earn him that much. Remember the income he gets has too come hand in hand with his tax returns he has filed for the past 20 years or so cause he has been a resident of the United Republic of Tanzania
 
Yes that is true, but where is the evidence? Tanzanians are waiting to hear from Chenge.

ever heard of privacy, most people don't like to reveal their wealth to the public, its a private matter in most countries, look at the Italian scandal of today regarding publications online! I bet even if the SFO clear this man you'll still find another pivothole to condemn him cause its a sin to be comfortable in Tanzania apparently
 
vijisent (sent) ni fraction ya kile ulichonacho. Kwa maana hii Chenge anazo zaidi ya zile zilizopatikana katika akaunti husika ya vijisenti.

Hypothetically inawezekana. Lakini kwa nafasi ya AG wa Tanzania na bila kuwa na international exposure yoyote katika uwanja wa kimataifa hiyo degree yake ni sawa na digrii za kutoka vyuo vingine tu. Na hata hapo Tanzania bila kujiingiza kwenye siasa hakuwemo kwenye daftari ya who's who.

Awe amesoma mlimani or not, the fact kashikilia kazi kubwa hivyo miaka yote, marafiki atapata kwa international exposure ili watumiane kwasababu ya ufahamu wake.

Tatizo wewe unasema hana international exposure (hayo ni maneno yako, hujaishi naye miaka 30).

Watu humu wameanza kuongelea Economic Hitmen ndani ya nchi zetu, sasa ndio unakuta watu kama hawa, hamuwaoni miaka yote ndio mnashitukia sasa hivi. Ina maana hizo pesa wakati zinatolewa, wale wazungu wa Jersey hawakuona tatizo. Ila sasa ndio wanaona issue.

Mimi naona ugumu ni ku-justify tu.
 
ever heard of privacy, most people don't like to reveal their wealth to the public, its a private matter in most countries, look at the Italian scandal of today regarding publications online! I bet even if the SFO clear this man you'll still find another pivothole to condemn him cause its a sin to be comfortable in Tanzania apparently

Comfortable?
 
Report ya pesa inaonyesha kapata mapesa mengi kupindukia kati ya 2003 na 2005. Hiyo miaka 30 sio zaidi kwenye hesabu.
 
Report ya pesa inaonyesha kapata mapesa mengi kupindukia kati ya 2003 na 2005. Hiyo miaka 30 sio zaidi kwenye hesabu.

Sawa. Unajua kama jamaa sio tight wa pesa yake, akitumia malawyer wazuri, ndio mtashangaa hashikwi mtu. Wewe uchunguzi mnatengemea SFO mmmh, wakati the powers that be (Tanzania) hawana nguvu wala nia ya kutatua hili tatizo!!
Only a tight fisadi will be busted. But if he is willing to spend, kuzi-justify hela kitu kidogo.
GT, wape somo.
 
ever heard of privacy, most people don't like to reveal their wealth to the public, its a private matter in most countries, look at the Italian scandal of today regarding publications online! I bet even if the SFO clear this man you'll still find another pivothole to condemn him cause its a sin to be comfortable in Tanzania apparently

It is not sin to be 'comfortable in Tanzania' provided that you did not involve yourself in corrupt acitivities.

When you are public official and accused of corruption you have to defend yourself and in my opinion your privacy is no longer a priority, but so far we have not heard anything from Chenge but blah blah blah and more blahs
 
And the man saying wait for the SFO report isn't a defence, this guy is so confident that nothing will be found that his willing to let the evidence speak for itself and not mere hearsay
 
If you have those facts then please share with us, otherwise you're speculating too!

You're the one making these accusations, so support them. I'm merely invoking the defence that a man is innocent until proven guilty. I think you have convicted this man before any valid findings have been announced and that is not correct in any society
 
Sawa. Unajua kama jamaa sio tight wa pesa yake, akitumia malawyer wazuri, ndio mtashangaa hashikwi mtu. Wewe uchunguzi mnatengemea SFO mmmh, wakati the powers that be (Tanzania) hawana nguvu wala nia ya kutatua hili tatizo!!
Only a tight fisadi will be busted. But if he is willing to spend, kuzi-justify hela kitu kidogo.
GT, wape somo.

Kwa sheria za Tanzania na uongozi chini ya ccm hakuna anayetegemea yeyote kukutwa na makosa hata ukishikwa umeiba kuku lakini ukawa na lawyer mzuri, au ndugu ya kigogo, au pesa ya kuhonga unaweza kuachiwa huru au "kukutwa bila makosa"

Chenge akikutwa bila makosa hakuna atakayeshangaa!
 
And the man saying wait for the SFO report isn't a defence, this guy is so confident that nothing will be found that his willing to let the evidence speak for itself and not mere hearsay

You are the one who is just speculating coz you dont know what SFO and/or JF has in store
 
Actually nadhani its very simple kwenye dunia ya leo mtu kuwa na pesa nyingi kama hivyo na ukaweza kuzi account for.

Mfano kama ana ma Lawyers wa zuri na anao ma accountants wazuri sidhani kama kuna tatizo...hawa jamaa wa SFO siyo wazuri kama wanavyotaka nyie wazalendo mjue

Sema ma osi wengi kwetu bado wana ujinga wa kuweka pesa kwenye off shores kama Jersey au SWISS au tuseme kule CAYMAN ambako at most wamejazana FBI,YARD na INTERPOL

I just hope kuwa kaziweka kwenye untraceable stocks hivi mnafikiri SAVIMBI wa UNITA walikuwa wanafund vipi vita ?

na wale TAMIL TIGERS wa Sri Lanka wanafund vipi vita vyao?

So lets not jump the gun eti pesa alizonazo Chenge kaziiba

Jiulizeni hao waingereza wamerudisha kiasi gani alichoiba BABANGIDA na ABACHA?

hapo sijaanza kuwazungumzia hao WASWISS

Hivi mnajua waarabu walipoanza kuondoa pesa zao toka USA after 9/11 baada ya witch hunts za wamarekani kulitokea nini?

Nakushangaeni mnangangania kuwaona hao SFO kama vile ni the cleanest of the clean na wana intereste za Tanzania. Kila kukicha nakuambieni mfano jiulizeni DFID washaingiza kiasi gani kwenye miradi ya maendeleo Tanzania na kiasi gani kimerudi UK

...... Game, it is not as simple as you're trying to portray hapa. Don't think all those involved in pursuing fraudsters na ma syndicate wa money laundering hawaijui hiyo business ndani-nje.... 'matter of fact, wengi wao ni renegade kutoka humohumo ndani...

..... Miye naona hapo juu unachanganya mambo tu kutaka kuelezea umahiri wa jambo ambalo systems mbalimbali zinafanya juu chini kulipinga na kulitokomeza.... untraceable stocks are traceable, fullstop... otherwise hao wezi unaowasema nao wasingeweza kuzipata mali zao na kuzi value in any form through transitions...

......
 
You're the one making these accusations, so support them. I'm merely invoking the defence that a man is innocent until proven guilty. I think you have convicted this man before any valid findings have been announced and that is not correct in any society

Chenge has just convicted himself (just in case you didnt know)
 
Back
Top Bottom