BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!!
Baada ya kukaa na kutafakari, na kuangalia kisomo cha Chenge, na kwavile kapitia Havard Law school, na pia amekuwa kama State Attorney kwa zaidi ya miaka 30, basi naona kwa kweli kutengeneza hivyo vijisenti ni kitu kidogo sana kwake.
All he needs to have done is a number of consulting jobs or presentations either at Havard itself or other institutions in different parts of the world. For him to be a State Attorney for that long, he has a wealth of information to share to the world.
Clinton analipwa kama £75,000 per lecture. Cherie Blair £30,000. As far as I am concerned someone like Chenge would have been highly regarded due to his position and his education. Even if he got paid £5,000 per lecture, calculate that maybe 5 to 10 lectures/presentation per year, over a stretch of 20years, plus smart investment in property (say UK).
On this logic (and this logic only) I am not surprised he could have that couple million 'vijisenti' in Jersey.
Angekuwa na vijisenti vya halali kusingekuwa na sababu yoyote ya yeye kukaa kimya muda wote huu bila kutetea upatikanaji halali wa hivyo vijisenti. Huyu ni fisadi na kapata vijisenti hivyo kwa njia za haramu ndio maana akaamua kwenda kuvificha nje ya nchi. Na hao makachero wa SFO wameshasema kwamba kulikuwa na suspicious activities katika bank account hiyo ama ya kuweka ama kutoa pesa au vyote viwili. Hana la kujibu huyu ni fisadi tu!