Mimi nimefungiwa umeme wiki mbili zilizopita Leo nimenunua luku tanesco nimeweka tokea asubui haiingii nashindwa elewa labda luku ikiwa mpya kuna njia nyingine yakueka units naomba kusaidiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi wa REA kule Mpiji Station Wilaya ya Kibaha (V) umesimama kabisa.Baadhi ya nguzo zimeshasimamishwa lakini nyingi bado zipo chini zinaoza.Mafundi tangu waende kula Christmas mpaka leo hawajarudi.Nauliza hivi nini hatma ya mradi huu? Kulikoni? Watu wanahitaji sana huu umeme,tatizo liko wapi?

Tunafatilia mpendea mteja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man shida gani eneo la mbezi jogoo
Juzi usiku mmekata for 7hours
Mkasema nguzo imedondoka jana mmekata siku nzima mkasema mnabadilisha nguzo iliyo dondoka.
Leo mnatukatia tena asubui asubui mna shida gani nyie watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina meter no 430113227277, nilifungiwa hiyo meter tarehe 22 january 2019 ikiwa na unit 10 baada ya kuisha nikajaribu kununua unit lakini kila nikiingiza inaniandikia no, na nimetoa taarifa kituo cha nyakato mwanza nikapewa emergency no 0042 lakini mpaka sasa sijapata msaada wowote.

Namba ya simu tafadhali

Namba yangu ya simu ni 0753307374

Tumepokea kwa hatua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom