The Radar Scandal: Investigation & Progress

Ukiambiwa ukapimwe akili unadhani dakitari kakosea!

Ndio shida ya wengine mkikunwa mnakimbilia watu wakapime, Unapoongea kitu uwe na uhakika wewe unabwata tu umejipima kama una akili kamili. Au ndio nyie wenye hasira kuwa umaskini wenu umeletwa na kina chenge? Kabla hujasimulia kitu kifanyie utafiti uwe na uhakika sio kubuni tu kufurahisha ukurasa
 
no africa ni maskini kwasababu watu kama wewe hawataki kufanya kazi kwa bidi juu ya kazi, wanaona darasa limejaa nyuki na viti vina upupu,pata shule kidogo in fact pata shule sana

Yaa tumia kiswahili ueleweke kuliko kubaka lugha ya wenzio!
 
Ndio shida ya wengine mkikunwa mnakimbilia watu wakapime, Unapoongea kitu uwe na uhakika wewe unabwata tu umejipima kama una akili kamili. Au ndio nyie wenye hasira kuwa umaskini wenu umeletwa na kina chenge? Kabla hujasimulia kitu kifanyie utafiti uwe na uhakika sio kubuni tu kufurahisha ukurasa

Of all pple, wewe ndio wa kukuna watu hapa!
 
kingereza ndio lugha ya dunia sasa kwahiyo kama unaona I'm raping the language you simply confirm my intial comment regarding your foolishness, education is the key dear

Unatumia very poor english na una makosa kibao kwenye maandishi yako so andika the right way au tumia tu kiswahili na utaeleweka vizuri huku ukipata dozi yako three times a day.
 
There is a lot of guys out here who will stand by him. Wale ambao tumechoka na dhana yha ujinga huu wa umaskini. Huhitaji kuwa chenge kujua haya unahitaji kusoma japo kidogo tu na kuacha ushabiki.

....dhana kubwa ya kijinga na ya kushangaza ambayo imeonekana katika saga hili ni ile ya kuona mmoja wa the so called H - alumni akitoa pesa za kigeni kutoka katika Taifa lake analoliongoza na kuzipeleka nchi nyingine bila kujali ambacho zingeweza kufanya katika uchumi wa nchi yake kwa kipindi ambacho zitakuwa offshore...huku akiendeleza mijadala kwenye majukwaa ya siasa kuhusu wananchi kuwekeza sehemu wanazotoka na kwenye mabenki ya Tanzania!!!
 
no africa ni maskini kwasababu watu kama wewe hawataki kufanya kazi kwa bidi juu ya kazi, wanaona darasa limejaa nyuki na viti vina upupu,pata shule kidogo in fact pata shule sana

Kweli kabisa. Hawa ndio wale ambao baba zao walikuwa madarakani huko nyuma na hawakutaka kusoma wakidhani kuwa tanzania itaendelea kusimama hawakujua kuwa ulimwengu huwa hausimami. Kasomeni nyie ndugu,

Sasa wanaona wenzao wanakazana hata kusomesha watoto wao wanapata donge
 
Kisomo unachosema ni hiki chako? KUna watu wamesoma na watoto wao wanasoma na so far you are not one of them.
 
Ndio shida ya wengine mkikunwa mnakimbilia watu wakapime, Unapoongea kitu uwe na uhakika wewe unabwata tu umejipima kama una akili kamili. Au ndio nyie wenye hasira kuwa umaskini wenu umeletwa na kina chenge? Kabla hujasimulia kitu kifanyie utafiti uwe na uhakika sio kubuni tu kufurahisha ukurasa

Tanzania hamna utafiti hata kwenye habari, watu wanataka kurukia habari tu ilimradi wapate chakusema. kujielimisha kabla ya kufungua mdomo ni kitu kigumu it seems
 
Bebeh ngosha, vipi tena... mbona unakubali uBongo wako halafu unakuwa kama umekunywa chang'aa kwa kutumia sinia vile na kujing'atua kwa ghafla?! ......kinehe egeteh?!!!

Ngosha, hapa hamna u mr nice wa kisuku. To deal with this issue is simple. Dont follow the rules, dont follow the law. You try and follow the law with someone who has money, you are screwing yourself.

The will of the Tanzania people is not strong for change. Mimi na wewe, JF, we are nothing. The majority of people who can make a massive change wako vijijini, unions etc......hao wanaohesabika, ndio wamelala. Sina huruma na mtu aliye mzito wa akili kujiletea mabadiliko maishani.
 
Haya mawazo yako yana nafasi yake kuleeee........!
 
Tanzania hamna utafiti hata kwenye habari, watu wanataka kurukia habari tu ilimradi wapate chakusema. kujielimisha kabla ya kufungua mdomo ni kitu kigumu it seems

Ungejielemisha kabla ya "kujisajili" na kuanza kujiabisha hapa, ungekuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa ushauri. So far inaonekana wewe unayejiita Havard alumni (in my sleep) ndiye unafaa kujielemisha.
 
Wewe ulijua mkono anapata pesa hiyo? Si mpaka mlipopewa mahesabu hapa juzi? Chenge akitoa mahesabu je?

Nyerere alikuwa mjamaa, hangeweza kutengeneza pesa hiyo kwenye peak yake. Labda angekuwa mzima leo hii angefikiri kibepari angeingiza pesa hiyo kiulaini. Kwanza wazungu hawakumpenda, zaidi ya labda wascandinavia. Kwanza walikuwa wanamwona mzibaji wa dili za kuiba bongo. Nina uhakika Mandela akitaka kuingiza hela hiyo sasa hivi ataingiza (labda anaingiza), na hana ujuzi wa maana.

Usifananishe nafasi aliyokuwa nayo Chenge, na PM Sumaye. Infact, we una uhakika gani hiyo pesa Sumaye hana nje? Tuliza boli.

I am real surprised at the fact that most people in here dont realise that Chenge is a gold-mine of information and he can command that money if he made the right moves. If you cant see that, then you are really underestimating the value of africa to the west.

Sikutaka kuingia humu lakini kwa hili imenibidi! Unamlinganisha Chenge na Madiba? Inaelekea wewe kipimo chako ni fedha, basi niambie Bill Gates,Steve Jobs, Ted Turner,Carlos Slim n.k. wana madigrii mangapi na kutoka wapi? Hata huyo unayemtetea atakuona punguani akisikia unamlinganisha na Madiba!

With all due respect, hiyo font of knowledge aliyoipata kama Attorney General Tanzania ni ipi ambayo itamfanya Mheshimiwa awe hot cake katika the lecture circuit? Mchango wake katika fani yake hapa DUNIANI ni upi? Hao watu wa magharibi, mheshimiwa ataenda kuwaambia kipi ambacho hawajui? Kwamba watu wanakula? Kwamba mikataba yetu ni bomu? Kipi, mkuu?

Mheshimiwa hakukosea alipoziita zile fedha ni vijisenti! Katika darubini ya dunia, vile vijisenti havitoshi hata kumnunulia Maria Carey pete ya uchumba. Ndiyo maana wamemtupa chini ya basi. Ni expendable kwao. Tofauti na wasaudi ambao ndiyo haswa walikula fedha na siyo vijisenti.

Wakati mwingine naona JF walifanya makosa kutuvisha hivi vilemba vya ukoka vya SENIOR EXPERT MEMBER maana wengine kweli tunaanza kuamini kuwa kweli ni wakali wakati hamna kitu!
 
Ungejielemisha kabla ya "kujisajili" na kuanza kujiabisha hapa, ungekuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa ushauri. So far inaonekana wewe unayejiita Havard alumni (in my sleep) ndiye unafaa kujielemisha.

dah hata kusoma ngumu kwako sindiyo. nimesema nimeeda harvard, nilisema kusoma? wewe umefika ukauliza the law faculty kama chenge is part of the alumni, maana mimi nimefanya! Je wewe unaushahidi gani kwamba chenge ana mabilioni? magazeti yamekuambia, magazeti hayo hayo yanojulikana kuzusha hadithi ili kuuza? subiri matokeo dada? hivi aliuwa wangapi kwenu tena?
 
vijisent (sent) ni fraction ya kile ulichonacho. Kwa maana hii Chenge anazo zaidi ya zile zilizopatikana katika akaunti husika ya vijisenti.

Hypothetically inawezekana. Lakini kwa nafasi ya AG wa Tanzania na bila kuwa na international exposure yoyote katika uwanja wa kimataifa hiyo degree yake ni sawa na digrii za kutoka vyuo vingine tu. Na hata hapo Tanzania bila kujiingiza kwenye siasa hakuwemo kwenye daftari ya who's who.

Kumbe ndi hoja kuwa hapa bongo kuna watu na vijiwatu? hivyo chenge hapaswi kuwa mtu kabi kajitu. Poleni sana ndugu zangu hakuna mtu maskikini duniani kila mtu hupanda kwa kadri ya kuhangaika kwake nyie mliokuwa juu sasa mmeporomoka ndio hasira zenu tumeziona hapa hapa, Hebu nitajie hao ambao wako kwenye hilo daftari takatifu la wateule wa mungu wa tanzania
 
Sikutaka kuingia humu lakini kwa hili imenibidi! Unamlinganisha Chenge na Madiba? Inaelekea wewe kipimo chako ni fedha, basi niambie Bill Gates,Steve Jobs, Ted Turner,Carlos Slim n.k. wana madigrii mangapi na kutoka wapi? Hata huyo unayemtetea atakuona punguani akisikia unamlinganisha na Madiba!

With all due respect, hiyo font of knowledge aliyoipata kama Attorney General Tanzania ni ipi ambayo itamfanya Mheshimiwa awe hot cake katika the lecture circuit? Mchango wake katika fani yake hapa DUNIANI ni upi?

Wakati mwingine naona JF walifanya makosa kutuvisha hivi vilemba vya ukoka vya SENIOR EXPERT MEMBER maana wengine kweli tunaanza kuamini kuwa kweli ni wakali wakati hamna kitu!

Mkulu Fundi Mchundo,

kwi kwi kwi..... yaani hapa umemaliza kila kitu.
kwi kwi kwi... ngoja niende kuanza weekend yangu maana hii sasa ni kali kuliko mwarobaini!

kwi kwi kwi ... hii ni nzuri kwa kuanzia weekend!
 
dah hata kusoma ngumu kwako sindiyo. nimesema nimeeda harvard, nilisema kusoma? wewe umefika ukauliza the law faculty kama chenge is part of the alumni, maana mimi nimefanya! Je wewe unaushahidi gani kwamba chenge ana mabilioni? magazeti yamekuambia, magazeti hayo hayo yanojulikana kuzusha hadithi ili kuuza? subiri matokeo dada? hivi aliuwa wangapi kwenu tena?

Naona unakana 'elimu' yako baada ya joto kuzidi jikoni sio!
 
Ngosha, hapa hamna u mr nice wa kisuku. To deal with this issue is simple. Dont follow the rules, dont follow the law. You try and follow the law with someone who has money, you are screwing yourself.

The will of the Tanzania people is not strong for change. Mimi na wewe, JF, we are nothing. The majority of people who can make a massive change wako vijijini, unions etc......hao wanaohesabika, ndio wamelala. Sina huruma na mtu aliye mzito wa akili kujiletea mabadiliko maishani.
..... kwa hiyo utatumia mbinu zote including elimu yako kum-squeeze mtu asiyeelimika/masikini hadi abadilike rangi na kuwa wa manjano na adondoke kama bua la mhindi lililo kavu?!........ Wakoloni ndivyo walivyotufanyia hivi, kwa maandishi yako nasi tuamue kufanyiziana sisi kwa sisi na siyo kuwafanyizia wao....duuuuh.... ng'wanone, ngoja tu nikuache na dhana yako ya ushing'weng'we/shirikale hiyo!! lol
 
Naona unakana 'elimu' yako baada ya joto kuzidi jikoni sio!

hata siku moja. unlike you, I value my education, I value world issues. So far you've proved your ignorance and foolishness. Endelea na lugha yako yakitaifa sijuwi itakufikisha wapi na ulimwengu hu?
 
Back
Top Bottom