Wenye akili tumesha jua kuwa kilialibiwa makusudi ili muarabu apate nafasi kwa kuvusha watu na kuchukua pesaDar es Salaam. Ili kuendelea kuwapa wananchi huduma huduma ya uhakika, kwenye safari za Magogoni na Kigamboni Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Tamesa) imefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine ya kuvusha abiria.
mesa imewashauri wananchi kuacha kutumia mitumbwi ili kulinda usalama wao.
Source: Mwananchi
Ni hujuma inayo fanya na watu binafsi kwa kushirikiana na watu serikalini ....hicho kivuko kimearibiwa makusudiMimi binafsi nimejiskia aibu. Mtu binafsi kuwa na huduma nzuri kuliko serikali inayochukua kodi kila kona
Hivi hawa temesa wanamiliki boti ngapi pale kigamboni.ni moja au!kama ni moja sawa lkn kama wanazo zaid mhhhhh.Hivi Temesa kuna mtu mwenye ubongo kweli? Maana kwanza ncheke ..
Hii TZ hatujui tunataka niniTatizo ni nchi kukosa vipaumbele.
Mwenge unakimbuzwa kwa mabilioni ya pesa huku watu hawana kivuko.
Waloshaingia ubia zaidi ya mara moja shirika likafa kabisaSerikali hawawezagi kufanya biashara
Hata hizo ndege bora waingie ubia na shirika binafsi 60/40 wagawane
Ova
Hiyo nchi ina hisa kwenye kampuni ya Benz, naomba kujua kwanini walitoa hilo shartiBakharesa ni habari nyingine ktk investment, niliwah kusikia alivyo kwenda kuwekeza ktk nchi fulan ndogo hapa EAC, eti walimpa masharti lzm lori zake ziwe ni Benzi na madereva wawe toka iyo nchi ..
Basi nasikia na yy hakufanya ajizi akawapa ile kitu roho yao ilikuwa ina penda, sasa iv nasikia ndio amekamata iyo nchi in term of business anazamin mpaka ligi ya mpira wa miguu wa iyo nchi
Na mwendokasi piaMradi wa ferry una wateja wa uhakika kila saa kuna nyomi sijui Serikali wanashindwa vipi biashara kama hizi.
Ni sawa na Tanesco tu wateja kila eneo lakini wanajiendesha kwa hasara.
Sijui ilo maana na mm nili ambiwa ivyo na dereva mmoja wa malori ana kwenda sana ktk hako ka nchiHiyo nchi ina hisa kwenye kampuni ya Benz, naomba kujua kwanini walitoa hilo sharti
Kwa hiyo tukusaidieje!!?Enzi na utawala wa naniliu alizuiliwa alivyoomba kuvusha watu.
Kisha mataahira ya ufipa yangeaanza kumuuta mshamba!Mzilankende Angewafurusha Temesa Haraka Yaani Wapo Ofisini Kivuko Kibovu
ILE MAGUFULI ALISEMA AIMEIPA JESHI SASA UNAONGELEA VIFAA VYA JESHI UNAKITAFUTA CHA MTEMAKUNIKwani kile Kivuko kilichogeuzwa meli ya kivita kiko wapi kitumike wakati huu wa dharura?
Kufanya muwekezaji wala sio kosa,sisi tunachohitaji ni huduma na serikali ipate mapato basi,kwanza siyo jukumu la serikali kufanya biashara,wanatakiwa watuwezeshe wananchi tufanye,siyo lazima bakhresa tu hata ww kama unawezo wa kuleta kivuko bora upeleke mkashindane na bakhresa,sisi tutakachoangalia ni kuvuka kwa haraka na kwa usalama! TEMESA wabaki kusmamia ubora na usalama wetu sisi raiaHii nchi tunateseka sana, umpe mwekezaji halafu wewe itengeneze zipone ndo urudi kutoa huduma?? Dah, nchi inapotea,hiyo Magogoni ndo itakuwa imetoweka kiivo tena, mwekezaji yuko tayari kuhujumu hiyo Magogoni isipipone abadani, mtaniambia siku moja