goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 806
- 890
Asante sana ila inatia shaka na inasikitisha sana kuona mpaka leo tupo na taratibu za kizamani kwenye Dunia inayoenda kasi kwa maendeleo ya technolojiaInasikitisha saaaaana. pole lakini..
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app