Tunashukuru sana mpendqa mteja,endelea kufurahia huduma zetu
Jana (10 June, 2019) tulinunua umeme wa luku (mita namba 43002630549) na kupewa units 16-kwa TZS 5900-badala ya 48 units za mwanzo kwa kuwa umepita mwezi na siku kadhaaa tangu tununue wa hapo awali. Sijajua tatizo ni nini?
Lakini pia, kila tukijaribu kuingiza token za unit 16 tulizopewa kwenye mita hiyo, inagoma kujibu na badala yake inaendelea kuandika unit 0.0
Je, sababu ni nini?
 
Karibu
IMG-20190611-WA0017.jpeg
 
Tunaomba kuona hizo token za unit 16 tafadhali

5397 8789 8197 1556 4421
 
5397 8789 8197 1556 4421
Yap! token ndiyo hizo, ila tuliwasiliana kwa kutumia namba yenu ya huduma kwa mteja na walirekebisha activation number ya mita ambayo ilionekana imekosewa. Tumefanikiwa kuingiza token hizo na mita sasa inasoma 16.6 units.
Sasa swali linabaki kwa nini tumepewa units 16.6 badala ya 48 kwa TZS 5900 kama ambazo tulikuwa tukipewa? Na tangu tununuwe umeme kabla ya Jana, umepita mwezi na siku kadhaa.
 
Yap! token ndiyo hizo, ila tuliwasiliana kwa kutumia namba yenu ya huduma kwa mteja na walirekebisha activation number ya mita ambayo ilionekana imekosewa. Tumefanikiwa kuingiza token hizo na mita sasa inasoma 16 units.
Sasa swali linabaki kwa nini tumepewa units 16.6 badala ya 48 kwa TZS 5900 kama ambazo tulikuwa tukipewa?
Mtakuwa mmeshanunua zaidi ya unit 75 kwa mwezi
 
TANESCO mjitathimini uendeshaji wenu wa shirika kwani ni miaka na miaka sasa imepita tatizo la kukatika umeme imekuwa kero utadhani ndo SERA YA TAIFA.

Ifike wakati tuache mazoea,umeme ndo kila kitu katika ukuaji wa uchumi wa nchi nyingi dunia kwan big investment zinategemea sana umeme lakini pia hata watu wa kawaida wanategemea umeme kuingiza kipato na kipato kinavyoingia kwa mtu mmoja mmoja ndio uchumi unakuwa lakini pia stability ya umeme inavutia wawekezaji.
Naomba niwakumbushe Rais wetu alisema hii ni Tz ya viwanda je na nyinyi mnalijua hili?? Ukizungumzia kiwanda unazungumzia na umeme.

Kwa kuhitimisha tuache mazoea kazini,tuwe wabunifu and tutumie elimu zetu kwa ndugu zetu wa Tz kwa mustakabali wa taifa hili linaloendelea.
Umeme hapa moshi unakatika katika sana
 
Hakuna gharama yeyeote mpendwa mteja wetu
Nakumbuka nilijaza fomu ya kupatiwa huduma ya umeme mwezi wa pili wilaya ya bagamoyo nikaambiwa atakuja surveyor mpaka leo hajaja na namba yangu ya simu niliiacha kwenye fomu.
 
nimerudisha form ya kuunganishiwa umeme tarehe ya survey nimepangiwa tarehe 4 october 2019 je hii ni sawa??
 
aisee waheshimiwa hapa tegeta mivumoni kuna matatizo gani???? umeme siku ya tano leo ukikatika asubuhi ni hadi saa 12, SASA HAPA NAFANYAJE KAZI NA COMPUTER IMEISHA CHARGE??? YAANI MNANIKOSESHA HELA NYIE JAMAA MUNGU ANAWAONA NYIE.....
 
Kuna utaratibu gani wa kufuata pindi remote mita(kifaakinachotumika kuingizia token) inapokuwa imehaeibika?
 
Tanesco jana tumenunua umeme wa elfu tano bahati mbaya ile karatasi ya tokeni imepotea stend ya ubungo tulivoenda kumpokea mgeni, sijui mtatusaidieje? Namba ya meter 37210012797 jina Williamu Ole Mungaya.
 
TANESCO jana tumenunua umeme wa sh 5,000 kwa wakala, bahati mbaya ile karatasi ya Token imepotea tulivokua stend kumpokea mgeni, tunaomba msaada wenu, namba ya mita 37210012797 jina Williamu Ole Mungaya.
 
Tanesco jana Jumanne tarehe 11 mwezi wa sita mwaka 2019 tulinunua umeme wa sh 5,000, nadhani utakua wa sh 4,900 maana hua wanakata sh 100, lakini kwa bahati mbaya ile karatasi tuliipoteza stend wakati wa kumpokea mgeni, tunaomba msaada wenu, namba ya mita 37210012797 jina Williamu Ole Mungaya.
 
Back
Top Bottom