Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,409
Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.Naona ulifurahishwa sana na ukatili aliyofanyiwa Tundu Lisu na huyu mbwa wenu.
Sisi kama wananchi tulipaswa kulinda mihimili kuhakikisha kuwa inakuwa huru pamoja na kuhakikisha kuwa tunakuwa na mfumo unaolinda mihimili badala ya kuhangaika na mtu(Ndugai).
Ujinga uliofanyika wa Ndugai kujiuzulu kwa sababu tu alitoa maoni yake kama mhimili huru itampa Rais kiburi zaidi cha kuendelea kunyanyasa mhimili wa Bunge pamoja na mihimili mingine.