kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,275
- 1,698
Jana (10 June, 2019) tulinunua umeme wa luku (mita namba 43002630549) na kupewa units 16-kwa TZS 5900-badala ya 48 units za mwanzo kwa kuwa umepita mwezi na siku kadhaaa tangu tununue wa hapo awali. Sijajua tatizo ni nini?Tunashukuru sana mpendqa mteja,endelea kufurahia huduma zetu
Lakini pia, kila tukijaribu kuingiza token za unit 16 tulizopewa kwenye mita hiyo, inagoma kujibu na badala yake inaendelea kuandika unit 0.0
Je, sababu ni nini?