View attachment 2027148
IMG_20211129_150003.jpg
 
Muda wa ibada umefika, ile umejiandaa vizuri uko njiani aidha kwa gari, pikipiki, baiskeli au kwa mguu . Mara anatokea mdada anakuita ukamtibu nyumbani/ghetto kwake.

Anakuambia ana mwaka hajapata dawa na mume/mpenzi wake yuko nje kikazi. Kwa mzigo huu hapa chini ni wanaume wangapi tutashinda hilo jaribu?

3014544_JamiiForums1566262050.jpg
 
Back
Top Bottom