Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,003
- 3,437
Inasikitisha saaaaana. pole lakini..Nipo DODOMA sehemu inaitwa KIBAIGWA Nimeomba kuunganishiwa umeme baada ya mradi wa REA kukamilika na kuwashwa katika eneo langu miezi 3 iliyopita nimejaza fomu NiKonect imepitishwa na mkandarasi surveyor akaja akasema natakiwa nguzo mbili nikamwambia nipo tayari kulipa izo gharama nipewe control number akasema sio leo wala kesho kupata control number mpaka mradi utakapokabidhiwa Tanesco nikamuuliza lini akasema hajui mkataba ukoje lkn inaweza kuchukua mwaka mzima NIMESIKITISHWA SANA NA HIZI TARATIBU ZA KIZAMANI. MTEJA NIPO TAYARI KULIPA GHARAMA YA NGUZO ZINIFATE NIUNGANISHIWE UMEME NAAMBIWA NIKAE MWAKA MZIMA KUSUBIRI.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app