Nipo DODOMA sehemu inaitwa KIBAIGWA Nimeomba kuunganishiwa umeme baada ya mradi wa REA kukamilika na kuwashwa katika eneo langu miezi 3 iliyopita nimejaza fomu NiKonect imepitishwa na mkandarasi surveyor akaja akasema natakiwa nguzo mbili nikamwambia nipo tayari kulipa izo gharama nipewe control number akasema sio leo wala kesho kupata control number mpaka mradi utakapokabidhiwa Tanesco nikamuuliza lini akasema hajui mkataba ukoje lkn inaweza kuchukua mwaka mzima NIMESIKITISHWA SANA NA HIZI TARATIBU ZA KIZAMANI. MTEJA NIPO TAYARI KULIPA GHARAMA YA NGUZO ZINIFATE NIUNGANISHIWE UMEME NAAMBIWA NIKAE MWAKA MZIMA KUSUBIRI.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Inasikitisha saaaaana. pole lakini..
 
Asante sana ila inatia shaka na inasikitisha sana kuona mpaka leo tupo na taratibu za kizamani kwenye Dunia inayoenda kasi kwa maendeleo ya technolojia

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
wanakasirisha mkuu mm shughul yangu inategemea umeme pakubwa lakini hata umeme wenyewe haueleweki nafikiria hata kubadili kazi ila ntakuwa nimepata loss c mchezo.....
 
Duuuuh nchi yangu Tanzania Tannzania Tanzania
kweli Gerezani yote Umeme hakuna au kwa kuwa ndio majenereta yanapopatikana kwa maduka ya jumla mmeamua kukata umeme?

any way kesho Jtatu watanunua kwa kasi maana hata tangazo kwamba siku fulani wakati fulani mtakata umeme siku hizi mmeacha kutupatia habari

Si mbinafsishe tuu shirika ili mjiendeshe kibiashara zaidi kuliko kutesa watu namna hii?

Kwa nn kutesa mioyo ya Watanzania kiasi hiki au mnafanya haya kwa maslahi ya nani?

Mungu tunusuru na hili shirika pendwa la serikali kila uchao linajiendesha kwa hasara mara lina madeni

Ipo siku yatapatikana mashirika binafsi ya kuleta ushindani kwenu kila mmoja aamue wapi pa kwenda nina ndoto watakuja tokea wasomi watakao liona jambo hilo na kulifanyia kazi swala la kampuni binafsi
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania
 
Naomba namba ya Tanesco emergence Kisarawe....

katika dunia ya leo mawasiliano yao hayapo kwenye mtandao.....

Naomba namba ya emergence sasa hivi sababu kuna emergence mtaani sasa hivi..,
 
Nyie tanesco, mnawafanyia vibaya wale vibarua, amtoi ajira kwa vibarua watu wanakuwa vibarua kwa muda mrefu, kuweni na huruma nao vibarua, familia zinawatengemea, toweni ajira rasmi mtu kibarua miaka mitano kweli jamani?
 
TANESCO , nimli ibiwa mita ya LUKU na nikatoa taarifa kituoni, nimelipia na huu ni mwezi wa tatu sasa sijapata majibu, tafadhali sana naombeni mnijuze nitumie mbinu za kijeshi kupata luku au niwaache hawa TANESCO mpaka siku watakapoa amua kunipatia?
 
Tanesco hivi mnashida gani nyie?

Mbinga umeme tokea juzi hakuna,

Aisee mnakera nyie, nimeacha mahindi mashine tokea juzi j,tatu

Mnavyokata umeme muwage mnafikiria kwanza,
 
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
Tanesco Mwanza mnagawa umeme kwa upendeleo, maeneo ya Lumala, Pasiasi, Kiseke na Igogo mgao umekithiri, lakini maeneo ya Mkolani, Buhongwa Capri point umeme haukatiki, huu ni upendeleo wa wazi, shida nn.
 
Ndugu mteja
Shirika linaomba radhi kwa adha iliyojitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendelea ili kuboresha huduma zetu.
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
^SK
 
Tanesco hivi mnashida gani nyie?

Mbinga umeme tokea juzi hakuna,

Aisee mnakera nyie, nimeacha mahindi mashine tokea juzi j,tatu

Mnavyokata umeme muwage mnafikiria kwanza,
Ndugu mteja
Shirika linaomba radhi kwa adha iliyojitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendelea ili kuboresha huduma zetu.
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
^SK
 
Ndugu mteja
Shirika linaomba radhi kwa adha iliyojitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendelea ili kuboresha huduma zetu.
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 0748 550000
^SK
Hayo maboresho yataishaga kweli?????

Mbinga umeme tokea j,3 mmekata,
 
Nchi yetu imebarikiwa sn rasilimali. Km tukiamua kulipa kipaombele shirika hili tunaweza
1.kuvuna umeme kupitia upepo mfano kutumia binde la ufa.
2.kupitia solar systems hapa veta/DIT mgewashirikisha kwenye project km hii sidhani tungeshindwa. ..they have to produce solar system sasa.
3.kuanza fikiria maji ya bahari km njia mbadala ya maji. .kuyaondoa chumvi nakua maji safi for hydro system za umeme.
 
Yeah ! Unatengeneza mfumo wa kuvuna maji ya bahar na kuyaingiza kwenye mfumo au mzunguko ambao kila maji yanavyoingia yanarun pump ya kuvuna maji. Unakuwa umesolve. Kasheshe mainjinia wetu washamba sana.

Kwa sababu chunvi itakuwa inaakula vipuli. Lakini tunaweza kisahau adha ya tatizo la maji Kwa kuyavuna ya bahar
 
Wanaweza fanya filtration nakuyafanya yawe maji baridi. ..they can ilahawajaamua
 
Back
Top Bottom