Duh tanesco leo ndo mmeona siku nzuri ya kukata umeme mkuyuni mwanza mechi tutaangaliaje sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
*FEBRUARI 16, 2019*

*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*

*TAARIFA YA MATENGENEZO YA MASHINE KITUO CHA KUFUA UMEME KWA GESI CHA UBUNGO II PAMOJA NA KITUO CHA SONGAS*

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Dar es Salaam na Zanzibar kuwa kutokana na kufanya maboresho makubwa yanayohusisha matengenezo ya mashine 3 za kituo cha ubungo II moja baada ya nyingine, uwekaji wa transfoma kubwa la MVA 300 kwenye kituo cha kupoza umeme cha Ubungo ili kukiongezea uwezo na kwenda sambamba na ukuaji wa mahitaji ya jiji la Dar es Salaam kutakuwa na mapungufu ya upatikanaji wa huduma ya umeme kwa maeneo tajwa.

Aidha, Kampuni ya Songas itafanya matengenezo kinga katika mashine zake. Matengenezo hayo katika vituo vya Ubungo na Songas yataendelea kwa awamu na yanatarajiwa
kukamilika ifikapo mwezi Juni , 2019.

Wataalamu wetu kwa Kushirikiana na Mkandarasi Kampuni ya SIEMENS kutoka nchini Sweden wanaendelea na matengenezo ya mashine na ubadilishaji wa vipuri ili kuongeza ufanisi zaidi katika uendeshaji wa mitambo hii na kuimarisha hali ya upatikanaji umeme kwa Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Zanzibar.

Huduma ya umeme haitakosekana kwa kipindi chote cha matengenezo ila kwa baadhi tu ya siku na nyakati.

Mashine hizo za Ubungo II na Songas zimeungwa katika mfumo wa usambazaji umeme wa msongo wa kilovolti 132 wa Dar es Salaam, Pwani na Zanzibar na hivyo kusababisha mapungufu katika maeneo tajwa.

Tutaendelea kutoa taarifa zaidi ya hali ya matengenezo inavyoendelea.

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

*Tunaomba radhi kwa usumbufu unakaojitokeza*

Tovuti: www.tanesco.co.tz,

*Mitandao ya kijamii*

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

*IMETOLEWA NA:*

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

Waathirika hapo si dar es salaam na Zanzibar mkuu? Mwanza inahusikaje

Hiki ndicho nisichopenda kabisa kusikia.
Kwa mantiki ya tangazo hili,hayo ni matengenezo ya kawaida yatokanayo na uchakavu kila baada ya muda fulani.
Ni kitu ambacho wenzetu huko duniani walishakifanyia alternative,umeme haukatwi huku maintenance zikiendelea.
Ndugu zangu,nikianza kuhesabu tangu 90's hadi sasa ni mara ngapi umeme unakatwa nchi hii kwa sababu za hivi,hatutamaliza kuhesabu.
Nikisema tangu nianzishe biashara yangu 20 years ago,hizi power outage zimenitia hasara kiasi gani,haina mfano,and im just one Tanzanian.What about all of us?our institutions,industries,business firms etc?hivi Tanesco mnajielewa umuhimu wa huduma yenu kwetu raia katika dunia ya leo?huu uboreshaji ulianza leo?kwa staili hii hii mtaendelea kukata umeme kwa vizazi vingapi vijavyo?2012 mlituambia baada ya mradi wa Songas,matatizo ya umeme yatakuwa historia,ni nini hichi sasa?Tanesco you should know that times have changed.Mimi sio yule babu yangu aliyekuwa akitumia umeme kusikilizia redio na kuwasha taa tu.Mimi umeme unanizalishia kodi ya kuilipa serikali.Na nawakilisha watz wengi kama mimi.Pili,uwezekano wa kutokata umeme kwa vipindi virefu vya miaka mingi upo,ni nyinyi tu kujiongeza kisayansi na kiufundi.Mie nnadaiwa mamilioni kwenye biz yangu,unaniambia unakata umeme kwa matengenezo "ya kawaida",the same thing i've been experiencing for the last 20 years in my business,how can i trust you,nawezaje kuamini kesho umeme hautakatika?nawezaje kuwa na confidence ya uwekezaji?ukipiga simu unaambiwa vizuuri na sauti soft ya mrembo kwamba kuna maintenance,inanisaidia nini mimi huku naendelea kuumia?hapa unatujibu kistaarabu kwa madaha,huku mtaani kiza kitupu,inanisaidia nini?customer care yako na wenzio mnapaswa kuihamishia kwenye mitambo,huduma yenu iwe endelevu,isiyo na interuptions.Hii ni Tanzania ya viwanda,nipo natengeneza ice creams na cake hapa,nakoboa unga na mashine,siyo yule babu yangu aliyekuwa akilima tu,umeme ukikatika ukarudi mtaa mzima wanashangilia.Hapa ukirudi mtaa mzima tunasonya na kuanza kuhesabu mali iliyoharibika.
You wake up Tanesco...wake up...Tanesco wake up...!Hata usinijibu na huo uandishi wako wa madaha,hainisaidii kitu,kawaambie mainjinia we just cant buy that now!Do your maintenance while maintaining your service!
 
Tanesco sio kabisa katika shirika nisilolipenda na halifai kuwa katika nchi yetu ni hili shirika maana majibu wanayotoa hayaendani naa ukweli ,wanafanya kingine wanatuambia mengine
 
Imekua kero sasa hasa wakazi wamaeneo ya kwangulelo mpaka tengeru. Kila siku umeme unazimwa kuanzia saa 1 usiku mpaka saa 4 usiku.

mbaya tanesco mkoa haitoi taharifa yeyote kwa wateja wake inafanya mazoea na kukatatu bila kujali athari wanazopata wateja kwa kukosa huduma iyo hasa nyakati mbaya za usiku.

tunaomba taharifa pia mjue sio wananchi wote wanauwezo wakumiliki majenereta kama sisi wenye uwezo mkubwa hivyo muwe mnatoa taharifa kwa wananchi wajiandae kwa mgao uo.
 
Kumekuwa na katika katika ya Umeme kwa muda mrefu bila taarifa. Maeneo mengi ya jiji la Dar Umeme unakatika kuanzia asubuhi hadi jioni.
TANESCO tufahamisheni kama ni matengenezo ya kawaida ni mgawo ili tuwe na ratiba.
Huo Umeme mnaojivunia nao kwamba upo wa kutosha uko wapi?
tanesco.jpg.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO WANAZINGUA SANA UNALIPIA UMEME KUJA KUFUNGUWA HADI KIELEWEKE BAHASHA KWA MAFUNDI NA FUNDI MKUU ANAYEPANGA WATU....guys Mh Kalemani kweli tutafika unayoongea kwenye majukwaa na Bungeni ni tofauti na hali halisi ….haswa DMS...KITUO CHA TEGETA ….RUSHWA RUSHWA...
 
Tanesco hasa Mkoa wa DSM , kwenye watumiaji wengi kumekuwa na muonekano wa rushwa katika utoaji huduma..

1.New installation's kutoa bills za juu sana na mkiongea zinapunguzwa ukitaka haki kuja kupata umeme usahau.

2.Ukilipa unasubili hadi siku 90 minimum Mh. Kalemani unayosema bungeni na kwenye field vijana wako wanakuangusha.

Pata a quick task force kuona walioleta maombi,kulipa na trend lini wamehudumiwa utaona what we saying.
 
Wenye TANESCO ni wafanyakazi na hawaingiliwi na mtu yeyote yule.
Kituo cha Mbagala ni kama hospitali kila siku nenda rudi.
 
NAOMBA MWENYE SIMU NA EMAILS ZA MH KALEMANI TAFADHALI KUNA UCHAFU MWINGI WA KUONDOLEWA TANESCO....
 
Mrad wa rea morogoro ifakara kata ya mbasa kuna baadh ya maeneo yamechimbwa mashimo hawajaweka nguzo ili hal sehem nyingine wanasambaza nyaya na kila tukimuuliza mkandaras anasema nguzo zimeisha na hana matumain ya kuleta hii imekaaje?
 
Tunaomba namba yako ya simu mpendwa mteja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco hasa Mkoa wa DSM , kwenye watumiaji wengi kumekuwa na muonekano wa rushwa katika utoaji huduma..

1.New installation's kutoa bills za juu sana na mkiongea zinapunguzwa ukitaka haki kuja kupata umeme usahau.

2.Ukilipa unasubili hadi siku 90 minimum Mh. Kalemani unayosema bungeni na kwenye field vijana wako wanakuangusha.

Pata a quick task force kuona walioleta maombi,kulipa na trend lini wamehudumiwa utaona what we saying.

Unaongelea huko DSM, wakati huku mikoani hali ya umeme ni mbaya kupindukia....

Ni wazi aidha kuna mgawo wa kisirisiri ama basi umeme wetu, una allergy na mvua ama maji....

Yaani masika huku maeneo ya Shinyanga umeme kukatika hata mara 15 kwa siku si jambo la ajabu, tumezoea.....

Ukienda kwenye ofisi za Tanesco ndiyo usiseme. Huduma ndogo tu, figisu figisu kibao na kuzungushwa zungushwa bila sababu.....!!
 
Huku kwetu kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 10. Mnaboa ni Bora mkate wiki nzima *********"* zenu. Mxiuu
 
Hili shirika inatakiwa wafukuze wafanyakazi wote. Waajiri vijana wenye uzalendo na nchi yao. Kiu kweli tanesco yote imeoza. Umeme hakuna kila dakika wanakata. Ukienda ofcn kwao lugha mbaya watu wanafanya kazi kwa mazoe.
 
Back
Top Bottom