Tatizo la umeme kukatika katika kata ya IKONDO wilaya MULEBA mkoa KAGERA ni changamoto maana linakwamisha shughuli za maendeleo watu tunashindwa kuzalisha kisa umeme.
Leo toka mchana mpaka usiku huu hatuna umeme wakati maeneo ya jirani yana umeme na ukizingatia hizi ni nyakati za sikukuu. TANESCO tusaidieni kuturejeshea huduma ya umeme kata IKONDO.
 
Ndugu Mteja!

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora

Jina

Mkoa

Wilaya

Eneo

Namba ya simu

Tatizo

makao makuu 0748550000 ^NM
 
Mbona kwenye ujumbe wangu nmeonesha Kila kitu
Mkoa. KAGERA
Wilaya. MULEBA
Eneo. Kata IKONDO vijiji vya Kamishango.Bumpande na IKONDO.
Tatizo. Huduma ya umeme imekatika toka leo asubuhi mpaka mda huu na hatuoni mafundi wenu wakifanya jitihada za kutatua Hilo tatizo
Mawasiliano. 0757504873
TANESCO
 
Ndugu Mteja
Tunashukuru kwa taarifa, tunaomba uvumilivu taarifa zako tumewasilisha kwa wataalamu wetu kwa utatuzi zaidi. namba yako ya huduma ni KGR122022TB-1688.tunaomba radhi kwa adha yoyote mnayopitia.Ahsante
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000 ^EB
 
Tutashukuru maana tumelala gizani
TANESCO na kazi zinakwama
 
Tanesco pole na majukumu yenu ya kuliangaza taifa, kazi yenu ngumu na inahitaji moyo wakujitolea hasa ndipo kazi zitaenda.Pamoja na hayo naomba kufahamu gharama za kuweka umeme kwa mtu anayehitaji nguzo moja, nguzo 2 nguzo 3 na zaidi na yuko maeneo ya vijijini.Ukienda tanesco yoyote tanzania wengi watakwambia hatuwezi kukupa gharama mpaka fundi wetu aje site apime, hivi ni kweli kwa kwa uzoefu wenu mwanakijiji anahitaji umeme wa kawaida tu hamuwezi kujua gharama yake hata kwa kukadiria tu mpaka engineer afike site? Kwanini hili jambo la kujua gharama ya umeme limekuwa siri sana huko tanesco?.Tatizo ni nini hasa? Kwa kuficha gharama watanzania tumekuwa tunahisi kupigwa cha juu na hiyo upelekea tanesco kuwa na sifa mbaya sana.Tafadhari jitokezeni mtuwekee gharama halisi za kuweka umeme majumbani mwetu hasa huko vijini.Wakati mwingine huwa najiuliza hivi waziri wa nishati akienda nchi za nje akaulizwa swali na mwandishi wa habari hebu tupe gharama za kuweka umeme kwa mwanakijiji anahitaji nguzo 1,2,3,au zaidi sijui na yeye atasema ndugu mwandishi mpaka uje site??
 
Ndugu Mteja! pole kwa adha yoyote uliopata,
Zifuatazo ni gharama halisi za kuunganishiwa umeme,
  • Gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 320,960/=,
  • Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=,
  • Umbali wa njia moja ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
  • Aidha, gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
  • Mteja wa njia tatu ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
  • Umbali wa njia tatu ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=.
Zingatia
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/= kama ilivyoelekezwa na EWURA.
NB: Gharama zote zimejumuisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT).
TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000 ^EB
 
Ahsante sana kwa majibu mazuri bado tatizo liko palepale swali langu linahusu vijijini, ni nani ana sifa ya kulipia sh 27,000 huko vijijini, kuna mtu yuko umbali wa mita 200 kutoka mahali miundo mbinu ya tanesco naye atalipa hiyo sh 27,000 tu? Au analipa zaidi Au sh 27,000 Inaishia wapi ? Nguzo 1, 2, 3, wote tunafahamu maeneo ya vijijini sio sawa na mjini watu wako umbali mrefu tokaka mtu na mtu, nyumba na nyumba kutoka nyumba moja kwenda nyingine yaweza kuwa nguzo 3 hadi 4 je naye atalipa sh 27,000 tu kwa hizo nguzo 4? Naomba usinichoke nataka kujua hilo tu kama ulivyofafanua upande wa mjini.
 
Ndugu Sengobad, gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/= kama ilivyoelekezwa na EWURA.
 
Mpaka Sasa huduma haijalejea wakuu tanesco kagera MULEBA hawako siriazi maana njaa zinaua kwani watu tunaishi kwa kutegemea umeme lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea wao wakiwa na mwanga hawawafikirii wengine tusaidieni makao makuu japo tupate hata kujikimu tunakufa njaa kisa umeme TANESCO tuhurumie
 
Habari za leo
Naomba nisaidiwe.
Nguzo imeanguka ikazuiwa na mti.
Na nyingine imeinama kabisa usawa wa nyumba.
Eneo ni Mamba Kimangaro kilimanjaro. Mtaa wa Kowaro nyumba namba 95. Ofisi inayotupa huduma ni Himo.
IMG_20221225_143456.jpg
IMG_20221225_143223.jpg

Tumetoa taarifa wamefika kuona muda mrefu hawajarejea. Nahofia usalama. Tatizo lina zaidi ya miezi mitatu sasa.
Jina. Peter Zephania Njau
0754263013.
 
Habari za leo
Naomba nisaidiwe.
Nguzo imeanguka ikazuiwa na mti.
Na nyingine imeinama kabisa usawa wa nyumba.
Eneo ni Mamba Kimangaro kilimanjaro. Mtaa wa Kowaro nyumba namba 95. Ofisi inayotupa huduma ni Himo.
View attachment 2457752View attachment 2457753

Tumetoa taarifa wamefika kuona muda mrefu hawajarejea. Nahofia usalama. Tatizo lina zaidi ya miezi mitatu sasa.
Jina. Peter Zephania Njau
0754263013.
Ndugu Mteja.
poleni kwa changamoto, tumeipokea taarifa kwa utekelezaji wa haraka, Tunawaomba radhi kwa adha yeyote mnayoyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000^EB
 
Asante. Natanguliza shukrani.
 
Sisi huku kwetu pongwe tanga Leo Christmas tunashinda bila umeme ni aibu tupu miaka 61 yauhuru kukaa giza
 
Ndugu mteja
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, Shirika linaomba radhi kwa adha iliyojitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendelea ili kuboresha huduma zetu.Tunaomba uvumilivu wako wakati unasubiri huduma tafadhali
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
^SK
 
Hivi ukilipia umeme ni ndani ya siku ngapi unaunganishwa nimelipia juzi laki tano na 16 je ni siku ngapi inachukua ili niunganishiwe umeme
 
Tutashukuru maana tumelala gizani
TANESCO na kazi zinakwama
Kwakweli mmetutesa sana TANESCO Kagera wiliya Muleba kata IKONDO leo siku ya pili tunalala gizani na shughuli za kiuchumi zinakwama kukaa gizani cijui ndo mmeona kunatufaa hata sikukuu hatjaifaidi yani Kama tupo kisiwani miaka 61 ya uhuru umeme Bado ni tatizo ni aibu kubwa sana tuhurumieni jamani TANESCO
 
Back
Top Bottom