Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 2,724
- 5,362
Tanesco mbona mi nimekutumia namba yangu ya simu na mita kwenye direct message ila hakuna mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanesco mbona mi nimekutumia namba yangu ya simu na mita kwenye direct message ila hakuna mrejesho.
Moshi eneo la mjohoroni Shia hakuna umeme wiki sana. Simu ikipigwa majibu 'mafundi wanakuja sasa hivi' wiki sasa,,Kulikoniii
Tunafatilia mpendea mteja wetuMradi wa REA kule Mpiji Station Wilaya ya Kibaha (V) umesimama kabisa.Baadhi ya nguzo zimeshasimamishwa lakini nyingi bado zipo chini zinaoza.Mafundi tangu waende kula Christmas mpaka leo hawajarudi.Nauliza hivi nini hatma ya mradi huu? Kulikoni? Watu wanahitaji sana huu umeme,tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapata ujumbe gani namba ya simu na namba ya mita tafadhaliMimi nimefungiwa umeme wiki mbili zilizopita Leo nimenunua luku tanesco nimeweka tokea asubui haiingii nashindwa elewa labda luku ikiwa mpya kuna njia nyingine yakueka units naomba kusaidiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea October mkuu hadi sasa? Tushazoea lakini hata wasipoturejesha kwenye tariff 4
Namba ya simu tafadhaliNina meter no 430113227277, nilifungiwa hiyo meter tarehe 22 january 2019 ikiwa na unit 10 baada ya kuisha nikajaribu kununua unit lakini kila nikiingiza inaniandikia no, na nimetoa taarifa kituo cha nyakato mwanza nikapewa emergency no 0042 lakini mpaka sasa sijapata msaada wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepokea kwa hatua zaidiNina meter no 430113227277, nilifungiwa hiyo meter tarehe 22 january 2019 ikiwa na unit 10 baada ya kuisha nikajaribu kununua unit lakini kila nikiingiza inaniandikia no, na nimetoa taarifa kituo cha nyakato mwanza nikapewa emergency no 0042 lakini mpaka sasa sijapata msaada wowote.
Namba yangu ya simu ni 0753307374
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app