chachamarwa
Member
- Feb 24, 2019
- 6
- 0
Sent using Jamii Forums mobile app
V6cTanesco mbona hamjitokezi kwa wakati kujibu hoja na shida za wateja wenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina na namba ya simu uliyotumia tafadhaliKutoka Moshi -Kilimanjaro
Ni miezi 6 imepita toka nilipie gharama za kufungiwa umeme. Lakini hadi leo sijabahatika kufungiwa, tatizo uhaba wa nguzo ambao hujitokeza mara kwa mara. Mbaya zaidi wanasema kituo cha tanesco Moshi municipal ngzo zipo ila kwa kituo cha Himo nguzo hamna. Je mmejipangaje kuzuia hii kero kwa wananchi wanaotegemea huduma kutoka kituo cha Himo- Kilimanjaro?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wapo kimya, hadi sasa changamoto bado ipoTANESCO leo kuna shida gani hatuwezi kununua umeme kwenye simu wala mawakala wa Selcom??? Sehemu nilipo hakuna wakala wa TANESCO napata huduma kwa njia gani?? Naombeni jibu mana hakuna access yoyote ya kununua umeme leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Joto la Dar nyuzi joto 30 tu unalalamika,njoo hapa Dubai uchezee 44 ndio utaacha kulalamikaToka saa 12:40 jioni tunanunua umeme kupitia simu huduma haipatikani.Hebu tuambieni Kuna tatizo gani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam, ni mara nyingi nimeomba kusaidiwa kuhusu suala la REA na mmehaidi mara nyingi kuwa mnalishughulikia na mtanipa mrejesho lakini hadi leo sijaona majibu yoyote. Suala lenyewe ni kwamba katika kitongoji cha KIJUKA kilichopo kwenye kijiji cha MABUYE kata ya KASSAMBYA wilaya ya MISSENYI mkoani KAGERA. Kitongoji cha KIJUKA kilirukwa katika kupatiwa umeme wa REA japo taarifa zilizopo ni kwamba mkandarasi ambaye alikuwa anashughulika na kuweka umeme kwenye kijiji cha MABUYE ambamo kuna kitongoji cha KIJUKA hakupewa RAMANI YA KITONGOJI CHA KIJUKA hivyo hakuweza kufanya lolote ndani ya kitongoji hiki. Jambo hili tumejaribu kulifuatilia karibia ngazi zote za chini lakini hakuna matumaini ya kusaidiwa. Aidha kitongoji hiki kina sifa zote za kupatiwa umeme wa REA. Tafadhali tunaomba msaada kwa hili jambo, 0684542853 hiyo ni namba yanguKaribu mpendwa mteja.wilaya eneo namba ya simu na tatizo mpendwa mteja wetu
Sent using Jamii Forums mobile app