Uyo waziri mwenyewe nae uchafu tuNAOMBA MWENYE SIMU NA EMAILS ZA MH KALEMANI TAFADHALI KUNA UCHAFU MWINGI WA KUONDOLEWA TANESCO....
Tumepokeq taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetuNipo Tabora vijijini.Nimewapigia Tanesco mikoani (Regional Manager) siku ya 5 sasa hatuna umeme.Namba zangu 0787938347.Vitu vinaharibika kwenye Frizer jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba namba yako ya simu tafadhaliTanesco Kisarawe, sie wakazi wa Chanika zingiziwa tunahitaji umeme tulitafuta surveyor kaja kuhesabu nguzo zinazohitajika zimefika 15 amesema idadi hyo yapasa tupate mradi, awamu zote za Rea wametupita kama hawatuoni na nguzo zetu zikahamishwa kupelekwa Mvuti cc CCM tunawasubiri kwa hamu maana mliahidi tumchague Waitara mlete umeme .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelipa kwa jina gani na namba yako ya simi tafadhaliTanesco Nyamagana mnatuumiza wateja wenu tumelipia kuvuta umeme tangu mwezi wa kumi mwaka jana hadi leo ni chenga tu za hapa na pale....ohh nguzo hamna, nguzo hazijaja huku wengine wanafungiwa tabia mbaya.
Tunaomba namba yako ya simu tafadhaliMrad wa rea morogoro ifakara kata ya mbasa kuna baadh ya maeneo yamechimbwa mashimo hawajaweka nguzo ili hal sehem nyingine wanasambaza nyaya na kila tukimuuliza mkandaras anasema nguzo zimeisha na hana matumain ya kuleta hii imekaaje?
Tunaomba namba yako ya simu tufatilie tuhuma zako na kuchukua hatuaTANESCO WANAZINGUA SANA UNALIPIA UMEME KUJA KUFUNGUWA HADI KIELEWEKE BAHASHA KWA MAFUNDI NA FUNDI MKUU ANAYEPANGA WATU....guys Mh Kalemani kweli tutafika unayoongea kwenye majukwaa na Bungeni ni tofauti na hali halisi ….haswa DMS...KITUO CHA TEGETA ….RUSHWA RUSHWA...
*FEBRUARI 16, 2019*Kumekuwa na katika katika ya Umeme kwa muda mrefu bila taarifa. Maeneo mengi ya jiji la Dar Umeme unakatika kuanzia asubuhi hadi jioni.
TANESCO tufahamisheni kama ni matengenezo ya kawaida ni mgawo ili tuwe na ratiba.
Huo Umeme mnaojivunia nao kwamba upo wa kutosha uko wapi? View attachment 1026133
Sent using Jamii Forums mobile app
WilayaImekua kero sasa hasa wakazi wamaeneo ya kwangulelo mpaka tengeru. Kila siku umeme unazimwa kuanzia saa 1 usiku mpaka saa 4 usiku.
mbaya tanesco mkoa haitoi taharifa yeyote kwa wateja wake inafanya mazoea na kukatatu bila kujali athari wanazopata wateja kwa kukosa huduma iyo hasa nyakati mbaya za usiku.
tunaomba taharifa pia mjue sio wananchi wote wanauwezo wakumiliki majenereta kama sisi wenye uwezo mkubwa hivyo muwe mnatoa taharifa kwa wananchi wajiandae kwa mgao uo.
Umelipa lini? Jina na namba ya simu tafadhaliNahitaji umeme nyumbani kwangu lakin tanesco tanga wamekua na bla bla nyingi. Mtanksaidiaje nipo tanga mjini
Siku hizi wanatoa 10 tu nduguHizi unit 50 mnazotowa mara baada ya kufungiwa umeme kwa mara ya kwanza ni hisani na kama hisani ni bora muitoe iliijulikane moja haipo
Tangu mwaka Jana mwezi wa 10 hadi leo nasumbukia unit 40 kweli
Kuweni waungwana tu
Namba ya luku ni 54183706958
Jina Rebeca Ruhunde Mahona
Mkoa Shinyanga
Wilaya Kahama
Mtaa MWENDAKULIMA KATI