aliyekupimia ndo mwenye majibu sahihi, ushauri wangu; nenda kituo kilichokaribu na wewe watakupa makadirio sahihi;Ebu nipeni moyo kidogo, nimepimiwa kuna kama mita 150 nguzo 2 ya tatu ntatumia ile ya msongo mkubwa ivi gharama inaweza kuwa kama kiasi gani maana ni kimya sijapata bado mrejesho
Mimi kwangu ilikuwa kama yako nililipaga 1.2mil yaani nguzo tatu, hata kama hiyo ya msongo Mkubwa IPO lakini lazima ulipie nguzo tatu na waya zake