Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,433
- 11,747
Mnakera sana wananchi jinsi mnavyotukatia umeme!
Kwanini mnatufanyia hivyo lakini?
Mnatukwaza sana!
Kwanini mnatufanyia hivyo lakini?
Mnatukwaza sana!
Kiongoz.hakuna shirika la ki.sen.ge lilibak kama hili..utafkiri umeme tunapewa bureKero ya umeme naona imeshakuwa dondandugu!
Vyombo vya Habari na mitandao ya jamii pazeni sauti Mheshimiwa Rais na Waziri mkuu wajue jinsi Tanesco wanavyo tukosesha haki yetu ya kupata huduma ya umeme wakati wote!
Tena ngoja nikitulia nianzishe Uzi !
Yani naona mnatafuta kutumbuliwa!
Kiongoz.hakuna shirika la ki.sen.ge lilibak kama hili..utafkiri umeme tunapewa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
TANESCO .Nilitoa lalamiko langu hapa miezi miwili imepita.Tatizo langu limetatuliwa nusu na bado kukamilika.Nini tatizo.?Mbona muda wa kutatua unakuwa mrefu sana?Details zote niliwatumia PM.Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu